Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Nimeicheki leo na kuimaliza kwa mara ya kwanza inaonekana ni bonge moja la serie, jamaa aliyepo jela kapata mshikaji anamshawishi watoroke jela na plan mwamba anasema kishaiandaa, (patamu hapo) jamaa anaonekana kama anaelewa somo hivi,

Yule dogo gay anaombewa huko na wazazi wake wale I think, naona anawashaangaa tu hawa vipi?

Naona kuna msela kamuelewa sana demu flani ivi pisi kali anarudi pale walipokutana kumuulizia lakini muhudumu wala haelewi ile anaondoka tu demu naye anafika anaonekana kama vile anamtafuta msela lakini anashindwa aanzie wapi kumuulizia anasita kuuliza anaondoka,,

Sijawajua kabisa majina ila nitakua siikosi hii,,
 
Kwa haraka haraka, jamaa aliyepata mshikaji hapo jela ni Nkunzi( kwa kifupi).

Huyo gay ni CG.

Na huyo msela ni Mastermind.
 
Nkunzi yupo on the verge kuachiwa kwa kigezo kwamba ameonyesha utii na mabadiliko gerezani, na amemuomba Pasta Mdletshe ambatize pindi atokapo gerezani; jambo ambalo Mxo amelipinga vibaya sana. Nkunzi amekuwa anawafichua wenzake ambao wana malengo ya kutoroka gerezani, lakini cha ajabu nkunzi baada ya kupewa taarifa za kutaka kuachiwa amekataa kutoka Gerezani anataka hadi amalize kifungo chake. Wakati mwanzo hadi alitoroka gerezani na kukamatwa tena. Haya Nkunzi anakaribia kurudi mtaani. GC amembeleza Mama yake amsaidie kumuonyesha Mwanamke ambaye anataka aozeshwe, mama yake kwa siri kubwa anawapeleka Milimani na kuwakutanisha wawili hao. Lakini kumbe ilikuwa janja janja tu ya GC ili apate nafasi ya kumwambia kuwa Hamuhitaji katika Maisha yake na Atafute Mwanaume Mwengine. Aisee.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nimesoma update hapa sijacheki muda sana
Kumbe nkunzi alishaenda jela?
GC anapewa mke?
Mxo na zekethelo?
Mangcobo?
Zweli?

Mxo na zekethelo
Zekethelo kampiga chini Mxo... Baada ya babake kwenda jela.
Hata hivyo babake akiwa jela amemwomba Mxo aendelee na uhusiano na mtoto wake(hajui kuwa wameachana), lengo ni kumshawishi mtoto wake amtembelee happy gerezani. Mxo kafunguka kuwa Hilo halitawezekana, na mwanae Hana hamu ya kumwona tena babake.

Zweli
Karudia mishe zake za wizi was magari. Safari hii anapata support toka kwa polisi mpya mjini kwao( nduguye Nkunzi) kwa sharti la 50-50.
Kwa upande mwingine anafukuzia mdada mpya mtaani bila kujua ni step sister was Mxo.
 
Oooh pamoto sana mkuu wangu
Mangcobo bado anakaa pale pale?
 
Oooh pamoto sana mkuu wangu
Mangcobo bado anakaa pale pale?
Baada ya arusi yake na Nkunzi kushindikana na Nkunzi kushikwa na Polisi, akili yake ikarudi.

Nkunzi akamtuma kwenda kumhonga Jaji ili apate dhamana. Mmama baada ya kushika mamilioni ya Rand akamtosa Nkunzi na baadae akamfukuza Zeke' na kujilimikisha tena mjengo wake.

Hata Nkunzi alipofanikiwa kutoroka sell alimkuta mmama kavimba mjengoni, na mmama aliweza kumdhibiti Nkunzi.

Majuzi Kati Nkunzi alitembelewa na mmama na Nkunzi akaomba waoane Tena Ila kamtolea nje mbaya...
 
