Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Kaamua afanye maigizoDuu, huyu Pastor ni noumaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaamua afanye maigizoDuu, huyu Pastor ni noumaaa.
Halafu jamaaa kaenda kumkatia kibunda chake na kumtahadharisha achunge asije kushtukiwa,Kaamua afanye maigizo
Natamani siku yake ifikeHalafu jamaaa kaenda kumkatia kibunda chake na kumtahadharisha achunge asije kushtukiwa,
Ha ha ha ha ha a; Huyu Pastor midevu sjui kama atachukua round huyu
Hakuna muendelezo .Hebu nimegeeni kidogo tangu jumatatu sijapata nafasi kutazama hata kidogo
nipeni data kidogo vipi kuhusu pastor hajaharibu tena?
mastermind bado anaendelea kujivurugia?
ayanda na sibahle hawajanyanduana?
Manzuza na dhlomo nadhani ni swala la muda tu vikojoleo vikutane.
na je sbu dhlomo kampata?
Jagiya Vera ginger , Na wadau wengine
aseeh tangu jumatatu?Hakuna muendelezo .
ITV wamefanya marudio,mwanzo mwisho!
Wamebore sana .Wanasema kwa sababu zilizo juu ya uwezo wao.aseeh tangu jumatatu?
kweli itv wananipenda Sana hadi niwepo ndo wanaweka live 😀
Hawana fedha za kulipa vipindi 😁Wamebore sana .Wanasema kwa sababu zilizo juu ya uwezo wao.
Kama episodes zimepotea? Maana hiyo series ina mamia ya episodes, inawezekana ikafika siku ya siku wakagundimua kuna episode ina mis wanaamua kurudiaWamebore sana .Wanasema kwa sababu zilizo juu ya uwezo wao.
Umewaza vyema 👏Kama episodes zimepotea? Maana hiyo series ina mamia ya episodes, inawezekana ikafika siku ya siku wakagundimua kuna episode ina mis wanaamua kurudia
Huyu mama bandile ni mtu wa kusali Sana yaaninilipo ikutia...
Mama bandile akiwa chumbani anafanya maombi ghafla anaskia ka mlango unafunguliwa ikabidi atoke na kuangalia,akamkuta mangcobo akiwa anatoka hakiwa ajitambui(sleep walking) akamzuia na kumshika... kwa mshtuko mangcobo anazinduka na kuanza kumshambulia dadae.. ila akatulia..
Kanisani pametokea uvamizi sadaka zimeibiwa😂Dhlomo na mondli wakiwa wanachukua ripoti kutoka kwa pastor nkosi na ayanda bila kuwa na mafanikio..
Mxo akiwa na mangcobo akimshauri kuwa aende hospitali akapatiwe matibabu kuhusiana na iyo sleep walking kwani anahofia jabulile atamsanukia na itakua mambo mbaya ila mangcobo anambishia na kumwambia jambo hilo haliwezekani kwani ata jabulile akimwona katika hali hiyo hawezi sanuka wala kuunganisha matukio.. hivyo akabisha kwenda kupata tiba
Saluni kwa kina gc na sma akiwemo ex wa zweli wakiwa wanamdiskas ayanda ndani ya penz lake jipya na kusema hawaendani na wanasubiri waone kama manzuza atampokea uyo bibie..... yote na yote wakakubaliana kumpambania sma hadi warudiane na ayanda..
shishanyama wakiwa mxo na zweli wakienjoy huku wakiona pisi kali zikiingia apo na kuwaita bila manufaa yeyote wakaanza kujiuliza kuwa wana kilakitu lakini madem wanawapuuzia hivyo wakapanga kufanya party apo shishanyama...
Pastor nkosi akiwa ofisini akiwaza.. kisha akaketi chini na kuanza kutazama PC yake (japo kama kawa itv wanarusha ila inaonyesha kuna mchezo pastor anao wakurekodi video akiwa na pisi kali faragha.... sina uhakika) kisha akafunga na kwenda kuonana na kijana mmoja maeneo ya maficho na kumkabidhi pesa "sadaka zile zilizo ibiwa" kisha akamlipa na kumwambia apotee apo kwa mashu
Usiku mwingine jabulile akiwa sebleni katika maombi kama kawaida, ghafla anamuona mangcobo akitoka tena akiwa katika hali hilehile ya wenge time hii aliona amuache na kufata adi mwisho aone anaelekea wapi.... hatimae wanafika adi ofisini pale walipo mzika nkosinathi na kumwona mangcobo akilala pale chini na kuanza kuzungumza"samahani sana kwa kukuumiza... usilie"bhla! bhla! bhla!
Mwisho. Its Pancho
😂😂!! yaan kweli uyo sibahle amevuruga pakubwa ayanda anampa kichwa ila anapoteaHuyu mama bandile ni mtu wa kusali Sana yaani
Halafu leo nimeona hili toto sibahle linamjibu baba yake dhlomo shit kinoma yaani linaboa Sana..
Nadhani ni swala la muda mambo yatabumbuluka tu.
Safi Sana pisi kali dhlomo atajutia kukuacha
Ayanda umalaya haachi naona sasa dhlomo ataanza kummind ayanda.😂😂!! yaan kweli uyo sibahle amevuruga pakubwa ayanda anampa kichwa ila anapotea
maombi ya mama bandile leo kwa mdogo wake yamenichosha😂😂
ivii hi couple ya nosi na mondli inaelekea wapi?? au ushakoroga mambo yako 😂😂
Its Pancho
Alaah! Kitaeleweka mbona.. 😅Ayanda umalaya haachi naona sasa dhlomo ataanza kummind ayanda.
Yale maombi nimecheka Sana aseeh
You know my things nosi lazima arudi mamlambo kanifanyia Mafekeche 😁
Ukiwa kama mama wa kambo wa sibahle unaonaje uhusiano wake na pastor fake?Alaah! Kitaeleweka mbona.. 😅
Daaah demu wako kapigwa kibuti na mondUkiwa kama mama wa kambo wa sibahle unaonaje uhusiano wake na pastor fake?
Good nimeona jana hapa najipongeza na Safari ya bariidi.Daaah demu wako kapigwa kibuti na mond