Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Sijaangalia uzalo muda mrefu tokea siku ile ayanda anamtafuta smangele alivyopotea ghafla akawa haonekani nyumban na ayanda akawa hajui alipo.. zishapita kama week 3 sasa.. mwenye update yeyote naomba anijuze.. vip smangele alifanikiwa kuunganisha mimba feki kwa mumewe na kupata mtoto wa kununua..? Vip sakat la mondil na wale shemej zake walioua mtu limefikia wapi..
Mbona hakuna muendelezo hii thread?
 
Tatizo limeanzia pale ITV walivobadilisha mda wa UZALO cjui nani aliwashauri
Ishni kwamba Itv inalipa pesa nyingi kuonesha zile tamthilia za ki México, ambazo huonesha kwa muda wa miezi tu sio miaka. Siku hizi tamthilia ziko nyingi wanakosa watazamaji wakaona kuokoa soko lao wahamishie tamthilia za saa nne saa moja muda wa uzalo

Na pengine wako sahihi, uzalo overtime itaendelea kuteka watazamaji wake maana yenyewe haina mwisho kama isidingo ndio kwanza ina mwaka mmoja
 
Japo za ki mexico ni bora kuliko uzalo
 
Kuna kipindi ITV ilishambuliwa sana kwa uhusika wa GC! Nahisi ni moja ya sababu ya kubadiliaha muda...
Na hiyo ndo sababu kuna coments moja no ista itv walujibu kwamba wamebadirisha muda kutokana na mamlaka kuwataka ivo kutokana na gc
 
tuadithie basi kidogo
Ngoja niwape hints kidogo

Ayanda alipima DNA ya mtoto akajua sio wake na ndoa ikaishia hapo

Ayanda akarudi kwa sibahle wakaondoka kwamashu kuanza maisha mapya

Manzuza baada ya kukaa single kwa muda mrefu kuna jamaa akawa anamfukuzia na manzuza alishaingia kingi

Siku ambayo jamaa anataka kumvisha Pete manzuza mara pastor(mume wake manzuza) akarudi baada ya kutoweka kwa muda mrefu

Manzuza hana tena hisia na mumewe ila hisia zake zipo kwa huyu jamaa mwingine

Mxolisi kaacha wizi ni mtu mwema Amekuwa choir master

Mastermind bado anaendelea na kazi ndo Amekuwa bosi mkuu pale panel beaters

Mangcobo alijifanya chizi baada ya kugundulika amemuua nkosinathi akapelekwa hospital ya vichaa lakini sio chizi anawapoteza maboya ili asifungwe

nana_
 
Kuna jamaa mpya amekuja kwa mashu anaitwa Nkunzi amepanunua ule mgahawa shisanyama amekuwa boss mpya pale kwa mashu

Huyu nkunzi naye anapiga dili haramu kuuza drugs,wizi

Sbu amerejea tena na amekuwa chawa wa nkunzi kama kawaida yake

Maisha yamekuwa magumu kwa Nosipho anaishi mwenyewe hana kazi,mxolisi amehamia kwa manzuza,mangcobo yupo hospitali ya vichaa

Nkunzi anataka kuinunua nyumba ya mangcobo lakini nosipho anagoma kuuza

Nkunzi akaenda hospital ya vichaa kuongea na mangcobo ili amuuzie nyumba ila akagoma

Nkunzi akaamua kutumia ubabe akamteka nosipho ili amchome moto afe

Muda huo huo mangcobo akapiga simu kwa nkunzi kuwa amekubali kumuuzia nyumba

Nosipho ndo akapona kuuwawa

Mangcobo yupo tayari kuuza nyumba kwa nkunzi ila kwa masharti ya kumsaidia kutoroka pale hospitali

Mengine nimesahau
 
Una kipaji hongera!
 
Ngoja niwape hints kidogo

Ayanda alipima DNA ya mtoto akajua sio wake na ndoa ikaishia hapo

Ayanda akarudi kwa sibahle wakaondoka kwamashu kuanza maisha mapya

Manzuza baada ya kukaa single kwa muda mrefu kuna jamaa akawa anamfukuzia na manzuza alishaingia kingi

Siku ambayo jamaa anataka kumvisha Pete manzuza mara pastor(mume wake manzuza) akarudi baada ya kutoweka kwa muda mrefu

Manzuza hana tena hisia na mumewe ila hisia zake zipo kwa huyu jamaa mwingine

Mxolisi kaacha wizi ni mtu mwema Amekuwa choir master

Mastermind bado anaendelea na kazi ndo Amekuwa bosi mkuu pale panel beaters

Mangcobo alijifanya chizi baada ya kugundulika amemuua nkosinathi akapelekwa hospital ya vichaa lakini sio chizi anawapoteza maboya ili asifungwe

nana_
Asante sana
 
Back
Top Bottom