Nimeangalia tena marudio yote vizuri
Ayanda amezingua hizi sio tabia za kiume kabisa
Sawa mangcobo ni mama yake lakini vipi kwa mxo? Mxo na mangcobo ndo wana Bond kubwa zaidi na wanaelewana maana amenyonya maziwa ya mama huyu, na hata amekua akilelewa na huyu mama,
Ayanda alisemaga hawezi kulelewa na mama muhalifu sasa sasa hivi ndo anajifanya ana upendo mbaya zaidi anampush mxo mbali kabisa huu ndio umama, mxo alifanya yote haya kwa ajili ya mangcobo anampenda huyu mama mnoo..!
Binafsi mimi nimemkubali mxo kwenye scenario hii hata xulu huko jela atakuwa anajivunia Sana.
Ayanda ni mchungaji anawajudge wengine dhambi zao badala ya kuwasaidia lakini yeye amesahau ni malaya na muharibifu wa wanawake he is a womanizer..!
Nb: nimeangalia trailer kidogo ayanda wamemvua uchungaji, wamelirudisha lile li pastor nkosi na pia kamtolea mxo mabegi na nguo nje..!