Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Mlioangalia Week hii yote bado wamerudia tena?

Nakumbuka Week iliyopita walirudia tena ya Week mbili zilizopita pale zweli alipoibiwa na yule Dada slay queen..!
Jagiya uko wapi
 
Mlioangalia Week hii yote bado wamerudia tena?

Nakumbuka Week iliyopita walirudia tena ya Week mbili zilizopita pale zweli alipoibiwa na yule Dada slay queen..!
Jagiya uko wapi
nipooo.. na bado ni marudio jumanne nilijaribu kucheki ndio kwaanaza ipo pale kina zweli na mxo wakipanga kufanya party.... inaboaa😒
 
Wapuuzi Hawa kurudia tamthilia wamenikera mno
si kidogo wanaboa mnoo na marudio yenyewe hayaonyeshi hata dalili za mwendelezo... ndio kwanza inarudiwa vipengele kumi nyumaa
 
nipooo.. na bado ni marudio jumanne nilijaribu kucheki ndio kwaanaza ipo pale kina zweli na mxo wakipanga kufanya party.... inaboaa😒
Wangetuambia mapema tu kama kero zenyewe ndo hizi.

Au wanadaiwa nini hawa,?
 
sjajua kwakweli kama wanamadeni.... ila nimapema sanaa kuanzaa huu uduanzi wanaotufanyia saivi
Si kuna mdau hapo kasema wameshindwa lipia episode?
Au ukute vipande vimepotea maana tunaambiwa sisi wametuzidi episodes kibao huko
 
Back
Top Bottom