Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Haahaa... kwenye hii mimba mmmh majanga
Kapima mara nyingi hamna kitu Kimbembe kipo kwa manzuza sasa alivyo mbishi kuelewa..

Nosi jinga ssna yaani madem zangu wote vichwa maji yarabi mie nimekosa nini?๐Ÿ˜‚
 
Kapima mara nyingi hamna kitu Kimbembe kipo kwa manzuza sasa alivyo mbishi kuelewa..

Nosi jinga ssna yaani madem zangu wote vichwa maji yarabi mie nimekosa nini?๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚yaani ni mabongoyoo woteee ๐Ÿคฃ huyu nosi angalau nilimuona bold kaja nae kuniangusha pimbi huyu....
Bado huyu kisansuda mwingine sma anang'ang'ania mimba kama hana si ashukuru atambae mbele ๐Ÿ˜ฌ
Its Pancho ulikosea sanaaa๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚yaani ni mabongoyoo woteee ๐Ÿคฃ huyu nosi angalau nilimuona bold kaja nae kuniangusha pimbi huyu....
Bado huyu kisansuda mwingine sma anang'ang'ania mimba kama hana si ashukuru atambae mbele ๐Ÿ˜ฌ
Its Pancho ulikosea sanaaa๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜‚
Yaani wa hovyo wote
Analazimisha mimba ili aolewe na boya ayanda mshenxi huyu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hapo kws akili zake ataenda kutegesha mimba.

Ila huyu afande demu ws zweli kama limoyo langu linamdondokea hivi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Anyway malezi ya binti yako sibahle unayaonaje?
 
Yaani wa hovyo wote
Analazimisha mimba ili aolewe na boya ayanda mshenxi huyu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hapo kws akili zake ataenda kutegesha mimba.

Ila huyu afande demu ws zweli kama limoyo langu linamdondokea hivi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Anyway malezi ya binti yako sibahle unayaonaje?
Sba kama kakulia Buza na kusomea kaole. Ila Wazee wana mmiss sana
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Muhuni yule mtoto
Lakini alichopewa mwenzio Ayanda anakikumbuka mpaka akiwa na Manzuza. Huu ukichaa wa ngono nilidhani ni kwa Mmakonde Harmonize kumbe hata Ayanda kalogeka.
 
Halafu nisaidieni kwa wanaoangalia detail za CG. Hivi yule ni shoga kweli au anaigiza tu?
Halafu yule ni mwanaume kweli?
 
Ahsanten Dana Kwa update,nmemmic sba wangu,kina macho mazuri,pia kinajua kuact
 
Lakini alichopewa mwenzio Ayanda anakikumbuka mpaka akiwa na Manzuza. Huu ukichaa wa ngono nilidhani ni kwa Mmakonde Harmonize kumbe hata Ayanda kalogeka.
Mtoto sumu yule aseeh ayanda alifinyiwa ndani hana hamu
 
Imenichukua zaid ya mwaka kujua Hilo,juzi nilikuwa naangalia na jiran yangu wa kike ndio kanisaidia kugundua
hahahaha, mi huwa nikipenda movie/tamthilia huwa na google character wake wote na maisha yao na Instagram acc zaoโ€ฆhapo ndo nikamjua GC ni gasho kweli๐Ÿคฃ
 
hahahaha, mi huwa nikipenda movie/tamthilia huwa na google character wake wote na maisha yao na Instagram acc zaoโ€ฆhapo ndo nikamjua GC ni gasho kweli[emoji1787]
Binafisi nilikuwa sipendi tamthilia since nipo chuo,nilikuwa naona Kama napoteza muda tu,but nilipoona hii uzalo nikavutiwa nayo contents zao ,mambo ya whoonga[emoji1787][emoji1787][emoji1787],biashara inalipa ila ni hatari
 
Yaani wa hovyo wote
Analazimisha mimba ili aolewe na boya ayanda mshenxi huyu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hapo kws akili zake ataenda kutegesha mimba.

Ila huyu afande demu ws zweli kama limoyo langu linamdondokea hivi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Anyway malezi ya binti yako sibahle unayaonaje?
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Tangu mwanzo nakuambiaga uo moyo wako huwa unafeli sanaa husikii haya lidondoshe tena kwa afande ๐Ÿ˜…alafu uje kusema hukuambiwa
Sba kiukweli sjui changamoto zake hadi kuangukia kwenye prostitution ila alipofikia nanyanyua mikono juu๐Ÿ™Œ
 
Kwa ufupi uzalo Thursday..
Asbuhi na mapema thobile akipiga tizi, anawaona pastor nkosi na Esther wakipigana makiss. Anashtuka na kwenda kumwambia gc.

Anamwambia kwamba gc alikosea kusema fikile ndo chakula ya pastor, yeye (thobile) amewaona Esther na nkosi sio fikile, muda huo fikile anafika saloon hapo wote wawili wanafunga madomo yao japo fikile alishawaskia..

Kule kwa manzuza ayanda anatoka tizi na kumkuta manzuza mezani akichagua magauni ya bibi harusi mtarajiwa ambaye ni sma, ayanda anamaindi kidogo na kudai bado mapema, lakini maza anamkazia kudai ayanda amekuwa baba na aachane na side Chicks (anamaanisha kina sibahle).
Mara ayanda anaona gauni moja zuri anasema size ya sibahle, Mama yake anamkatisha na kudai sibahle ndio amechangia ayanda kuwepo matatizoni hivyo amsahau, ayanda anadai kammiss sibahle ila maza anakaza bado..

