Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

updates jamani, huku nilipo tv inaonyesha chenga alafu sometimes nachelewa kutoka kazini pia
 
Nipeni up date jamani tangu Week iliyopita sijacheki
 
#jana#
zipo picha ambazo mxo alizipata zikionyesha zakes akiongea na mtu jina lake skumbuki(ila inaonyesha nae anayo biashara kama ya mangcobo na ni wahasimu ka skosei) so wakamuweka zakes kati..wakamwambia wewe unataka kutugeuka umiliki hii kampuni zakes kakana na kugeuka akasema yeye ndio anataka amfilisi huyo jamaa na kuchukua kampuni yake na si yao.... mxo hakumwamini.... ila baadae mangcobo anaonyeshwa akiomba msamaha kwa zakes na kumtaka asiondoke hapo nyumbani
mangcobo akiongea na mxo na nosi na kuwaambia kuwa zakes ndio atakua boss nyie mpo chini yake..
kwa sma na ayanda.... ayanda anaonyeshwa akizidi kutupia voko kwa mtoto kijanja na smaa kuimezea tu
#leo#
mangcobo akiwa kalala mida ya usiku nyumbani kwake anazinduka na kuonekana kama akiongeleshwa na mtu kua "anasikia baridi" na mangcobo kujibu "acha nikuletee kitu cha kukupa joto" mangcobo anachukua blanketi na kunyoosha adi workshop yake pale alipomzika nkothinati(ka sjakosea) na kwenda kufunika apo nakubembeleza kisha na kuongea tena"bado unaskia baridi... acha nikakuongezee blanket"anatoka tena mara hii anaingia kwa kina nkothinat na kukutana na ayanda ambae mda huo alikua kafata kikiombe anywe chai... ayanda anashtuka na kumwita mangcobo ndipo mangcobo anashtukaa... ayanda akaanza gombaa na kumshutumu ni mchawi ndipo mxo anaamka na kumkuta mamaake mlez hapo... ayanda anazidi gadhibika na kuwatimua wote njee..
kesho asubuhi zakes akiwa kaingia ofisini anakutana na lile blanket na kumuuliza mxo ni lanani mxo anasema ajui mda huo huo anaingia nosipho na kusema ni lamama zakes akampa...
kanisani wanakwaya wakiwa na ao waimbaji mastaa wakiambiwa wajipange mwezi wasita mambo yatakua motoo..
magcobo anaenda kwa saikolojist na kuulizwa kinachompa mawazo na kusema n kuhusu mume wake kuwa jela na familia kumtegemea.. ila akaambiwa usipo kua muwazi kua n nn kinakusumbua ilo tatizo litazidi kumwandama.
kanisani baada ya semina yao kuisha sma anakutana na ayanda.. ayanda akawa wazi na kumweleza sma kua anahitaji kua zaidi ya rafiki na megineyooo... sma akamwelewa na mabusu ka yote.. .. mwisho..
Its Pancho
 
