Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Mmmh jmn aunt wa Zulu [emoji119][emoji119] msambwanda ule uwiiiii mpk kitembea ni shidaaa
 
Leo
Zweli anaingia ofisini na kuchukua kile kitega sauti na kuondoka zake,
Manzuza akiwa na mxo sebuleni usiku, ayanda anarudi kutoka date alipokuwa na sma, kisha manzuza anauliza kama ayanda alim propose sma ayanda anakataa, kisha manzuza anamlaumu Sana ayanda kwanini ameshindwa kumwambia sma ikiwa yeye(manzuza) alishamwambia sma kwamba ayanda anampenda na anataka wawe wachumba.

Zweli anarudi nyumbani na kukaa kuanza kusikiliza kile kinasa sauti alichotega na kusikia mengi waliyoongea sbu na zakes ikiwemo zakes kufanya dili hili la mwisho kisha kutoroka na kumkimbia mangcobo
Muda huo huo sma anaingia kutoka date alipokuwa na ayanda lakini anaonekana kanuna Sana, zweli anajaribu kumuita ila sma anapitiliza kulala..

Asubuhi anaonekana nosipho na kadada fulani (sijakajua sababu sijafuatilia Week 2) wakiwa wanafanya mazoezi kisha msichana yule anamuuliza nosi kuhusu mondil na kumuhimiza nosi amchangamkie mondil vinginevyo wadada wa kwamashu watamuwahi mondil...

Zweli anaenda mapema hiyo asubuhi kwa manzuza mxo anamfungulia mlango, kabla hata hawajaongea vizuri manzuza anatoka kuuliza kuna nini, mxo anajibu kuwa zweli kaja hapo ili amsaidie kumuandikia cv, kisha zweli anaongezea kuwa anataka kufanya kazi za wavaa suti, manzuza anajibu kuwa anawafatilia kisha anasepa.
Zweli anatoa kile kinasa sauti ila mxo anamwambia wakutane kwa sis D.

Thobile anaenda kwa kina sma na kumkuta amelala na nguo zile alizotoka nazo out jana, sma anamuweka wazi thobi kuwa ayanda hajam propose kitu licha ya ku book restaurant nzima, thobile anambembeleza shoga yake..

Wakiwa kwa sis D baada ya mxo kusikiliza kila kitu kwenye kinasa sauti, anadai waondoke wakamuue zakes kabla hajakimbia, zweli anamzuia na kumsihi wawe na subira kwani ana plan yake, ila mxo bado anashikilia uamuzi wake, zweli anamwambia mxo hana tofauti na mkhonto mwisho mxo anakubali kumsikiliza zweli.

Dhlomo akiwa nyumbani kwa manzuza akimtaarifu kuhusu mwanae wa kike waliyeachana tangu 1996 alipokuwa na mwaka mmoja (jina limenitoka) na anaeleza mkewe alikimbilia Swaziland na mtoto sababu dhlomo alikataa kufunga naye ndoa.

Ayanda anaenda kwa sma na kumwambia kuwa hampendi kimapenzi bali anataka wapendane kama kaka na dada sma analia kisha ayanda anambusu sma kwenye paji la uso na kuondoka,

Wakiwa kanisani ayanda anawapongeza wanakwaya wake kwa kusaidia kituo cha wanafunzi wa shule nadhani ni watoto yatima. Kisha anawatangazia kuwa yeye na thobile hawako kwenye uchumba tena.
Watu wanapinga akiwemo mamlahmbo na thobile, ayanda anamuomba thobile aimbe pambio, thobile anagoma na kuondoka zake na GC..

Nyumbani kwa manzuza thobile akiwa na sma wanamsimulia kila kitu ma nzuza anawaka Sana na kuahidi kuwa atalimaliza hilo upesi hivyo sma asilie..

Zakes akiwa ofisini sbu anamletea watu wawili na kumuambia kuwa hawa ndo vijana wa kazi, kisha zakes anawapa kazi vijana hao ya kuteka na kupora pesa, nadhani watu hao ndio watakuwa kina zweli..

Baadaye kidogo zweli, zakes, mxo, sbu wakiwa ofisni wanapanga ramani namna ya kuiba magari na wapi pa kuyaficha, muda huo mxo na zweli wanamuangalia zakes kwa jicho kali, zakes anamuamuru sbu awawekee wine mezani wajipongeze kidogo..

Usiku pale xulu panel beater gari inaingia wanashuka sbu, zweli, mxo kisha zakele anatoka nje na kuwapokea kwa kuwauliza kazi imekwenda vipi,
Wao wanamwambia kuwa wameyaficha sehemu magari yote matano, wanauliza kuhusu pesa zakele anawajibu kuwa hajapiga simu kwa huyo aliyetoa oda so atamcheki kumfahamisha kuwa kazi tayari aandae pesa, kisha mxo na zweli wanaaga
Zakes na sbu wanafurahi na kuingia ndani ofisni huku wakiweka wine na kujipongeza huku wakitaja ballito (mtaa wa kishua huko Durban)
Zweli na mxo wanarudi tena na kuanza kuwachungulia na kusikiliza wanaongea nini...

Mtanisamehe Sana kwa lugha yangu mbovu..
 
safi sana kijana
 
Dah asante sana ndugu
 
Mkuu Hongera kwa usimuliaji mzuri.
Kwa kuongezea Ayanda kumpiga chini Sma ni sababu ya binti wa Dhlomo waliyekutana naye barabarani wakati akienda kumdate Sma!
Hiyo ni ya juzi👆
 
Mimi nina muda mrefu sijaangalia ndio jana kwenye trailer pale nikaona dhlomo anamkumbatia yule dada na kusema ni mwanae kumbe amekutana na ayanda?
Pia yule dada aliyekuwa anafanya mazoezi na nosi ni nani mkuu?
 
Yule dada ni rafki wa shuleni wa nosi walikutana na nosi pale saluni kwa gc wakati nosi anagombana na gc kwa umbea wake wa kwenda kumshushua mondli...(huyo dada alikua akitengenezwa nywele) nadhan n hivyo ka sjakosea
 
Nitunuku sasa dhlomo mumeo atarudiana na mkewe ujue
acha tuuu akili yangu haipo sawa huyu mzee ni fisii anammezea mate manzuza maana siyo kwa kampan hiyo anayo mpa(sizani ka kuna usalama)🤔
Alafu jaribu kurudirudi kwa sma umfariji ata siunaona pastor wetu kashampiga kibuti😜
 
Wewe na sma cha moto mnakiona sasa
😀😀😀
 
kama nakuona unavyochekelea lakwako linakuja subiri😒
 
acha tuuu akili yangu haipo sawa huyu mzee ni fisii anammezea mate manzuza maana siyo kwa kampan hiyo anayo mpa(sizani ka kuna usalama)🤔
Alafu jaribu kurudirudi kwa sma umfariji ata siunaona pastor wetu kashampiga kibuti😜
Amempiga kiputi sababu ya Sibehla Binti wa Dhlomo!
 
Kwa kuongezea Ayanda kumpiga chini Sma ni sababu ya binti wa Dhlomo waliyekutana naye barabarani wakati akienda kumdate Sma!
Hiyo ni ya juzi
Halafu kila wakati anamuwaza tu. Ila binti wenyewe naona atakuwa tatizo pale Kwa Mashu
 
Jana binti wa Dhlomo pamoja na mzee Dhlomo ndiyo wamealikwa dinner kwa Manzuza. Duh Ayanda alivyochanganyikiwa! Hata haamini macho yake, maana alikwenda kumvamia binti mwingine pale kwa nyamachoma kumbe sio yeye.
 
Back
Top Bottom