Uzalo Special Thread

Nosipho kashaingia kwenye mtego wa amos... anauzwa na madawa anavutishwa... Mama yake kaenda kwa amos, amos katoka kasema hapa sio kwa amos na wala hamjui nosipho
Kwa mangcobo na mke mwenza yule mwanamke kamuendea kwa mganga kapewa mauchawi kaweka kwenye nguo kaja mzawadia mangcobo anamwambia avae maana wamenunua sare ila mangcobo kasita akaenda mpa mamlambo...... 😂😂kisanga kinaanza mamlambo kavaa nguo anaanza kuwashwa na chawa🤣uchawi unamwendea yeye bila sababu
Mke mwenza anarudi kwa mangcobo anamuuliza nguo niliyokupa iko wapi nirudishie mangcobo anasema hana (kwa hapa sikumbuki vizuri) ila mtego wa uyo mke mwenza ulibuma
Kaja na plan nyingine alitaftiwa risasi na sbu akaenda kwa mganga akitaka dawa ya usingizi ili akizima tu amshoot mangcobo akapewa
Ukija kwa mume mtu akashikwa na machale kwakua aliona wake zake wanakaa kwa upendo mno na akasema hili jambo linampa mashaka maana kuna jambo baya linaenda kutokea mbele
Ukirud kwa mangcobo anamwambia mke mwenza kua anampango wa kufanya party kama ya kuwakaribisha kwenye hiyo nyumba maana tangu wameamia apo hawajawahi kusherekea bhas akakubali na kuona njia ndio hii...(kwani plan ya kupulizia madawa ili amuue ilifeli maana mume wake alikuja so ikabidi atoke chumban kwa mangcobo maana alikua kashazima na alikua kashamnyooshea risas ili ammalize ndio akaskia mume wake anaingia ndan na kumuita mangcobo) Sasa kwenye hii party aliyoambiwa na mangcobo akaona njia ndio hii akamwambia bhas tupate mda wawili tutoke twende tukainjoy ata tupate massage na blah blah blah....
Kwa nosipho akiwa na mabishano na amos wakiwa wanapigana kila mmoja yupo juu bhas amos kaona nosipho mbishi akachomoa bisto na nosipo akanywea akiwa wanazidi bishana nosipho kamzidi amos kamnyang'anya bisto na kutishia amos nosi akaanza kuchukua nguo zake kabatini na kuweka kwenye begi akamaliza karudi tena kwenye majibizano na amos ghafla amos kamzidi kamnyang'anya bisto duh kwa uwoga nosi akazimia😂
Sma nae bhado anakimbia akiwa na mtoto wa watu anatafutwa na mapolis anaishi kwa kujificha ficha analala chini ya madaraja... akaibiwa begi alilokua kabebea nguo za mtoto akawa hana chochote kuzunguka akakutana na mtu nae anamtoto akiwa na mabegi akamlia timing akamwibia akakuta pesa na vitu vingine akiwa ufukweni anatembea akakutana na huyo kaka akamjuahuyo kaka akamwambia mrudishe mtoto wa watu sma akabisha na kukimbia jamaa akaenda kuripoti kwa mastermind na kukimbia huko alipoonekanasma japo hawakumkuta... bdae wakiwa na mapolisi wakajampata sasa sma kakimbilia kwenye kingo ya bahari akitaka kujitupia humo na mtoto zweli akambembeleza adi akamuokoa mtoto ile wanageuka tu sma akajirusha..... japo alikuja okolewa na watu na kukabidhiwa mikononi mwa polisi
Mangcobo na mke mwenza safari ikawadia wamefika uko maporini kweli mangcobo anamuuliza atufiki akaona bora awashe redio ile anawasha akatolewa bisto na kuambiwa toka nje akashtuka na kuuliza nini shida na kuambiwa toka .... akaanza mlaumu mangcobo kuwa yeye ndio chanzo cha ndoa yake kutokua na furaha bhas mangcobo akamwambia naomba bhas nichukue sim niongee na nosipho bhas akamtolea pochi achukue sim kukaa nae ghafla sim yake ikawa inaita ile anapokea mangcobo akamuwahi na kumpiga adi akapoteza fahamu na kuanza kumueleza kua njia zake zote alikua anazijua adi zile za kumuendea kwa mganga bhas mangcobo akamweka kwenye gari na kusukuma gari korongoni likaanguka na kulipuka
Kwenye party watu wanafika mangcobo akiwa na mamlambo wanawaangalia watu wakifika.. Mzee mzima na mwanae wanamtafta mama haipatikani mwishoe wakasema kua mama kalala anamafua ikabidi adanganye huku akisema "sipendag upuuzi maana yeye anapenda atenshen sana" bhas party ikaisha ila mangcobo anahofu sana... akatoka akaenda kule garage kumbe anasimu ya uyo mke mwenza akatuma mesej kua yeye kaamua kuondoka...
Mengi yakapita bdae anaingia mondli kwa uyo mzee mzima na kumuuliza mkeo yukowapi maana kunagari limepatikana limeanguka na plet namba inaonyesha kua ni gari ya mkeo... akauliza jeh lilikua namtu ndani akasema alikua na mtu 🤔🤔🤔je inamaana uyo bibie hakufa?
Mangcobo anamuita msela flani wa kike amtaftie nosipho.....
Mwisho nimejaribu kuunganisha ya wiki nzima japo nimerukaruka ila kwa kiasi flani utapata kuelewa.... Its Pancho Kibunango
Mafian cartel
 