Saaaaaaafi Sana mamy
Unaonaje na mimi nikakupa mabusu 😁
 
Asante kwa kutupitisha kila mahali
 
#jana#
mxo akiwa na mazungumzo na mangcobo ghafla wanatofautiana maneno na mangcobo kumchana kua yeye si mtoto wake na ajue hilo mxo akasepa..
nosi anakutana na mondile katika mazoez na kuendelea na mazoezi aliyokua anafanya mondile baada ya mondile kuona anafanya kwa kukosea akamrekebisha na kumwambia inatakiwa iwe hivi bhas baada ya apo mondi akasepa na kumwacha nosi
sma akiwa na ayanda wanafika home (kwa kina ayanda) na kuanza kumweleza mambo ya kwaya bhas ayanda akaanza msifia kwa ushujaa wake wa kupambania kwaya kumbe sma ajapenda kusifiwa hivyo alitegemea kivingine akamuaga ayanda na kusepa
mda kidogo sma anaonekana akivalia umini wa heshima akiwa anajipodoa.. kakaake akamuuliza ndio hivyo mnaavaga kwenye kwaya skuizi😆.. na kusema kua anaenda kumtembelea mkontho....baadae akiwa kashatoka huko gerezani akiwa saluni na kuwataarifu wenzie kua sasa yupo huru kwani washaachana na mkontho hivyo yupo free kuwa na ayanda
mxo akiwa shishanyama anajilewea nosi akiwa na mwenzie anamwona na kumwambia mwenzie atangulie anakuja akaenda ongea na mxo.. mxo akamweleza yote yaliyotokea na kusepa zake
baada ya mda kupita nosi alikua kabaki apo akinywa juic bhas anatokea mondi kapita kuingia ndani nosi akaamka na kuanza kujitengenezea bhas mondi akaja wakasalimiana na kuongea kuhusu kuwa pamoja kwenye mazoezi hivyo na vitu vingine bhas nosi kwa kujishongodoa akaanza mtengenezea tai aya wakaagana na kusepa
mxo kutoka pale breki kaikamatia workshop na kumkuta zakes akila wakaanza rushiana maneno kuhusu zakes nia ya kudhulumu kaz yao na kumwambia utaona siku zako zina hesabika akasepa mda huo huo zakes akatwanga simu akampigia kijana wake na kumwambia ni muda wa kurudi kwamashu maana kuna kazi unapaswa kuishughulikia.
sma akionekana kanisani mida ya jioni akiwa na ayanda wanaongea(akiwa katika vazi lake lile la kimini) ndani ya mahaba mazito na ayanda ghafla wanafumwa na mamlambo na kuulizwa vipi nipo kama nimewavurugia mda wenu... ayanda kwa wasi wasi akajibu hapana kwani sma ndio alikua anaishia.. sma hakupendezwa na jibu lile akaondoka kwa hasira.
mida ya jioni akionekana zakes akiwa workshop ghafla anaonekana sbu akiingia na kufurahi wakicheka na kumkaribisha kwamashu😳 mtanisamehe mengine nimesahau
.... mwisho...
nana_ Its Pancho
 
Kumbe mibusu imeanza[emoji2]
 
Goood..!
Hapo kwanzia mxo anapobishana na mangcobo nilipaona hadi mwisho nashukuru Sana kwa kunipa update uendelee hivyo hivyo mtoto mzuri.

Sbu huwa haeleweki mara ya mwisho akikamatwa na dhlomo saivi karudi tena, nina imani hapa itakuwa mwendo wa Vita tu mxo vs zakes, sbu.

Sbu muhuni Sana huyu boya snitch.
Mangcobo nae atakiona cha mtema kuni soon maana kazama kabisa.
 
mxolisi kapigiwa CMU na jamaa mmoja mteja Wao(simjui jina) amempa order ya kutaka Italian cars na kumuahidi malipo yatakuwa mazuri(six figures amount) kisha baada ya hapo anampigia CMU bimkubwa ake mangcobo kwa ajili ya kumuomba msamaha kwa kumjibu vibaya ,kiroho safi mangcobo atamjibu nilishakusamehe muda tu,so mxolisi anaamua kumjulisha kuhusu order ya magari aliyopata na kuhusu kiasi cha pesa alichoahidiwa kama malipo baada ya Kazi.

mangcobo atafurahi sana baada ya kusikia hela lkn mxolisi atachafua hali ya hewa kwa kuingiza habari za kutaka mama ake aachane na zakes so mangcobo atachukia na kukata Simu.

Ayanda baba mchungaji akiwa nyumbani kwao atembelewa na smangele kisha na kupatiwa karatasi ya malipo sikumbuki ni malipo ya nini
kisha ayanda anamkaribisha smangele ajimuike nae lunch,smangele anajibu kwa kusema
anapendelea kujipikia mwenyewe kuliko kula vyakula vya kuagiza,so ayanda anadakia na kumjibu kama ungekuwa mke wangu ungekuwa unanipikia ,nisingekuwa nakula vyakula vya kuagiza.

smangele anamwambia ayanda hajui amweke kwenye nafasi gani,kati ya mchungaji au boyfriend wake kwa sababu ayanda muda mwingi anautumia kanisani ,so ayanda kabla ajatoa majibu mazuri anapigiwa simu na kumwambia smangele hii simu ya muhimu na nitaongea kwa muda mrefu , so smangele anaamua kusepa zake.

