Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Ila nyie manzuza nae ana shape matata sana walaah toka kitambo nashuhudia tu.
Yaani kila kitu kimekaa kwenye mpangilio

Sio mbaya nikampooza machungu ya kumpoteza mwanae nkosi. 😀🚶
 
Baba yao ayanda yaani baba mchungaji alijiondoa sababu akisema hawezi kuigiza na waigizaji wasio na uzoefu, jinsi walivyomwondoa nkosinati hata haifurahishi
 
Ila nyie manzuza nae ana shape matata sana walaah toka kitambo nashuhudia tu.
Yaani kila kitu kimekaa kwenye mpangilio

Sio mbaya nikampooza machungu ya kumpoteza mwanae nkosi. 😀🚶
Hahahahaaah mkuu mm nimetokea kuvutiwa sana na lile Dada lakupandisha mashetani sijui anaitwa nani nae anashepu moja matata we mchunguze vizuri😜
 
Kweli mkuu mamlahmbo nae sio mchezo yake imepitiliza sasa ni zaidi ya tembo kabisa imagine you hit from behind aseeh.

Lakini ya manzuza nimeipenda sana Bob..
 
Ni kweli simlaumu mxo sana wale watu wamemlea lazima awe na feeling kuhusu hali zao ukizingatia mangcobo anabembeleza sana,

Nkosi amekufa, lakini huko uzalo mkataba wake umeisha hivyo ndio wamemtoa kabisa.

Mxo anakwenda kupotea kabisa tena hapo ana parole. Sijui itakuwaje
cjaelewa hapo, unaama kwamba kama mkata umeisha wa muigizaji mmoja wapo ndo wanatumia njia ya kifo hiyo kama nombuso au?
 
ndio mkuu wanaweza tumia kifo au kama pastor alivyokimbia na kukataa kurudi kwake.. Tamthilia nyingi za sauzi wanafanya hivyo,

Ila naona kwa hii ya apa kwetu kwamashu wanatumia zaidi kifo, jela..
Kumbuka hii ni soup inaelezea maisha ya kila siku, hivyo hawawezi kumtoa mtu kienyeji Bob
 
ila yule mpandisha mashetani nae[emoji23] alafu manzuza anampuuzaga mwisho wa siku anakuja juta
 
Ila hawa Wasouth wana imani sana na hivi vigagula na sangoma. Hata akiwa amesoma sana bado iko hiyo kwenye damu.
 
Ni kweli simlaumu mxo sana wale watu wamemlea lazima awe na feeling kuhusu hali zao ukizingatia mangcobo anabembeleza sana,

Nkosi amekufa, lakini huko uzalo mkataba wake umeisha hivyo ndio wamemtoa kabisa.

Mxo anakwenda kupotea kabisa tena hapo ana parole. Sijui itakuwaje
Hlf kuna damu ilionekana haijasafishwa vzr
 
Ila hawa Wasouth wana imani sana na hivi vigagula na sangoma. Hata akiwa amesoma sana bado iko hiyo kwenye damu.
Yani huo ndio ukweli, tofauti na tanzania uganga unafanya kwa siri, wao wanafanya wazi wazi, nilishaangaa kitambo kidogo kwenye uapisho wa Jacob Zuma aliitwa mganga aka fanya mambo ya mila stejini pia alivuokufa mandela, mambo ya mila y alifanywa hadharani
 
Back
Top Bottom