Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #1,161
Safi naona ayanda anaenda kugeuzwa mwizi wa magari sasa.Ayanda kafukunzwa na maNzuza
Baada ya kuweka service memorial ya Nkos,mama anaamini mtoto yupo hai why wafanye vile,Mxo analetewa nguo mpya lkn anataka waongee kuhusu Ayanda but mama ake anajikausha
Ayanda sasa anaishi kanisani maNgoba amekuja na Ayanda kamwambia kama kafukuzwa na lindiwe kamwambia arudi home mlango upo wazi
Hivi mxo bado hajakamatwa tu?
Ila manzuza mbishi sana