Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Daaaah, aisee wamezingua sana. Cha umuhimu tutafute mtu wa itv atuchukulie flash yenye hiyo uzalo si tujipimie wenyewe
 
Amkeni huku hivi nini kinaendelea hapa kati ya G sii na huyu mgeni isije wakawa ndio wamesababisha tukahamishwa mpaka mtaa wa 4:30
 
Amkeni huku hivi nini kinaendelea hapa kati ya G sii na huyu mgeni isije wakawa ndio wamesababisha tukahamishwa mpaka mtaa wa 4:30
jamani wengine hatujaangalia muda kama kuna mtu anaweza summarize ya wiki iliyopita yote na kwanzia wiki hii nitashukuru
 
Alafu mnaoangalia kila siku muwe mnatu update wengine plz
 
Wana Uzalo mimi ji ndugu yenu, mfuasi wa Uzalo nawakaribisha muangalie kazi yangu mimi ya filamu
 
Nitafurahi kama wana UZALO mtaangalia kazi ya mfuasi mwenzenu kisha mkanipa maoni ya muinavyo kazi yangu hiyo
 
Nawakaribisha zaidi wana Uzalo mkaribie kutazama kazi nzuri ya sanaa toka FILAMU PICTURES, pia karibu msubscribe na kutoa maoni yenu
 
Back
Top Bottom