Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Mie sikua nafuatilia. Mara moja moja naangalia ila naelewa. Kuhusu Gxbashe aliyepo jela Pretoria, alimuagiza mwanasheria wake ampeleke mkewe wakaonane. Ila gia imebadilika angani baada ya jamaa huyu mpya (sijui jina lake) anayetoka na MacNgobo mke wa Gxbashe, kufanya njama na mwanasheria ionekane Gxbashe anataka divorce na kwamba amesha sign divorce papers. Zote njama za huyu sponsor mpya wa MacNgobo.
 
Kumbee
Huyu zakes mxo alisema kuwa xulu amekuwa akimtaja mara kwa mara kuwa ni adui yake mkubwa na anataka kuichukua biashara.
Kumbe mwanasheria shown sijui kaingia tamaa namna hii?

Daah mangcobo nae hasikii wala haoni, vijizawadi navyo anavyoletewa basi mbishi sana.
Huyu zakes ana kisauti kilaini sana lakini amejaa umafia mwingi sana yaani hata dhlomo anataka kumrudisha jela huko
Acha tuone japo jana sijafuatilia.
 
Jamaa inajua kubembeleza sana ile.
Mara utasikia inaita; Ooh, Lili...
 
nowadays uzalo hainogi au tupo busy,,,maana uzi umepoa [emoji38]
 
Nimeumia Sana huyu dogo bandile alivyogeuzwa scapegoat
ukizingatia ndio kaenda jela mara nyingi..
 
Back
Top Bottom