Atapata tabu ,japo kiukweli ni wife materialSmangele ana majanga kinoma. Mara Kaburi la baba yake shida, mara Kaka yake sasa hivi atapewa tuhuma za mauaji. Katikati ya kilio cha sakata la kaaburi la Mdingi Ayanda kaja katangaza kumtema. Jamani huyu mrembo si aje tu huku tumpe pumziko.
,uwezekano ni mkubwa,wa kumuokoa ni ayandaHivi anawezwa kulambwa na pastor Nkosi?
Maana anajilegeza tu kwa wanaume
Halin mbaya kwel 😇🙄🤕 .....unakwazwa na tamthilia??sema ayanda na yeye anaboa, yani hana msimamo yule kaka, hajui hata anataka nini…mimi ananikwaza sana[emoji57]
Daah hatari sana,uwezekano ni mkubwa,wa kumuokoa ni ayanda
Hizo ni hisia,ina maana tamthilia imewakilisha vyema,ndio maana unaweza kujikuta unalia au kuogopa wkt ni tamthilia tu au movieHalin mbaya kwel [emoji56][emoji849][emoji856] .....unakwazwa na tamthilia??
Ulishawahi kuangalia ISIDINGO kipindi wanaonyesha Letti Matabane kafa?Halin mbaya kwel [emoji56][emoji849][emoji856] .....unakwazwa na tamthilia??
Haelewi huyo,,mim Huwa najiona kama mastermind vile na vile nafanana nae[emoji1787]Hizo ni hisia,ina maana tamthilia imewakilisha vyema,ndio maana unaweza kujikuta unalia au kuogopa wkt ni tamthilia tu au movie
Wala usimshangae
HahahhahaHaelewi huyo,,mim Huwa najiona kama mastermind vile na vile nafanana nae[emoji1787]
Halin mbaya kwel [emoji56][emoji849][emoji856] .....unakwazwa na tamthilia??
Huko Uzaloni naona kimeumana. Smangele na matatizo yooote yale bado anaonekana kama vipimo vimeonyesha ana mimba. Kumbuka last week alilala kwa Ayanda. Ngoja tuone Jumatatu itakuwaje.
Niwe muwazi mm na hisia kali na ww🥰💞yeah, kwani kuna ubaya? Mbona wengine wanatishwa na tamthilia[emoji23] wengine wanalizwa…au ww huna hisia na tamthilia[emoji4]
Sbah anajua kucheza ba akili za mwanaume. Pia ana akili za kijanja. Sma ni lialia mno. Pia hana msimamo. Nkosi akiamua anapita nayeyaaa, sma ana mimba alafu kule penzi la sbahnle na ayanda limenoga[emoji1787][emoji1787] sijui itakuaje…ila mi napenda couple ya ayanda na sbahnle[emoji3059] tho ayanda sometimes hajielewi
Hakika mkuu lile Pastor linajua kucheza na akili za watoto wa kikeSbah anajua kucheza ba akili za mwanaume. Pia ana akili za kijanja. Sma ni lialia mno. Pia hana msimamo. Nkosi akiamua anapita naye
Yan wewe ndio mie kbsyaaa, sma ana mimba alafu kule penzi la sbahnle na ayanda limenoga[emoji1787][emoji1787] sijui itakuaje…ila mi napenda couple ya ayanda na sbahnle[emoji3059] tho ayanda sometimes hajielewi