Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Mastermind kasusia ndoa ya mdogo wake.... Smangele alivyokua akipambwa akawastopisha wapambaji ili akaonane na kaka yake ili kumwomba asikose kuwepo kwani anamtegemea yeye.. master akakubali
Mangcobo nae kaisusia sherehe kwani akuharifiwa na mwanae ayanda, ila nosi anamsisitiza aende
Nosi anatoka na kwenda kumfata mxolis ambae nae hana ata mpango wa kwenda.. ila anamshauri nosi akamsisitize mangcobo aende, bhas nosi akasepa ila akimsisitiza mxo asikose
Haya kanisani ayanda akiwa anamsubiri bibi harusi (ambae alikua anamaliziwa kupambwa) bhas wageni wengine wakiendelea kuja ikiwemo mangcobo na nosi..... Sma anaingia kanisani akiwa na kakae zweli na kisha kukabidhiwa kwa mumewe mtarajiwa Ayanda....
Pastor akiendelea na kufungisha ndoa na kisha kuuliza kama kuna mwenye kipingamizi na ndoa hiyo.... weeeh mangcobo bila woga kanyoosha mkono na kusema anaipinga ndoa hiyo kwani yeye ndie mama mzazi wa ayanda....
Mwisho... Japo skuanzia mwanzo hivyo ni baadhi ya vipengele nilivyobahatika kuvicheki
 
Much thanks
 
Nilicheka juzi, mamlambo alivyompandisha presha sma akajua anataka amtabilie kwamba hana mimba. Nae ayanda jana angepunguza haraka angejua kwamba sma si mjamzito labda
 
Nina Zamdela ndani ya uzalo, na namuona kashaanza kuonyesha cheche zake, anamlazimisha Mxo awe mpenzi wake.. aisee angekuwa mbongo ndio analazimishwa vile angemuacha na mtako wote ule?! Uzalo saa 1:30 ITV
 
Nimamindi kinoma.....mambo gani kutubadilishia ratiba.....nimekwazika sana yani......wanahamjsha UZALO saa nne na nusu...wanatufanya sisi watoto hatuna ratiba zetu miaka 20 ya ISIDINGO tushaitenga saa moja na nusu sasa mnakuja kuanza UZALO mnaanza kubadili ratiba....
 
Mi pia nimekwazika. Kwann tusizame wengi huko dm za itv tukalalamika jmn
 
umeongea point me enyewe niliwaza hivyo maana hawajasikiliza maoni ya watazamaji alafu usikute wanatuletea iyo saa 4 alafu ukute bado ni nusu saa ni upuuzi utakua uo
 
Hlf marudio ya asubuhi saa 11 na nusu alfajir
Jumapili saa 5 usiku
Wamerogwa hawa
 
umeongea point me enyewe niliwaza hivyo maana hawajasikiliza maoni ya watazamaji alafu usikute wanatuletea iyo saa 4 alafu ukute bado ni nusu saa ni upuuzi utakua uo
tena mbali na nusu saa,sasa hivi itakuwa ni j3-j5 tu,siku 3 ndani ya week
 
Back
Top Bottom