Uzalo Special Thread

Dah tulitoroka kidogo.
Nimechek jana marudio
Sma naona wazi anaenda kuumbuka soon.

Hivi gc kafukuzwa church sababu ya yeye kugongwa na yule dj lolo?

Ayanda naye hana msimamo kabisa.
Mondil naye naye anachokoza moto.

Jagiya uwena ngani my dear?
 
Hii tamthilia nimeanza kuifuatilia hivi karibuni.. naomba kwa mtu anayejua anijulishe sababu ya smangele kudanganya kuwa ana mimba nini..? Je ayanda asingemuoa au tatizo hasa lilikuwa ni nini..? Pia ni kwa sababu zip zilipelekea ayanda kuoa smangele na kumbe kuna demu mwingine anampenda halafu anajidai pastor..? Jaman nahitaj kujua ili niende sambamba na hii movie kalii baaa
 
Dah tulitoroka kidogo.
Nimechek jana marudio
Sma naona wazi anaenda kuumbuka soon.

Hivi gc kafukuzwa church sababu ya yeye kugongwa na yule dj lolo?

Ayanda naye hana msimamo kabisa.
Mondil naye naye anachokoza moto.

Jagiya uwena ngani my dear?
Yes Gc kafukuzwa kwa sababu hawataki mapenzi ya jinsia moja

Na smangele soon tu anachana mkeka
 
Skia iko hivi....

Smangele anadanganya kuwa ana mimba kwa sababu mimba yake ya ukweli iliharibika kwa bahati mbaya na mimba ndo iliyomfanya Ayanda amuoe smangele japokua anampenda Sibahle na pia kanisa lilimtaka Ayanda awe na mke ili aendelee kuwa mchungaji

Hivo bas...Ayanda hajui chochote kuhusu mimba ya Smangele kuharibika na pia hajui kama ile ni mimba feki hata mashosti zake pia hawajui ni siri yake yeye peke yake

Ikumbukwe kwamba hata hiyo mimba yenyewe smangele aliipata tu kwa bahati mbaya waliunganisha vikojoleo mara moja mzigo ukakubali

Na pia smangele anakaa na hiyo mimba feki kwa sababu ana target yake amekubaliana na mdada flani apandikizwe mbegu then akijifungua smangele anachukua mtoto anambambikia Ayanda

Kwahyo mimba ndo kitu pekee kinachowaunganisha Ayanda na smangele

Je mpango wa smangele utafanikiwa ?? Mimi na wewe hatujui tuendelee kufuatilia Uzalo

I hope nimekupa mwanga kidogo
 
Na pia Kuhusu Ayanda kuwa Kwenye ndoa na Smangele halafu anatembea na Sibahle ni kwasababu Ayanda kabla hajamuoa Smangele ndo akakutana na Sibahle kwa Mara ya kwanza akampenda wakawa na mahusiano kisha akamuacha Smangele

Baadae Ayanda alikuja kujua kwamba Sibahle alikua Malaya anajiuza hivo akaachana nae akarudi kwa smangele ndo akampa mimba ikabidi amuoe tu hivo hivo lakini bado alikua anampenda Sibahle

Kwahyo ndo maana mpaka sasa Ayanda kamuoa smangele lakini bado anachepuka na Sibahle
 
Asante sana kiongozi sasa tupo pamoja vxzr kabiisaaa
 
Naona Smangele week ijayo anakwenda kuumbukaaa... huyu anti aliyekuja nyumbani kwake anakwenda kufichua ukweli...
 
Pia afande Mxolisi mission yakee wahuni washajua kabla hata hajapiga hatua ndefu za kesi cha kifo cha huyo dogo ManNgabo
 
Pia afande Mxolisi mission yakee wahuni washajua kabla hata hajapiga hatua ndefu za kesi cha kifo cha huyo dogo ManNgabo
Ni afande mondil mkuu hata hivyo sikufuatilia kabisa tangu Jumatatu nitacheki marudio .

Ila sma nina uhakika anaenda kuumbuka vibaya sana.
 
