Ngoja niwape hints kidogo
Ayanda alipima DNA ya mtoto akajua sio wake na ndoa ikaishia hapo
Ayanda akarudi kwa sibahle wakaondoka kwamashu kuanza maisha mapya
Manzuza baada ya kukaa single kwa muda mrefu kuna jamaa akawa anamfukuzia na manzuza alishaingia kingi
Siku ambayo jamaa anataka kumvisha Pete manzuza mara pastor(mume wake manzuza) akarudi baada ya kutoweka kwa muda mrefu
Manzuza hana tena hisia na mumewe ila hisia zake zipo kwa huyu jamaa mwingine
Mxolisi kaacha wizi ni mtu mwema Amekuwa choir master
Mastermind bado anaendelea na kazi ndo Amekuwa bosi mkuu pale panel beaters
Mangcobo alijifanya chizi baada ya kugundulika amemuua nkosinathi akapelekwa hospital ya vichaa lakini sio chizi anawapoteza maboya ili asifungwe
nana_