Toofast
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 522
- 942
pamoja....safi sana kiongozi... barikiwaaa mnoo. Usiache[emoji122]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja....safi sana kiongozi... barikiwaaa mnoo. Usiache[emoji122]
Yan had raha ulivoelezea saivi hata nisipoona najua ntakutana na hii kitu yenyewe kwa urefu kabisa keep it upmxolisi kapigiwa CMU na jamaa mmoja mteja Wao(simjui jina) amempa order ya kutaka Italian cars na kumuahidi malipo yatakuwa mazuri(six figures amount) kisha baada ya hapo anampigia CMU bimkubwa ake mangcobo kwa ajili ya kumuomba msamaha kwa kumjibu vibaya ,kiroho safi mangcobo atamjibu nilishakusamehe muda tu,so mxolisi anaamua kumjulisha kuhusu order ya magari aliyopata na kuhusu kiasi cha pesa alichoahidiwa kama malipo baada ya Kazi.
mangcobo atafurahi sana baada ya kusikia hela lkn mxolisi atachafua hali ya hewa kwa kuingiza habari za kutaka mama ake aachane na zakes so mangcobo atachukia na kukata Simu.
Ayanda baba mchungaji akiwa nyumbani kwao atembelewa na smangele kisha na kupatiwa karatasi ya malipo sikumbuki ni malipo ya nini
kisha ayanda anamkaribisha smangele ajimuike nae lunch,smangele anajibu kwa kusema
anapendelea kujipikia mwenyewe kuliko kula vyakula vya kuagiza,so ayanda anadakia na kumjibu kama ungekuwa mke wangu ungekuwa unanipikia ,nisingekuwa nakula vyakula vya kuagiza.
smangele anamwambia ayanda hajui amweke kwenye nafasi gani,kati ya mchungaji au boyfriend wake kwa sababu ayanda muda mwingi anautumia kanisani ,so ayanda kabla ajatoa majibu mazuri anapigiwa simu na kumwambia smangele hii simu ya muhimu na nitaongea kwa muda mrefu , so smangele anaamua kusepa zake.
mondile anaenda kunyoa nywele kwenye saluni ya wakina thobile na nosipho akiwepo,akiwa anahudumiwa na GC kwa kuanza kuonyeshewa mitindo tofauti tofauti ya nywele ,yeye atasema anataka anyolewe brush staili ,ataki mbwembwe za mstaili zingine kwa sababu yeye ni polisi na si mchezaji mpira,so baada ya hapo nosipho ataanza kuongea na mondile kuhusu mambo ya jogging.
mangcobo anaenda kuonana na zakes ofisini ghafla bi ni vuu si atamkuta sbu anaongea na zakes ,hasira zitampanda na kuanza kufukuza sbu ofisini kwa kumpiga na mkopa na kumtolea maneno ya kumuuliza VP amekuja tena kupika whoonga ,so zakes atamzuia mangcobo na kumuamrisha sbu aondoke kisha zakes anamwambia mangcobo asiwe na hasira na kwa sasa anafanya kazi na sbu kisha atamtania lili(mangcobo) kwa kusema kumbe na yeye ajua kuliwasha(mshari) na kusema kweli nipo na mpambananaji.
lili(mangcobo) anamjulisha zakes kuhush mxolisi kupata order ya Italian cars
zakes anaingia mtaani akiwa na sbu kwenye gari kwa ajili ya kumcheki mxolisi ,so baada ya kumuona atamwambia mxolisi washirikiane kwenye ile order yake alioipata,mxolisi atamjibu zakes vibaya vilevile sbu na kuwaambia mwisho wao unakaribia.
nosipho anaenda kituo cha polisi na kujifanya alitishiwa kisu na wezi Mara baada ya kumuona mondile ,so mondile atamwambia inabidi tuandike maelezo,nosipho atasema hakuna haja,so mondile atamwambia kwa hiyo ulikuwa unadanganya ulikuwa hujatishiwa chochote ,so ataamua kumfunga pingu kabla ajafanya dhlomo anatokea na kuuliza nini kinaendelea ,mondile atamjibu dhlomo na kabla hajamaliza ,nosipho anakimbia
dhlomo anamchukua mondile na kuelekea nae ofisini na kumwambia HV unajua yule mtoto wa nani,mondile anamjibu na kuwambia ni mtoto wa xulu,so dhlomo anamwambia mondile jiangalie.
