Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Hii soap sijawahi kuiangalia tangu imeanza ITV ila naijua vizuri tu,baada ya xulu itakuja chafu nyingine inaitwa Nkunzi kama mume wa gangster lady lindiwe,mxo atakuja kumuuwa mama yake 'mzazi' MaNzuza (huyu ndie salafina kwenye movie ileee) pamoja na Sma,hawa wote watafia kanisani baada ya wahuni kwenda kupiga heist huko huko church,MaMlambo atakuja kuolewa kama mke wa pili wa Nkunzi,hii itasababisha balaaa kubwa na Mangcobo,Nosi atakuja kuwa demu wa mondi
 
Soap hii itachukua miaka mingapi ndio ifike Tamati?Isidingo ilichukua miaka 21!
 
Hii soap sijawahi kuiangalia tangu imeanza ITV ila naijua vizuri tu,baada ya xulu itakuja chafu nyingine inaitwa Nkunzi kama mume wa gangster lady lindiwe,mxo atakuja kumuuwa mama yake 'mzazi' MaNzuza (huyu ndie salafina kwenye movie ileee) pamoja na Sma,hawa wote watafia kanisani baada ya wahuni kwenda kupiga heist huko huko church,MaMlambo atakuja kuolewa kama mke wa pili wa Nkunzi,hii itasababisha balaaa kubwa na Mangcobo,Nosi atakuja kuwa demu wa mondi

ww uliangalia wapi?
 
Weee hatari sana
Sma atakufa daah
 
Mimi nimeona niache mbwembwe nasubiri marudio kesho yoteee
 
na wiki mbili sijaangalia uzalo.....😔sjui nitaielewa... 🤔
 
Back
Top Bottom