mondile anaenda kunyoa nywele kwenye saluni ya wakina thobile na nosipho akiwepo,akiwa anahudumiwa na GC kwa kuanza kuonyeshewa mitindo tofauti tofauti ya nywele ,yeye atasema anataka anyolewe brush staili ,ataki mbwembwe za mstaili zingine kwa sababu yeye ni polisi na si mchezaji mpira,so baada ya hapo nosipho ataanza kuongea na mondile kuhusu mambo ya jogging.

mangcobo anaenda kuonana na zakes ofisini ghafla bi ni vuu si atamkuta sbu anaongea na zakes ,hasira zitampanda na kuanza kufukuza sbu ofisini kwa kumpiga na mkopa na kumtolea maneno ya kumuuliza VP amekuja tena kupika whoonga ,so zakes atamzuia mangcobo na kumuamrisha sbu aondoke kisha zakes anamwambia mangcobo asiwe na hasira na kwa sasa anafanya kazi na sbu kisha atamtania lili(mangcobo) kwa kusema kumbe na yeye ajua kuliwasha(mshari) na kusema kweli nipo na mpambananaji.

lili(mangcobo) anamjulisha zakes kuhush mxolisi kupata order ya Italian cars
zakes anaingia mtaani akiwa na sbu kwenye gari kwa ajili ya kumcheki mxolisi ,so baada ya kumuona atamwambia mxolisi washirikiane kwenye ile order yake alioipata,mxolisi atamjibu zakes vibaya vilevile sbu na kuwaambia mwisho wao unakaribia.

nosipho anaenda kituo cha polisi na kujifanya alitishiwa kisu na wezi Mara baada ya kumuona mondile ,so mondile atamwambia inabidi tuandike maelezo,nosipho atasema hakuna haja,so mondile atamwambia kwa hiyo ulikuwa unadanganya ulikuwa hujatishiwa chochote ,so ataamua kumfunga pingu kabla ajafanya dhlomo anatokea na kuuliza nini kinaendelea ,mondile atamjibu dhlomo na kabla hajamaliza ,nosipho anakimbia
dhlomo anamchukua mondile na kuelekea nae ofisini na kumwambia HV unajua yule mtoto wa nani,mondile anamjibu na kuwambia ni mtoto wa xulu,so dhlomo anamwambia mondile jiangalie.
 
ya tarehe 20 jana
 
Ur the best[emoji1487] thank you so much for sharing [emoji3590]
 
Safi Sana mkubwa mkeka umenyooka
Ila nina mashaka Sana na hii order aliyopewa mxo
 
safi sana kiongozi... barikiwaaa mnoo. Usiache👏
 
Goood..!
Hapo kwanzia mxo anapobishana na mangcobo nilipaona hadi mwisho nashukuru Sana kwa kunipa update uendelee hivyo hivyo mtoto mzuri.

Sbu huwa haeleweki mara ya mwisho akikamatwa na dhlomo saivi karudi tena, nina imani hapa itakuwa mwendo wa Vita tu mxo vs zakes, sbu.

Sbu muhuni Sana huyu boya snitch.
Mangcobo nae atakiona cha mtema kuni soon maana kazama kabisa.
mangcobo kafa kaoza... zaidi kawa kipofu kabisaaa mbele ya zakes
mxo na zakes plus sbu hii vita sio ya kuisha leo....
 
Hataki kupitia shida kaonjeshwa karanga anataka kutema Big g kabisa.
 
Safi Sana mkubwa mkeka umenyooka
Ila nina mashaka Sana na hii order aliyopewa mxo
halfu kuna ka kipande cha mwisho sikuweka
zakes anaamua kumsuprise Lili (mangcobo) kwa kumuandalia chakula wakiwa nyumbani so akiwa amefumba macho,mangcobo atasaidiwa na zakes mpaka kufika kwenye meza ya chakula.

baada ya hapo lili(mangcobo) ataambiwa na zakes fungua macho yako ,so baada ya kufungua macho anakutana na chakula mezani ,so lili atamwambia zakes umenifanyia jambo kubwa ambalo sijawahi kufanyiwa na member yoyote wa familia yangu.

zakes atamjibu lili na kumwambia usiwe na wasiwasi ukiwa na Mimi ,mambo Kama haya utayazoea na kuyaona ya kawaida.

kisha mwamba zakes anavua Kofi yake na kuanza kupiga goti na kutoa Pete mfukoni na kumuuliza lili
je yupo tayari wazeeke pamoja??.
 
Back
Top Bottom