Uko vzr aisee had rahanosipho anaongea na mama ake mambo tofautia tofauti,wakiwa kitchen huku nosipho akiwa amevalia
nguo za mazoezi ghafla ataiona Pete ya mama ake aliyovishwa na zakes,atamuuliza mama ake kwa nn amekubali halafu mbona mapema Sana.
mangcobo atamjibu nosipho na kumwambia mapema unaona wewe je unataka Mimi nizeeke nikiwa peke yangu(single) vile vile ni maamuzi yangu nishaamua hivo.
nosipho baada ya kutoridhishwa na maneno ya mama ake ,Anaamua kusepa kuelekea jogging ambapo huko atakutana na mondli.
kisha watasalimiana na baada ya hapo mondli ataanza kumlaumu nosipho kwa nini alidanganya kwamba alikuwa ametishiwa kisu na wauni,kisha kumwambia uongo si mzuri kwa Sababu unaweza kukutia matatizoni siku moja ,na inawezekana ukapata kweli matatizo ukaja kituoni na tusikuudumie ipasavyo tukijua tu unadanganya.
halafu vilevile sijui nilishindwa vipi kujua Kama wewe na familia yako kwamba mna tabia ambazo si njema.
so nosipho baada ya kutajiwa tu familia ,anashikwa na hasira na kumwambia mondli sikiliza wewe usizani mimi ninavokufatafata kwamba nina shida Sana na wewe halafu sitaki tena nikusikie ukiitaja familia yangu,kisha nosipho anasepa zake.
zweli(mastermind) akiwa nyumbani anazungumza na Dada ake(smangele) kuhusu mipango yake kama vile kwenda kutafuta maisha Johannesburg,so smangele anamuuliza kwa hy umesema unaenda kutafuta maisha ,je unaweza kuniambia kipi ambacho utakuwa unafanya kwa ajili ya kukuingizia kipato,
zweli atajibu chochote kile na kumalizia na statement I will hustle.
zakes akiwa ofisini(panelbeaters) anatembelewa na mtoaji oda wa Italian cars aitwaye samuel ngidi
yote yamewezakana kwa kujulishwa na SBU
samuel ngidi atamwambia zakes ukitaka kufanya biashara na Mimi lazima ukubaliane na conditions zangu MF moja ya condition ni lazima mxolisi awepo na uwe unashirikiana nae
so kishingo upande zakes atakubali ,kisha wanapeana mikono na samuel ngidi anasepa.
mxolisi anaenda kuonana na zweli(mastermind) kwa ajili ya kumshawishi afanye nae tena kazi,lakini zweli atamwambia kuanzia sasa sifanyi kazi za bure,na kwa kila kazi tutakayofanya tunagawana faida. 50 kwa 50,mxolisi atamwambia hamna shida kisha anasepa.
smangele anaonekana akiwa nyumbani kwa pastor ayanda akicheki stocks za vitu jikoni lakini kabla ajamaliza anatokea ayanda akiwa na mifuko mbalimbali ya vitu toka sokoni ,kisha watasaliamana na kumuuliza smangele ameingiaje ndani,smangele atamjibu na kumwambia nilisaidiwa na mxolisi,so smangele atavaa apron,vile vile ayanda
lkn smangele atamuuliza unafanyeje ayanda,yeye atajibu nataka nipike
so smangele atamwambia kazi ya kuwapikia wajumbe wa bodi na wachungaji ni ya kwangu kwa hy acha.
mxolisi anaenda nyumbani kwao kwa zamani kuonana na mama ake mlezi(mangcobo) kwa ajili ya kumjulisha kuhusu kutaka kufanya kazi na zweli ,so mangcobo hatoafiki kabisa na kumwambia mxolisi hatuwezi kufanya kazi na wasaliti halafu vile vile kazi anayofanya zweli hata zakes anaweza kuifanya na tena Ana uzoefu nayo.
baada ya kujibiwa hivo mxolisi ataona Pete kwenye mkono wa mangcobo na kumuuliza kulikoni
kisha mangcobo atamjibu Kama unavyoona nataka kufungua ndoa
lkn mxolisi atamwambia VP kuhusu baba ,mangcobo atamjibu nimsubiri baba ako hadi lini kwanza zakes ni MTU mzuri kwangu.
smangele anaenda kuonana na ayanda kanisani kwa ajili ya kuzungumzia mawili matatu kuhusu mstakabali wa mahusiano yao lkn kabla hata mazungumzo hayajakolea zinatokea pisi Kali tatu mbele yao na kumwita pastor ayanda,smangele baada ya kuona hivo anachukia na kuondoka.
mangcobo kamwita mamlambo nyumbani kwake ,kwa ajili ya kumjulisha kwamba anataka kufunga ndoa na zakes
mamlambo atamwambia aiwezekani kufungisha ndoa kanisani kwetu ambayo inamuhusu mtu ambaye ni shetani Kama zakes.
umeonaee itamkosti sanaHataki kupitia shida kaonjeshwa karanga anataka kutema Big g kabisa.
Daaah pastor hatarisindio sai wapo kwenye penzi zito[emoji28]
nosipho anaongea na mama ake mambo tofautia tofauti,wakiwa kitchen huku nosipho akiwa amevalia

ni motoDaaah pastor hatari
Ni kama nimeona live,ni simulizi tamunosipho anaongea na mama ake mambo tofautia tofauti,wakiwa kitchen huku nosipho akiwa amevalia

Unapoweka ubuyu hàpa hakikisha umeweka Kila kitu bila kubakisha.Wengine hatujaangalia Uzalo tuna mwezi Sasa!Napenda kuwa na mashangazi kama hawa yaani shangazi wa xulu Kamtimua zakes kama mbwa
Mimi sio msimuliaji mzuriUnapoweka ubuyu hàpa hakikisha umeweka Kila kitu bila kubakisha.Wengine hatujaangalia Uzalo tuna mwezi Sasa!
