Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiachana na Gc kuwa gasho ila anajua kuigiza sanaaa kudos
Safii umejitahidi sanaya leo j3
Sma ashaanza vimbwenga vya mimba akiwa salon kwa GC na ntobi…manzunza kaenda kumtembelea mxo lokapu kamwambia she’s done with him kitanda alichokitandika alalie…ayanda ameenda kwa manglo wakazinguana manglo akamfukuza….smangle ameenda kwa na mlango kuomba ushauri mamlambo kamwambia itabidi amwambie tu ayanda…ayanda na sbanhle wameenda kule ophan center wakakuta barua yule victim ameacha inaelezea kuwa pastor alikua anamfanyia sexual harassment ndo wamekuja kumwambia manzunza ayanda anataka akaseme kwenye baraza la wazee…..IKAISHIA HAPO.
Note: am not good in explanation and kuandika gazeti [emoji4]
SanaKumbe kuna watu mnafatilia hvyo
Exactly[emoji1787]Sanaaa yule mwamba anajua[emoji1787]
Mimi nipo Jirani na Shisanyama hapa kwa Sis D nakula monde[emoji23][emoji23]Sana
Tangu siku ya kwanza tupo hapa kwamashu ninaishi karibu kabisa na kanisani
Safii umejitahidi sana
Kiukweli sma mbishi aliambiwa tangu mapema ayanda ni choo cha stand akajifanya kichwa ngumu..
Hivi imekuwaje mxo kabaki na zweli katoka?
Na vipi lile jamaa nongoloza?
Umejitahidi kuelezea,ya leo j3
Sma ashaanza vimbwenga vya mimba akiwa salon kwa GC na ntobi…manzunza kaenda kumtembelea mxo lokapu kamwambia she’s done with him kitanda alichokitandika alalie…ayanda ameenda kwa manglo wakazinguana manglo akamfukuza….smangle ameenda kwa na mlango kuomba ushauri mamlambo kamwambia itabidi amwambie tu ayanda…ayanda na sbanhle wameenda kule ophan center wakakuta barua yule victim ameacha inaelezea kuwa pastor alikua anamfanyia sexual harassment ndo wamekuja kumwambia manzunza ayanda anataka akaseme kwenye baraza la wazee…..IKAISHIA HAPO.
Note: am not good in explanation and kuandika gazeti [emoji4]
Leo nimekatisha mitaa hiyo lakini Dhlomo sijamkuta nimeambiwa alikua mahakamani na kina Mastermind na Mxolisi [emoji28]Nipo hapa KZN[emoji1787]