Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Hivi yule mama kibonge kwa akili zake anadhani mxo na mangcobo bado tu watakua wamemuhifadhia ile picha ya ushahidi?!!!..
 
Week iliyopita nimeikosa nimeanza kufatilia Week hii.

Namsikitikia Sana ayanda karudishwa kule kule na kale ka malaya sibahle sijui dhlomo kwanini hakakemei..!

Ninachoona ni kuwa mxolisi muda wa kwenda jela umefika.
Naona wazi ma ngcobo lazima akae na dada yake mxo anaenda..!

Ila kiukweli kabisa gc ni Gay character ila anaigiza Sana huyu jamaa!

Anyway mlioangalia Week iliyopita je zweli alirudisha vipi vitu vya ndani kutoka kwa yule demu?
Jagiya
 
pamoja sana dear
Niliona mondil kashapigwa tukio na baby mama wake daah nyie wanawake 😁

Uzuri wale vichwamaji wawili nosi na sma huwa hayajifunzi sma bado anashoboka kwa ayanda sijui hanioni?
 
Iv wazee yule baby mama wa mtoto wa mondli huo mpunga aliupiga vp sijaelewa maana naona kaacha tu barua kwamba anaenda kutanua around the world
 
Week iliyopita nimeikosa nimeanza kufatilia Week hii.

Namsikitikia Sana ayanda karudishwa kule kule na kale ka malaya sibahle sijui dhlomo kwanini hakakemei..!

Ninachoona ni kuwa mxolisi muda wa kwenda jela umefika.
Naona wazi ma ngcobo lazima akae na dada yake mxo anaenda..!

Ila kiukweli kabisa gc ni Gay character ila anaigiza Sana huyu jamaa!

Anyway mlioangalia Week iliyopita je zweli alirudisha vipi vitu vya ndani kutoka kwa yule demu?
Jagiya
,zweli alitoa Dili kwa yule demu mafia aliyewateka kina shkuba,akasaidiwa kumtafuta demu aliyemuibia ,akampata,vitu vikarudi peacefully kwa usaidiz wa mguu wa kuku
 
nashukuru Sana
si ni yule dk?
 
Niliona mondil kashapigwa tukio na baby mama wake daah nyie wanawake 😁

Uzuri wale vichwamaji wawili nosi na sma huwa hayajifunzi sma bado anashoboka kwa ayanda sijui hanioni?
😂😂😂 nilifurahijeee mondli kupewa za usoo.... nasubiri atakavyojirudi kwa nosi..
🤔🤔🤔jaribu kusafisha nyota embu maana si kawaida😂
 
Ayanda leo karusha ngumi kisa kile kidem chake sibahle kuna muhuni alikuwa anaforce
 
Wandugu Habarini za jioni. Naomba kama kuna aliyeangalia Uzalo ya jana Alhamisi aniambie yule mtoto aliyejiua alibakwa na pastor au vipi? Nimeshindwa kukna vizuri leo
 
Mimi pia ningependa kujua
 
marudio ndo yanaanza jamani tuangalie…ila sijui wanaonyesha ya ijumaa tu
 
Back
Top Bottom