Mondli mishen ishafeli mxo kagundua kua mondli alikua snitch... kaenda kusagura nyumba nzima ya mondli kakuta kile chumba cha siri na kufanikiwa kupata ile tape recorder aliyorikod kuhusu wao kuhusika na mauaji ya nkothinat
Mondli kurudi home kakuta nyumba ipo upside-down na tape kakosa chakufanya kaenda tu kumwambia manzuza kua mangcobo na mxo ndio waliomuuwa nkothinat.
kina mxo na mamaake mangcobo wanawaza na kuwazua kuhusu mondli alivyowalaghai
Nosi amemfuma ayanda wakikiss na sbale... ayanda anaamua kumfata nosi home kuongea ila nosi anamlaumu na kabla hawajamaliza maongez mxo na mangcobo wanatokea na ayanda anapotezea na kusepa
Sma anafake mimba na lengo ni kumsubiri kile kidada (ambacho kalisema kalikua n girlfriend wa nkothinat) simjui jina ajifungue amchukue mtoto aseme n wake anatumia gia yakwamba kunawatu wanataka kumuadapt mtoto wake
Manzuza baada ya kuambiwa uo ukwel anaenda kwa mangcobo na kuwakuta wote mxo na mangcobo anaanza kumuuliza mxo je n kweli umemuua mdogo wako.... kama kawa mxo muoga akawa kashaanza kutetemeka bila jibu bhas manzuza akaanza kulia kwan ukimya nao n jibu... mangcobo sasa na liroho lake ligumu akawa anamkazia macho mxo akaona hapa dili linaungua akapotezea chap n kusema unaaminije hayo maneno huoni wanataka kutugombanisha sasa mxo atamuuaje mdogo wake... bhas mxo nae ndio akapumua kidogo na kujiactisha
sma akiwa chooni anarekebisha tumbo lake bandia ghafla sm inaita anapokea..vun bin vun sba sianaingia anaona tumbo bandia limeanguka chini sma anaokota chaaap akatoka nje ndio sma anaskia mtu katoka bila kujua n nani anaanza kuita sba akachomoka na kusepaa....
Nilibahatika kuangalia j3 na leo japo bila kuanzia mwanzo na nimechanganya yote pamoja.....
Its Pancho Mafian cartel nana_ Vera ginger jamani turudini kundini mambo ni hot hot
 
wow, aiseee asante sana….ukiwa unaangalia uwe unatupa mrejesho maana mimi saivi siangalii kabisa
 
Safi sana umetusaidia sana ambao hatukucheki muda mrefu naona dhlomo kapoa saivi

Sma cha moto atakiona mbwa huyu.
 
Safi sana umetusaidia sana ambao hatukucheki muda mrefu naona dhlomo kapoa saivi

Sma cha moto atakiona mbwa huyu.
dhlomo kapoa mnoo scene kaiteka mondli sai...... smaaa naona anakwenda kua na mwisho mbaya
 
Maaskari wanapata warant ya kwenda kufukua ofini kwa kina mxo kutafta mwili wa nkothinat na wanakosa... inakua aibu kwa mondli ofisini kwake kwa kusemwa na wengine
Mangcobo anamshukuru mxo kwani aliwahi ofisini kwenda kuufukua mwili na kuuzika kwingine.
Sba anampelekea umbea ayanda kua sma hana mimba
Saiv naona mxo wako karibu na sba mmh... ikawa mzozo tena kati ya ayanda na mxo kwa mara nyingine kuhusu mapenzi mxo anamwambia ayanda aachane na sba kwani alishaoa.... ayanda anasema hawezi maaana sba ni.... kabla hajamaliza kuongea anaingia zweli anamuuliza ni nn maaana ushaoa ka vipi mwache sma kuliko kucheza na hisia zake
Nimebahatika ivyo vipengele tu
Its Pancho nana_
 
Safi sana mkuu.. sipati picha ayanda atakavyokwenda kwa smangele huku akijua ile siyo mimbaa... aisee atamkata makofiii ya hatarii
 
thank you so much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…