Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #1,081
Hahahahaaah mkuu mm nimetokea kuvutiwa sana na lile Dada lakupandisha mashetani sijui anaitwa nani nae anashepu moja matata we mchunguze vizuri😜Ila nyie manzuza nae ana shape matata sana walaah toka kitambo nashuhudia tu.
Yaani kila kitu kimekaa kwenye mpangilio
Sio mbaya nikampooza machungu ya kumpoteza mwanae nkosi. 😀🚶
Kweli mkuu mamlahmbo nae sio mchezo yake imepitiliza sasa ni zaidi ya tembo kabisa imagine you hit from behind aseeh.Hahahahaaah mkuu mm nimetokea kuvutiwa sana na lile Dada lakupandisha mashetani sijui anaitwa nani nae anashepu moja matata we mchunguze vizuri😜
cjaelewa hapo, unaama kwamba kama mkata umeisha wa muigizaji mmoja wapo ndo wanatumia njia ya kifo hiyo kama nombuso au?Ni kweli simlaumu mxo sana wale watu wamemlea lazima awe na feeling kuhusu hali zao ukizingatia mangcobo anabembeleza sana,
Nkosi amekufa, lakini huko uzalo mkataba wake umeisha hivyo ndio wamemtoa kabisa.
Mxo anakwenda kupotea kabisa tena hapo ana parole. Sijui itakuwaje
ndio mkuu wanaweza tumia kifo au kama pastor alivyokimbia na kukataa kurudi kwake.. Tamthilia nyingi za sauzi wanafanya hivyo,cjaelewa hapo, unaama kwamba kama mkata umeisha wa muigizaji mmoja wapo ndo wanatumia njia ya kifo hiyo kama nombuso au?
Rest in peace nkosi kiherehere kimekuponza kwa Mara nyingine
Ila hawa Wasouth wana imani sana na hivi vigagula na sangoma. Hata akiwa amesoma sana bado iko hiyo kwenye damu.ila yule mpandisha mashetani nae[emoji23] alafu manzuza anampuuzaga mwisho wa siku anakuja juta
Hii tamthiliya iko very depressing, kila mwezi kuna vifo vya vijana tu.Anajifanya mpelelezi wa maisha ya watu sasa limemkuta jambo, rip nkosi kimbelembele
Ana mdomo mzuri aiseeHahahahaaah mkuu mm nimetokea kuvutiwa sana na lile Dada lakupandisha mashetani sijui anaitwa nani nae anashepu moja matata we mchunguze vizuri[emoji12]
Hii tamthiliya iko very depressing, kila mwezi kuna vifo vya vijana tu.
Labda waliona wameajiri wengi wanawapunguza kiaina. Hivi yule GC amesema amefanyiwa farewell party mara utaona ameuawa.yani haipoti wiki mbili mtu hajafa
Alikitafuta kifo mwanzo alipona sasa kimemnyakaNdio hapo sasa tatizo lake kiherehere sana mara ya kwanza hakujifunza.
Hlf kuna damu ilionekana haijasafishwa vzrNi kweli simlaumu mxo sana wale watu wamemlea lazima awe na feeling kuhusu hali zao ukizingatia mangcobo anabembeleza sana,
Nkosi amekufa, lakini huko uzalo mkataba wake umeisha hivyo ndio wamemtoa kabisa.
Mxo anakwenda kupotea kabisa tena hapo ana parole. Sijui itakuwaje
Kumbe ndio alisema hivyo?Baba yao ayanda yaani baba mchungaji alijiondoa sababu akisema hawezi kuigiza na waigizaji wasio na uzoefu, jinsi walivyomwondoa nkosinati hata haifurahishi
Atarejea ila atakuwa siyo yule wa mwanzoKumbe ndio alisema hivyo?
Vipi atarejea?
Ingependeza zaidi kama wangemuondoa kwa kumfanyia farewell party halafu akaenda Chuoni kama walivyopanga awaliBaba yao ayanda yaani baba mchungaji alijiondoa sababu akisema hawezi kuigiza na waigizaji wasio na uzoefu, jinsi walivyomwondoa nkosinati hata haifurahishi
hebu nipeni update kuhusu jana ijumaaHlf kuna damu ilionekana haijasafishwa vzr
Yani huo ndio ukweli, tofauti na tanzania uganga unafanya kwa siri, wao wanafanya wazi wazi, nilishaangaa kitambo kidogo kwenye uapisho wa Jacob Zuma aliitwa mganga aka fanya mambo ya mila stejini pia alivuokufa mandela, mambo ya mila y alifanywa hadharaniIla hawa Wasouth wana imani sana na hivi vigagula na sangoma. Hata akiwa amesoma sana bado iko hiyo kwenye damu.