Uzalo Special Thread

[emoji3][emoji3] unajua kuchagua [emoji16] nilitaka nimrecommend kwako [emoji28][emoji28]yule ni chombo haswa achana na ayanda kashachuja btw nadhani anaitwa mondi.

Ngoja tumuangalie kama ntaendana nae
 
πŸ˜€πŸ˜€ unajua kuchagua 😁 nilitaka nimrecommend kwako πŸ˜…πŸ˜…yule ni chombo haswa achana na ayanda kashachuja btw nadhani anaitwa mondi.
Pastor Ayanda Xulu anaitwa Mondi? Mkuu utani mwingine sio mzuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣Hapana bhana ni mtu mpya(askari) atakua na dhlomo.
Umesema Ayanda keshochuja anaitwa Mondi kwa jinsi alivyo na madem wengi au tumwite King Mswati wa Eswatini KingdomπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesema Ayanda keshochuja anaitwa Mondi kwa jinsi alivyo na madem wengi au tumwite King Mswati wa Eswatini KingdomπŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣mbavu zangu... hapana bhana usinisababishie dhambi kwa pastor wa watuπŸ˜… nimemwambia jina la uyo new guy alieingia kwamashu kama jana ulicheki utakua ushamjua
 
haha ugomvi siwezi ngoja tu nijiweke kwa mondi thou sijui tabia zake. Asije akawa kama mondi wetu tu[emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€usihofu mondi akizingua utaenda kwa Captain
 
πŸ˜…πŸ˜…jealousy type...! ok my Mr hendisamu in all Kwamashu... 😊😊
Eti nana_ mondi na ayanda wananizidi? Kama pisi yangu huyu kasema nani akatae hapa kwamashu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jambazi wako xulu naskia katoroka jela huko, sasa utakoma na u singo wako huo ulinicheka sana sasa zamu yako bata wewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Ya leo sio ndefu sana,

Mxo anazidi kumu ignore mrs xulu, yeye na ayanda ni paka na panya nyumbani kwao (familia mpya)

Nosi anaenda kuongea na mxo anaonekana kama kuwaonea huruma

Mdogo ake ayanda anatarajia kuondoka kuanza masomo yake ya chuo

Xulu anamtafuta mkewe waonane ila aende mwenyewe,,,,mkewe kaenda ile wanaongea tu polisi haoo. Ikaishia hapo


NB: Naona kama mondi katumwa hivi maana pale anaongea na dolmo kuhusu kutrak simu after kupata taarifa xulu katoroka then anasema anaona tu Nosi kawasiliana na mxo ila Mrs xulu hajapokea simu yoyote wakati alikua anachat na mumewe. Au they only track phone and not messages?
 
yes naona Mondi ni Mabuza aliye changamka
 
Hongera pia leo nimeipata nimeiwahi
Mangcobo kaingizwa kwenye mazaga ya mumewe maskini.
Sema xulu Mafia sana kawasha moto akasepa πŸ˜€πŸ˜€

Mxo inaonekana kuna kitu kapanga kichwani halafu ayanda mzinguaji anaona kama mxo atachukua title yake hapo Home...

nimemuona mondi aseeh huyu jamaa ni chawa wa xulu...!

NB: bado couple yetu na mrs dhlomo ndo Big talk kwamashu πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…