Uzalo Special Thread

that really make sense 🤔.... but don't you see you will be pushing mondi away. .? with all this prosecutions of yours..? nana_
 
Maskini mxo daah niliwaambia Mimi huyu dogo anaenda kupotea..

Nkosinathi sijui amekufa daah..
 
Aloooo things are hot in here [emoji38]


Kwa kifupi mxo kamuua Mdogo wake imeishia hapo[emoji30]
 
i watched it on YouTube (hicho kipande) kweli dogo kafa
 
Maskini mxo daah niliwaambia Mimi huyu dogo anaenda kupotea..

Nkosinathi sijui amekufa daah..
Mxo hana ujasiri wa kufanya maamuzi alikiri kuwa anataka kuanza maisha mapya sasa inakuaje anashindwa kusimamia maamuzi yake lile Maza limemshawishi mpaka kaingia mkenge mambo yameshakuwa mabaya,, siku zote unapotaka kuficha kosa utafanya kosa kubwa zaidi, Dah Nkosi ndio hvyo tena😥
 
Ni kweli simlaumu mxo sana wale watu wamemlea lazima awe na feeling kuhusu hali zao ukizingatia mangcobo anabembeleza sana,

Nkosi amekufa, lakini huko uzalo mkataba wake umeisha hivyo ndio wamemtoa kabisa.

Mxo anakwenda kupotea kabisa tena hapo ana parole. Sijui itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…