Charity Chikoleka
New Member
- Apr 19, 2018
- 1
- 1
Mbona hakuna muendelezo hii thread?Sijaangalia uzalo muda mrefu tokea siku ile ayanda anamtafuta smangele alivyopotea ghafla akawa haonekani nyumban na ayanda akawa hajui alipo.. zishapita kama week 3 sasa.. mwenye update yeyote naomba anijuze.. vip smangele alifanikiwa kuunganisha mimba feki kwa mumewe na kupata mtoto wa kununua..? Vip sakat la mondil na wale shemej zake walioua mtu limefikia wapi..
Tatizo limeanzia pale ITV walivobadilisha mda wa UZALO cjui nani aliwashauriMbona hakuna muendelezo hii thread?
Yaan mimi nasahau kila wakatiTatizo limeanzia pale ITV walivobadilisha mda wa UZALO cjui nani aliwashauri
Ishni kwamba Itv inalipa pesa nyingi kuonesha zile tamthilia za ki México, ambazo huonesha kwa muda wa miezi tu sio miaka. Siku hizi tamthilia ziko nyingi wanakosa watazamaji wakaona kuokoa soko lao wahamishie tamthilia za saa nne saa moja muda wa uzaloTatizo limeanzia pale ITV walivobadilisha mda wa UZALO cjui nani aliwashauri
tuadithie basi kidogoUzalo imefikia patamu sana
Japo za ki mexico ni bora kuliko uzaloIshni kwamba Itv inalipa pesa nyingi kuonesha zile tamthilia za ki México, ambazo huonesha kwa muda wa miezi tu sio miaka. Siku hizi tamthilia ziko nyingi wanakosa watazamaji wakaona kuokoa soko lao wahamishie tamthilia za saa nne saa moja muda wa uzalo
Na pengine wako sahihi, uzalo overtime itaendelea kuteka watazamaji wake maana yenyewe haina mwisho kama isidingo ndio kwanza ina mwaka mmoja
Kuna kipindi ITV ilishambuliwa sana kwa uhusika wa GC! Nahisi ni moja ya sababu ya kubadiliaha muda...Tatizo limeanzia pale ITV walivobadilisha mda wa UZALO cjui nani aliwashauri
Na hiyo ndo sababu kuna coments moja no ista itv walujibu kwamba wamebadirisha muda kutokana na mamlaka kuwataka ivo kutokana na gcKuna kipindi ITV ilishambuliwa sana kwa uhusika wa GC! Nahisi ni moja ya sababu ya kubadiliaha muda...
Ngoja niwape hints kidogotuadithie basi kidogo
Mkuu noma sana jitahidini muwe mnaangalia marudio ya wiki nzima jumamosi saa tano na nusu usikuNoma sana
[emoji120]Mkuu noma sana jitahidini muwe mnaangalia marudio ya wiki nzima jumamosi saa tano na nusu usiku
Una kipaji hongera!Kuna jamaa mpya amekuja kwa mashu anaitwa Nkunzi amepanunua ule mgahawa shisanyama amekuwa boss mpya pale kwa mashu
Huyu nkunzi naye anapiga dili haramu kuuza drugs,wizi
Sbu amerejea tena na amekuwa chawa wa nkunzi kama kawaida yake
Maisha yamekuwa magumu kwa Nosipho anaishi mwenyewe hana kazi,mxolisi amehamia kwa manzuza,mangcobo yupo hospitali ya vichaa
Nkunzi anataka kuinunua nyumba ya mangcobo lakini nosipho anagoma kuuza
Nkunzi akaenda hospital ya vichaa kuongea na mangcobo ili amuuzie nyumba ila akagoma
Nkunzi akaamua kutumia ubabe akamteka nosipho ili amchome moto afe
Muda huo huo mangcobo akapiga simu kwa nkunzi kuwa amekubali kumuuzia nyumba
Nosipho ndo akapona kuuwawa
Mangcobo yupo tayari kuuza nyumba kwa nkunzi ila kwa masharti ya kumsaidia kutoroka pale hospitali
Mengine nimesahau
Nimelipua tu juu juu ila shukran mkuuUna kipaji hongera!
Asante sanaNgoja niwape hints kidogo
Ayanda alipima DNA ya mtoto akajua sio wake na ndoa ikaishia hapo
Ayanda akarudi kwa sibahle wakaondoka kwamashu kuanza maisha mapya
Manzuza baada ya kukaa single kwa muda mrefu kuna jamaa akawa anamfukuzia na manzuza alishaingia kingi
Siku ambayo jamaa anataka kumvisha Pete manzuza mara pastor(mume wake manzuza) akarudi baada ya kutoweka kwa muda mrefu
Manzuza hana tena hisia na mumewe ila hisia zake zipo kwa huyu jamaa mwingine
Mxolisi kaacha wizi ni mtu mwema Amekuwa choir master
Mastermind bado anaendelea na kazi ndo Amekuwa bosi mkuu pale panel beaters
Mangcobo alijifanya chizi baada ya kugundulika amemuua nkosinathi akapelekwa hospital ya vichaa lakini sio chizi anawapoteza maboya ili asifungwe
nana_
Kuna bheki tena? Na pastor melusi 😢 daaah uzalo nishaachwa mbali sana saivi🙌🏾Long time wakuu
Bheki amezingua sana kiwango cha juu cha u snitch.
Pastor melusi gani tena yule?
Tatizo ni hisia mkuu na manzuza mwenyewe kaelewaLong time wakuu
Bheki amezingua sana kiwango cha juu cha u snitch.
Pastor melusi gani tena yule?