Hehe pole Mimi niliangalia Jana usiku ngoja nieleze nnachokumbukayani nilikua naangalia marudio wameleta mambo ya mama samia….woooiii
Mkuu hongera sana kutujuza Kwa kirefu👍👌Baada ya Mxolisi na Na Mastermind kuiba ile Gari BMW i8 aka Beamer walionekana Kwenye Cctv camera na mwenye Gari akampelekea Dhlomo ili awakamate
Mxolisi na Mastermind wakakamatwa na Dhlomo kwa mahojiano na akawaambia saiv hamchomoki maana nina evidence
Mastermind na Mxolisi wakiwa wanasubiri kuhojiwa wakakubaliana hamna kusema ukweli mpk tuone ushahidi tunakataa kila kitu.
Basi Dhlomo na Mondli walivotaka kuwaonesha ile cctv footage wakawa wanaona chenga tu yaani Cd imeibiwa na haipo Kwenye laptop wakawa wanashangaa tu
Kumbd Zakhele Mkhize aka Zakes alimpa rushwa askari mmoja aibe ile cd yenye evidence
Mastermind na Mxolisi wakaachiwa huru
Dhlomo akaenda kwa Manzuza kumwambia kuhusu mxolisi kuwa anaendelea na wizi wa magari
Mxolisi anatoka kituoni anarudi nyumbani anamkuta Dhlomo anaongea na Manzuza akajua ashachoma akapitiliza chumbani
Manzuza akataka maelezo kuhusu kilichotokea Mxolisi akasema wamesingiziwa na hamna ushahidi wowote Manzuza akamwambia Mxolisi achague kati ya Xulu au Mdletshe
Shangazi yake Ghabashe kaenda nyumbani kwa Xulu anamkuta Zakes na Pajamas na kwakua hawajuani Zakes anataka kumfukuza shangazi mpk aliposema yeye ni shangazi yake Xulu Zakes anashikwa na aibu anatulia
Shangazi yake Ghabashe anapinga mahusiano ya Mangcobo na Zakes na hataki ndoa ifungwe anataka Zakes atoke nyumbani kwa Xulu
Mastermind ashapata ukweli kwamba Smangele anatoka na Ayanda,anamuonya asimuumize dada yake la sivyo watazinguana
Manzuza anamualika Smangele nyumbani kwake kwa ajili ya chakula cha usiku na kumpa go ahead Kwenye mahusiano yake na Ayanda
Ayanda anamtambulisha rasmi Smangele kanisani kwamba ni mtu wake.Mangcobo anasikitika kwa sababu Ayanda ni mwanae na hakumwambia chochote
Zakes ameenda kanisani ili Manzuza amuone ni mtu mwema kwa Mxolisi na anamuahidi kuwa wanafanya biashara hali pale Panel beaters
Nosipho anamwambia Mondli kuwa anampenda waanze mahusiano ila Mondli anasema twende taratibu tusiharakishe mambo tuwe marafiki kwanza
Mondli anaomba ushauri kwa Dhlomo kuhusu mahusiano anasita kuwa na nosipho, Dhlomo anamwambia chukua goma acha ufala
Nosipho amechoka kumfukuzia Mondli akamfata kituoni akamchana kuwa kila mtu na hamsini zake amechoka kujitongozesha akasepa ikawa aibu kwa Mondli kila askari kituoni anamcheka
Nosipho karudi enzi zake za kuvaa mawigi na vimini Mondli anajilaumu anamfata tena nosipho ila anakataliwa
Mastermind anawakuta Zakes na Sbu ofisini wanapanga njama walivomuona wakamfukuza
Baadae walivoondoka akaenda kuweka kidude cha kurekodi sauti Kwenye ofisi ya Zakes
Mxolisi amepata order ya magari matano akamwambia Zakes ghafla Manzuza anawakuta
Zakes anajitetea kwamba Mxolisi anamsaidia kazi
Manzuza anamwambia Mxolisi Aache kujihusisha na kina Xulu,ila Mxolisi anatishia kuondoka na kwenda Johannesburg akaendelee na maisha yake kwani hawezi kuishi bila kipato
Manzuza anamruhusu tena Mxolisi kuendelea na kina Xulu
Shangazi yake Ghabashe amemuita mjomba wake xulu nyumbani kwa Mangcobo ili waendeleze kupinga ndoa ya Mangcobo na zakes
Mangcobo anatishia kuwafukuza nyumbani kwake wakiendelea kumpangia maisha
Zakes baada ya kuona mambo yanataka kuhribika anampa offer mjomba wake Xulu awaache waendelee na ndoa na atampa Rand 20000
Mengine nimesahau..........
Pamoja manMkuu hongera sana kutujuza Kwa kirefu[emoji106][emoji108]
Kazi nzuri mkuu