Duh ndo ilipofikia hapa noma sana umejitahidi

Jagiya
 
hey guyz
kitambo nimewakimbia uzalo sijachek miez kama minne hivi hebu tupeni mambo vp huko durban?
 
hey guyz
kitambo nimewakimbia uzalo sijachek miez kama minne hivi hebu tupeni mambo vp huko durban?
Mambo huko sio mambo, ni mwendo wa kuzungukana tu! Anyway sijui uliishia wapi na character ipi unataka kujua habari yake....
 
Mambo huko sio mambo, ni mwendo wa kuzungukana tu! Anyway sijui uliishia wapi na character ipi unataka kujua habari yake....
mxo na dem wake walipoznguana na alipokuwa amerud kwenye wizi pia yule jamaa mgeni hajamla mamlahmbo?
 
mxo na dem wake walipoznguana na alipokuwa amerud kwenye wizi pia yule jamaa mgeni hajamla mamlahmbo?
Mxo alikubali kuwa mpole na kumrudia demu wake, ila sio kwa speed ya mwanzo.

Mamlahmbo alidhani kalamba dume, kumbe ni galasa! Jamaa ni mjomba wa Thobile yule mdada wa saloon na demu wa mastermind.

Kumbe mjamaa aliwahai kumbaka Thobile alipokuwa mdogo.... hiyo alipokutana na Thobile, alistuka sana! Mbaya zaidi Thobile alikumbuka alivyofanyiwa na kuazisha kasheshe kuanzia kanisani, mtaani hadi Polisi. Hata hivyo alipuuzwa kote huko! Hadi kufikia kupiga risasi jamaa na hivyo kushtakiwa kwa kosa la kujaribu kuua hadharani.

Mungu si Athuman, wadada kadhaa walijitokeza na kuelezea kubwaka na mjamaa huyo.

Thobile akachiwa huru huku mjamaa akishikwa. Mamlambo akachanganyikiwa kwa kuwa na uhusiano na mbakaji....

Mwishò wa siku akamtema na kutubu ikiwa ni pamoja na kuomba samahani kwa Thobile....

Sasa kaanzisha mfuko wa kusaida wadada waliobakwa ...

Kwa ufupi ndio hivyo...
 
Ratiba ya uzalo imebadilishwa :Saa 4 na nusu na siku 3 Kwa wiki,jumatatu mpaka jumatano!
 
Dah kitambo sijaicheki....imefikia wapi
Yule jamaa shoga karudishwa kijijini kwa wazazi wake wakidai umri umekwenda anatakiwa aoe.Kamchukua mmoja wa rafiki zake pale saloon,GC ndio awe kama mchumba. Jamaa anajaribu kupiga chenga ndoa isifanyike ila wazazi wamekomaa.Wameshaandaa mahari ya ng'ombe na sherehe zimeanza.
Jamaa aliletewa mbuzi achinje kama ishara ya uanaume,akawakimbia wazee kwa mwendo WA kike/kishoga!
 
Duh hatari [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…