Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Ya leo sio ndefu sana,

Mxo anazidi kumu ignore mrs xulu, yeye na ayanda ni paka na panya nyumbani kwao (familia mpya)

Nosi anaenda kuongea na mxo anaonekana kama kuwaonea huruma

Mdogo ake ayanda anatarajia kuondoka kuanza masomo yake ya chuo

Xulu anamtafuta mkewe waonane ila aende mwenyewe,,,,mkewe kaenda ile wanaongea tu polisi haoo. Ikaishia hapo

NB: Naona kama mondi katumwa hivi maana pale anaongea na dolmo kuhusu kutrak simu after kupata taarifa xulu katoroka then anasema anaona tu Nosi kawasiliana na mxo ila Mrs xulu hajapokea simu yoyote wakati alikua anachat na mumewe. Au they only track phone and not messages?
that really make sense 🤔.... but don't you see you will be pushing mondi away. .? with all this prosecutions of yours..? nana_
 
"nasemaje nileteeni huyo mbwa xulu hapa"😀
b54430764a262f390934d6412afd1e21.png
 
Maskini mxo daah niliwaambia Mimi huyu dogo anaenda kupotea..

Nkosinathi sijui amekufa daah..
 
Aloooo things are hot in here [emoji38]

Kwa kifupi mxo kamuua Mdogo wake imeishia hapo[emoji30]
 
i watched it on YouTube (hicho kipande) kweli dogo kafa
 
Maskini mxo daah niliwaambia Mimi huyu dogo anaenda kupotea..

Nkosinathi sijui amekufa daah..
Mxo hana ujasiri wa kufanya maamuzi alikiri kuwa anataka kuanza maisha mapya sasa inakuaje anashindwa kusimamia maamuzi yake lile Maza limemshawishi mpaka kaingia mkenge mambo yameshakuwa mabaya,, siku zote unapotaka kuficha kosa utafanya kosa kubwa zaidi, Dah Nkosi ndio hvyo tena😥
 
Ni kweli simlaumu mxo sana wale watu wamemlea lazima awe na feeling kuhusu hali zao ukizingatia mangcobo anabembeleza sana,

Nkosi amekufa, lakini huko uzalo mkataba wake umeisha hivyo ndio wamemtoa kabisa.

Mxo anakwenda kupotea kabisa tena hapo ana parole. Sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom