Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Kila siku nasemaga Uzalo wamewekeza sana yani hawabahatishi wanachofanya na unaona kabisa hapa hela imetumika kuonesha uhalisia
Angalia kesi ilivoenda mahakamani kuanzia mazingira hadi uendeshaji wa kesi wameupiga mwingi
Na pia mashahidi wamechukua wahindi kabisa kama ndugu wa Marehemu(Nerina Govender)
Mxolisi na mastermind wamepelekwa jela na wote wamenyoa mapara na ndevu zote wamenyoa kuendana na uhalisia wa wafungwa
Ingekua kibongo bongo hapo au basi [emoji1787][emoji1787]