Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Any Update kwa leo?
japo sjaikuta mwanzo....
mxo na zweli wakiwa kwa lily nje wakiongea.. mxo akihitaji kampan ya zweli(kwenda kufichua ukweli wa zakes) ila zweli akionekana kusita na kusema ni mambo ya kifamilia ila mxo akamsihi na wakakubali na kuingia ndani. Wakiwa ndani wanakutana na gc akiwa na thobile wametoka kuwaremba bi harus mtarajiwa na mwanae wa kike na kuwauliza kina mxo mbna amjajiandaa vp ai wakapotezea apo mxo na zweli wakapanda kwa lily na kumwambia kua zakes kachapwa ela zile lily kwa haraka akapiga sm kwa zakes na kuuliza na akaambiwa asijali kwan katuma vijana wa kufatilia
Kanisani kila mtu anasubiri maharusi awaonekani kusubiri na kusubiri kwaya kuimbwa waapi amna mtu pastor kachoka kasepa
Shishanyama ile gang ya kina mxo imepoz apo wanakunywa kwa raha zao na wanaropoka kuhusu dili lote kumbe sbu kawaona na kuwaskia... ghafla akachomoka ad workshop kumtafuta zakes akaambiwa kaenda kufunga ndoa sbu anashindwa afanyeje akachomoka kwa spidii
Kurud kwa wanaharus mangcobo anataka kuwafukuza kina mxo na kusema ni hasira zako maana umpend zakes mxo kamwambia huyu jamaa alipanga kutuzunguka aibe pesa sisi ndio tukajua tukamuwahi na pesa hizi apa.... zakes yupo kimya mangcobo haamini adi alipo sikilizishwa tape huhue likanuka mangcobo akaanza mtimua zakes ndio zakes kutoa risasi na kuwatisha(apo akiwa yupo ayanda maana alipoondoka kanisani alienda huko kwa wanaharusi) nimeandika rafu rafu tu hope mtaelewa tu..
mwisho
 
ai lavyuu 😀😀
 
Zakhe kawateka kina Mangcobo,Mastermind,Mxo,Nasipho, Ayanda nyumbani kwa Mangcobo .

Habari za kutekwa kwa kina Mangcobo zawafikia polisi na kufika eneo la tukio .

Zakhe kafyatua risasi ovyo huku akimwekea Nasipho bastola kichwani.risasi Moja ilimpata master mind mkononi .

Zakhe anyakua begi la Hela za wizi wa magari Toka kwa Mxo na Mangcobo akamvaa Pamoja na bastola yake.Risasi zikafyatuka na kuwaua wote wawili,Zakhe na Mangcobo .

Watoto wamlilia mama Yao wakiongozwa na Ayanda wakati huohuo Mxo akamwambia Mastermind akafiche begi la Hela lililoachwa na Zakhe Kabla askari kuingia Ndani.

Askari,kina Dhlomo wanaingia Ndani na kuwasogeza watoto waliokuwa wanamlilia mama Yao Mangcobo Ili wachukue maiti
 
So mangcobo ameenda hivyo mhhh???
Aseeh mbona mapema wamemaliza? Au mambo ya mikataba? Ndo wamuondoe?
 
Mangcobo ajafa nahisi ni mshtuko akazimia ila aliamka ndio akapelekwa hospital aliekufa n zakes
Jackal Its Pancho
OK muendelezo...
Sbu alipigiwa simu na Zakhe aende kumchukua kabla ya kufika kikosi Cha kina Mxo na mastermind kikamteka na kumuweka kwenye Buti ya gari na kuyeya.

Mammlambo aliongea na kina GC, aonyeshwa kwenye maoni kuhusu milio Yaa risasi kwamba mastermind na Mxo wapo hatarini.
 
Mangcobo ajafa nahisi ni mshtuko akazimia ila aliamka ndio akapelekwa hospital aliekufa n zakes
Jackal Its Pancho
Aaah daah nilishtuka Sana nilikuwa nawaza hapa ile chura yake tungeiona wapi?
Hope limeacha ujinga hili mama maana kupigwa ukuni kidogo na pesa zinaingia akadata matokeo ndo haya

Zakes alijipiga mwenyewe au?
 
Zakhe hajajipiga katika kunyang'anya silaha ikalipua na kuwapiga wote wawili!
 
Back
Top Bottom