Kule kwa mangcobo wapo jikoni na nosipho wanabishana , nosi anadai kuwa mama yake anaenda kumuuza kwa yule jamaa muuwaji (govender au prevender kitu kama hicho).

Mama yake anadai nosi afanye hivyo kwa sjili ya mxo na sio kingine ila nosi anagoma kata kata na kwenda chumbani kwake..

Gerezani thobile anaenda kumtembelea zweli, anadai bado anampenda zweli na amemmiss pia anaahidi kumsubiri zweli mpaka atapotopoka kwani anaamini zweli hana hatia kabisa ,wanaongea mengine kisha zweli ananyooshs ngumi kwenye kioo kinachowatengenisha na thobile anakutanisha mkono..

Saloon tena gc akiwa na mteja huku pembeni fikile anamuangalia gc vibaya naye gc anashtuka kisha fikile anamuomba gc waongee, wanasogea pembeni, lakini kabla kila mtu hajaanzs kujitetea anafika Esther na gc anafunga mdomo kisha Esther anamuulizia thobile kwani ana miadi naye atengenezwe kucha , gc anajibu thobile ametoka..

Polisi pale ayanda anaenda kufuatilia kesi ya msichana yule yatima aliyefariki baada ya kunajisiwa na pastor lakini mondil anamjibu kuwa amefunga file la kesi kwani ameona nkosi hausiki kwa namna yoyote , ayanda anamaindi lakini hakuna jinsi..

Gerezani tena mxo yupo na shown na zweli shown anawaambia rufaa yao imetupiliwa mbali hivyo tarehe 3 wajiandae kwenda mahakamani kusikiliza kesi yao ya mauwaji hukumu itatoka,

Mxo anamaindi na kudai shown ameshindwa kazi kabisa na wao hawawezi kukaa hapo kwani wanamuogopa sana yule gangster mindlos, kisha mxo anamuomba shown akatoe pesa rand 100000 ili wahonge kwa mkuu wa jela ili mindlos ahamishwe.

Mabuza akiwa home kwa mangcobo wanajadili kuhusu kukataa kwa nosi kujilengesha kwa yule muhindi mangcobo anamuuliza Mabuza kwanni anafanya yote haya ikiwa kaokoka,
Mabuza anadai anafanya haya kumsaidia mxo kwani hajaua..
Ghafla nosi anatokea na kukubali kufanya kazi aliyopewa.

Jela tena mxo akiwa na zweli wanajadili kuhusu kulipa hela na mindlos ahamishwe kuna jamaa pembeni mfungwa anasikiliza kijanja ,huku zweli kama ameshtukia hivi,kisha jamaa anaondoka kwenda kutoa taarifa kwa mindlos na jamaa anamaindi na kuamuru vijana wake wakawafunze adabu kina mxo,

Hapo hapo afande yule mdada ambaye ni demu wa zweli anapita na kusikia hayo kisha anaondoka haraka sana.

Noxi anaenda gateway kumtega muhindi yule na wanaparamiana, kisha muhindi anajipendekeza kuomba lunch nosi anagoma na pia date nosi anagoma mwisho muhindi anaomba namba ya nosi na anaipata wanaagana..

Sma pia aliletewa nguo za mtoto wske ajaye na thobile anauliza thobi kajuaje haya , thobile anadai ameambiwa na zweli kule jela na kusema zweli aliomba sma aksnunue nguo za mtoto.. thobile anauliza mimba ya nani sma anaomba thobile asiseme kwa mtu, anamtaja ayanda na thobile anashtuka..

Nkosi akiwa church ametegesha camera anaanza kurekodi mahubiri yake kitini ghafla akaingia fikile, nkosi anadai ana kazi lakini fikile anadai kafata upako.

Anasema kafunga milango ya kanisa yote kisha anamfata nkosi kitini wanapakatana na nkosi anatoa mafuta..

Sma anaenda hospitali for checkup ghafla anaambiwa na dr kuwa hana mimba kwani alikosea vipimo vya mwanzo ,sma anababaika sana


Mimi sio mwandishi mzuri vile vile nimeishia darasa la pili b..

NB: sma acha uteseke mbwa wewe si uliniringia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jagiya Vera ginger Mafian cartel na wengineo
Thanks for the update na pia naona Pastor Nkosi anapinduliwa very soon kwa sababu


Ashagonganisha mademu kina Fikile na sister Esther lubisi na wambea kina GC na Thobile wanajua


Wizi anaoufanya umeshagundulika baada ya kukata hela Kwenye account ya Gc na Thobile na wakaenda bank kuchukua bank statement na pia Ex wa GC aliwasaidia kujua kampuni inayohusika na wizi huo wakakuta aliyesajili kampuni ni pastor Nkosi na ushahidi wanao na Ayanda ameshajua huo mchezo na evidence anazo


Yule jamaa aliyeponeshwa na pastor Nkosi Naye anataka hela la sivyo jumapili anakuja kumchafua pastor na maongezi yao yapo recorded Kwenye camera


Pastor Nkosi is going down very soon[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom