Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Ayanda kafukunzwa na maNzuza
Baada ya kuweka service memorial ya Nkos,mama anaamini mtoto yupo hai why wafanye vile,Mxo analetewa nguo mpya lkn anataka waongee kuhusu Ayanda but mama ake anajikausha
Ayanda sasa anaishi kanisani maNgoba amekuja na Ayanda kamwambia kama kafukuzwa na lindiwe kamwambia arudi home mlango upo wazi
Safi naona ayanda anaenda kugeuzwa mwizi wa magari sasa.
Hivi mxo bado hajakamatwa tu?
Ila manzuza mbishi sana
 
Ayanda kafukunzwa na maNzuza
Baada ya kuweka service memorial ya Nkos,mama anaamini mtoto yupo hai why wafanye vile,Mxo analetewa nguo mpya lkn anataka waongee kuhusu Ayanda but mama ake anajikausha
Ayanda sasa anaishi kanisani maNgoba amekuja na Ayanda kamwambia kama kafukuzwa na lindiwe kamwambia arudi home mlango upo wazi
Pamefika patamu sana.Kila mtu arudi kwao!
 
Wanaotumia dish la DStv station ya ITV ni namba ngapi?Kwangu natumia startimes Sasa nimekutana na DStv!
 
Pole Sana, DSTV hakuna local channels huko ...hizo ITV,startv, channel 5,clouds utazipata kwenye ving'amuzi vingine.
 
Hapana Itabidi Leo niende kwenye BAr yeyote ninunue hata soda au maji niwaambie waniwekee ITV ikifika saa Moja na nusu!

[emoji23] nilikua nataka kufanya hivo last week nilikua safari
 
[emoji23]
Lindiwe nagaidi wake nimesahau jina wametoka out kujipongeza baada ya mafanikio ya kuiba gari kali 3
Gaidi amewatonya dogs wake wawe makini na mxo
Lindiwe alienda tena kwa Ayanda kuongea nae na kumwambia yupo kama baba ake na mkaidi kama yeye Ayanda akatabasamu,aliombwa kurudi home wamemuandalia chumba hata kama sio kurudi kbs,Ayanda karudi kwa Manzuza na kuulizwa kafata nini,akajiongelesha wee mwishowe akakumbatiwa na mlezi wake,naona atarudi
 
safi sana nasubiri Jumamosi marudio yotee
 
Back
Top Bottom