Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Ivi jamn wale askali waliokuja kutoa msaada walikuwa sahii kusimama nje muda wote ule
 
Hehehe..nimependa mxolisi alivgodundwaaaa😂🤣🤣🤣
 
Jana nilicheka gc alivyojiita princess😂😂😂😂😂khaaa
 
Mxo kapigwa leo vitasa na ayanda mxo kaniangusha Sana
Huyu ayanda snitch kinoma kamchomea utambi mxo kwa manzuza.
Team mxo tutarudi na moto mkali pastor mpenda mademu ajiandae.
 
acha tu nimemmind uyu pastor fake mpuuzi tu huyu et maamaa nyoooo
 
Mnoko tu saivi ndo anajidai ety mama siku zote alikuwa wapi?
Hajui kinachoendelea ila anajifanya anajua kila kitu mpuuzi huyu pastor malaya,
 
Acha jmn yule ni mama ake lzm mshtuko utakuwepo[emoji2]pastor atamaliza mademu wote wa kwamashu
 
Nimeangalia tena marudio yote vizuri
Ayanda amezingua hizi sio tabia za kiume kabisa
Sawa mangcobo ni mama yake lakini vipi kwa mxo? Mxo na mangcobo ndo wana Bond kubwa zaidi na wanaelewana maana amenyonya maziwa ya mama huyu, na hata amekua akilelewa na huyu mama,

Ayanda alisemaga hawezi kulelewa na mama muhalifu sasa sasa hivi ndo anajifanya ana upendo mbaya zaidi anampush mxo mbali kabisa huu ndio umama, mxo alifanya yote haya kwa ajili ya mangcobo anampenda huyu mama mnoo..!
Binafsi mimi nimemkubali mxo kwenye scenario hii hata xulu huko jela atakuwa anajivunia Sana.
Ayanda ni mchungaji anawajudge wengine dhambi zao badala ya kuwasaidia lakini yeye amesahau ni malaya na muharibifu wa wanawake he is a womanizer..!

Nb: nimeangalia trailer kidogo ayanda wamemvua uchungaji, wamelirudisha lile li pastor nkosi na pia kamtolea mxo mabegi na nguo nje..!
 
Wamemvua upostor kwasababu ya umalaya au?
 
Kuna watu wanaondoka kwenye hii tamthila kama ayanda, mxo, sma, mastermind ila namna wanavyowaondo haifurahishi
 
Back
Top Bottom