Nitajitahidi kueleza kila kipande cha mtu ninachokumbuka....
Familia ya baba mchungaji inaingia doa baada ya pastor kuleta mtoto wake wa nje ya ndoa binti mkubwa tu mama mchungaji anapagawa kwa maumivu kuhusu siri ya mumewe na kudai talaka
Mxo anaumizwa na maamuz ya wazazi kwani anawahitaji wawe pamoja na sio kutengana, anawaomba wazazi wasifike huko ila amna namna mana manzuza kakomalia talaka..... na kwa hasira anarudisha maupendo kwa yule mchepuko wake
Mxo na uyo nduguye wa mama tofaut (jina silifaham) wanaamua kufanya jambo ili kunusuru wazaz wasiachane, Wanaanda dinner kwenye meli huko ufukweni... binti kamuambia babaye naomba tukutane huko usiache mzee anakubali.. hivyo hivyo kwa mxo na mama yake anampa taarifa..
Mda ulipowadia manzuza anafika sehem ya tukio na kukuta pamepambwa na mziki mzur wa taratibu anafurahi huku akipepesa macho kumtafuta mxo amuoni... Mdleche nae anafika na kushangaa kumkuta manzuza na kueleza kua ya kaambiwa aje na mwanae ghafla wanaskia wimbo kwa mbali unawatoa kwenye maswali yale na kujikuta wanakumbuka momements za ujana wao na kuanza kujikumbusha...... wanasahau maswahibu yote na kusameheana
Siku waliyorudi nyumban na kuwataarifu wanao kua maswala ya talaka wameachana nayo sasa wamerud ka zaman watot wanafurah na kusherekea kwapamoja
Nosi 😅😅anapoelekea atamaliza cast yote ya uzalo kwa kudate nao😄Aliachana na mondli tena na kudate na huyo askar mpaya ambaye n ndugu yake nkunzi.... ila the way anavyoishi na huyo bwana mpya sio kama alivyokua na mondli zile out za hapa na pale anakosa alikua akimwambia mama yake hivyo
Mastermind wanarudiana na mpenzi wake wa zaman .... ila sijui ikawaje ila now master anamfukuzia mtot wa Mdleche wa kike yule (sikuangalia so sjajua ka wameachana na thobile au la)
Gc mmmmh... Mzee wake anatua apo kwamashu na kutaka kujua kijana wake anaishije na maswala ya mke... au mchumba ka anae... gc baada ya kuona mzee kaja akawa anavaa sasa ka mwanaume adabu tele maana mzee ni soo
Bhas gc baada ya kuona wazaz wake wanamganda juu ya ndoa wakapanga uongo kua yeye na thobile n wapenzi bhas wazazi wakawa wanaanza mikakati ka unavyojua wazee wa bush awapoi kwenye ayo maswala, gc na thobi wakaendelea na drama yao ila thobi anaanza kuogopa maana anaona jambo linazidi kua serious akamwambia gc waache kudanganya waseme ukweli bhas gc kuona hivyo akatoroka na thobi akawa kashasema ukweli wanaenda kumtafuta kwa kina mastermind maana ndio alikua anakaa uko wanakuta barua wakawapelekea wazaz wake barua ikiwa imejieleza vyote na kusema ni bora ajiue tu...
Yote na yote alirudi baada ya kutafutwa sana na kuamua kwenda kuoa kijijini hivyo akaondoka na wazaz wake
Kufika kijiji maandaliz yanaandaliwa ya ndoa ila siku ya sherehe anamuomba mama yake amwambie huyo dada ni yupi ili akutane nae waongee kumbe agenda yake ni kumwambia huyo msichana aondoke yeye ataki kumuoa ila mpango wake unabuma baada ya binti kugoma kuondoka na kusema kumuoa atamuoa tu..... Nyumban gc anatafutwa aonekan yupo huko anamfukuza mke😅 Mamlambo thobi na mdogo wa master wanafika na kukutana na mshike mshike
Ni hayo tu mengine yamesha elezwa..... na mengine skuangalia
Ya jana j3 sjaicheki aliecheki aishushe...
Kibunango Its Pancho