Uzalo Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23]kampa papaaa
 
Aseh, leo inabidi niwe kodoo kusubiri marudio maaana sio kwa kupitwa huku.....wiki nzimaa duh!
 
eeeh bwana eeh chukueni hiyo
laleti khumalo ambaye ndio mama ayanda kumbe hapo kwa mashu ndio kwao yaani alizaliwa hapo mwaka 1970..!

dah yaani anaigiza mtaa aliozaliwa aseeh

Sema xulu anapiga vitasa nyiee πŸ˜€πŸ˜€
 
eeeh bwana eeh chukueni hiyo
laleti khumalo ambaye ndio mama ayanda kumbe hapo kwa mashu ndio kwao yaani alizaliwa hapo mwaka 1970..!

dah yaani anaigiza mtaa aliozaliwa aseeh

Sema xulu anapiga vitasa nyiee [emoji3][emoji3]
Sawa mr mabuza[emoji23] 18 zako zimetimia
 
imekuwaje tena jamani ya leo nimeikosa damu yangu hebu nipe kimoko cha usiku
Ayanda karudi kwao na majeraha,mama na ndg yake wameshtuka na kuambuwa zulu na mwanae ndio wametenda hayo
Zweli kampelekea kitabu Ayanda kile cha matukio lkn kbl ya hapo alitoa karatasi ambazo zinamtaja nae kwente matukio heavy
Mabuza ameenda na mtuhumiwa kituoni akataka kumuingiza room ya mahojiano akaambiwa haruhusiwi kuungia mtu kuna kikao kizito kati ya captain yule demu anayedai pesa na madloho( cjui ndio jina lake)akalazimisha mpk kuingia akajifanya sikujua kama kuna watu ngoja nitarudi baadae,akaitwa na kupewa mashtaka yake,lkn akajifanya kukana na kudai hamjui yule mwanamke,akaoneshwa ushahidi wa picha na pia zile ccctv za ofisini,akatoa bastola yake chaaap na kuwaelekezea niliondoka sijui kilichoendelea dk 5 sema nikakuta yeye ndio kawekwa chini kwa mashtaka ya rushwa
 
nashkuru sana kwa kimoko cha asubuhi hichi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ila ayanda alijitakia kupigwa huwezi kuingia nyumba ya mtu vile mangumi ya xulu sio mchezo
 
Haha Mabuza kashanyea kambi
 
eeeh bwana eeh chukueni hiyo
laleti khumalo ambaye ndio mama ayanda kumbe hapo kwa mashu ndio kwao yaani alizaliwa hapo mwaka 1970..!

dah yaani anaigiza mtaa aliozaliwa aseeh

Sema xulu anapiga vitasa nyiee πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu naomba unicheck pm tafadhali πŸ™
 
ninachokiona ni kuwa zweli anakwenda kuwekwa ndani na dhlomo, amemsikiliza ayanda anayejifikiria yeye tu
Zweli kitabu kile kina madhambi yake pia anategemea huruma ya dhlomo na dhlomo hampendi zweli..

Acha tuone naona mangcobo kaziona documents Zilikuwa kwenye mkoba wa nombuso patamu hapo.. Maana anajiuliza kama mxo kaziona au alipuuzia..

jembe langu mabuza dah kwisha
 
Sad. I told you so.... hes kind of in a cornered end... director angefanya manuva kuliokoa make likiondoka tutalimisi san... it gonna be so baaaad to Xulu... look like xulu days are numbered too
Lakini naona tuone mwisho wake mkuu
Zweli naona ndio kajiharibia kabisa

Nae dhlomo mkuda sana
 
Hapo sasa sijui itakuwaje
Jee atamuuliza mwanae au atazificha
 
Lakini naona tuone mwisho wake mkuu
Zweli naona ndio kajiharibia kabisa

Nae dhlomo mkuda sana
Ha ha ha quote that "MKUDA"πŸ˜…πŸ˜… kwa kweli Dhlomo is a bad ass atleast ange-strike deal na Zweli/kumu-assure. basi nimemchukia kama nini.
Zweli ameharibu kuacha feelings to get the best of him akageuka snitch ame-lag sana.., It was business not personal the biz that used to put food to his people's table as well. I stand with Xulu in contrast to Zweli and Ayanda. Yule ayanda kumbe ni selfish kaniudhi sana alivyomfanyia Zweli. Ayanda is a scoundrel bora alivyochezea vitasa vya
xulu kiazi yuleπŸ˜…πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…