Huyp ndo mangcobo bwana
 
ewaaah uzi urud bhana.. huwa naangaliaga sema mda wa kuja kushusha updates inakua kamzozo ila nyundo zimesha shushwa na wanaa kaz kwetu jamani uzi usipoe Kibunango salut mwamba kwa Updates Its Pancho sijaona ukimuulizia kivuruge wako nosi hahaha anamambo mob sanaa nana_ rudi home pamenogaa
Mimi sijafatilia miezi mingi mywangu
Watu wanatoa update lakini kiufupi fupi tofauti na nilivyokuwa nashusha mkeka.
Hebu nipe mambo hapo kwamashu kwanza nosi wangu yukwapi?
 
Awww😁😅😅 Dhlomo dhlomo umemtaja moyo ukabasti paaah!! pengo lake linaonekana haswaa.. kijana aliyerithi mikoba bado sana
Hivi bado yupo yule yule mondil?
Mbona hujaleta update sasa?
Niliskia GC eti anaoa
 
Nitajitahidi kueleza kila kipande cha mtu ninachokumbuka....
Familia ya baba mchungaji inaingia doa baada ya pastor kuleta mtoto wake wa nje ya ndoa binti mkubwa tu mama mchungaji anapagawa kwa maumivu kuhusu siri ya mumewe na kudai talaka
Mxo anaumizwa na maamuz ya wazazi kwani anawahitaji wawe pamoja na sio kutengana, anawaomba wazazi wasifike huko ila amna namna mana manzuza kakomalia talaka..... na kwa hasira anarudisha maupendo kwa yule mchepuko wake
Mxo na uyo nduguye wa mama tofaut (jina silifaham) wanaamua kufanya jambo ili kunusuru wazaz wasiachane, Wanaanda dinner kwenye meli huko ufukweni... binti kamuambia babaye naomba tukutane huko usiache mzee anakubali.. hivyo hivyo kwa mxo na mama yake anampa taarifa..
Mda ulipowadia manzuza anafika sehem ya tukio na kukuta pamepambwa na mziki mzur wa taratibu anafurahi huku akipepesa macho kumtafuta mxo amuoni... Mdleche nae anafika na kushangaa kumkuta manzuza na kueleza kua ya kaambiwa aje na mwanae ghafla wanaskia wimbo kwa mbali unawatoa kwenye maswali yale na kujikuta wanakumbuka momements za ujana wao na kuanza kujikumbusha...... wanasahau maswahibu yote na kusameheana
Siku waliyorudi nyumban na kuwataarifu wanao kua maswala ya talaka wameachana nayo sasa wamerud ka zaman watot wanafurah na kusherekea kwapamoja

Nosi 😅😅anapoelekea atamaliza cast yote ya uzalo kwa kudate nao😄Aliachana na mondli tena na kudate na huyo askar mpaya ambaye n ndugu yake nkunzi.... ila the way anavyoishi na huyo bwana mpya sio kama alivyokua na mondli zile out za hapa na pale anakosa alikua akimwambia mama yake hivyo

Mastermind wanarudiana na mpenzi wake wa zaman .... ila sijui ikawaje ila now master anamfukuzia mtot wa Mdleche wa kike yule (sikuangalia so sjajua ka wameachana na thobile au la)

Gc mmmmh... Mzee wake anatua apo kwamashu na kutaka kujua kijana wake anaishije na maswala ya mke... au mchumba ka anae... gc baada ya kuona mzee kaja akawa anavaa sasa ka mwanaume adabu tele maana mzee ni soo
Bhas gc baada ya kuona wazaz wake wanamganda juu ya ndoa wakapanga uongo kua yeye na thobile n wapenzi bhas wazazi wakawa wanaanza mikakati ka unavyojua wazee wa bush awapoi kwenye ayo maswala, gc na thobi wakaendelea na drama yao ila thobi anaanza kuogopa maana anaona jambo linazidi kua serious akamwambia gc waache kudanganya waseme ukweli bhas gc kuona hivyo akatoroka na thobi akawa kashasema ukweli wanaenda kumtafuta kwa kina mastermind maana ndio alikua anakaa uko wanakuta barua wakawapelekea wazaz wake barua ikiwa imejieleza vyote na kusema ni bora ajiue tu...
Yote na yote alirudi baada ya kutafutwa sana na kuamua kwenda kuoa kijijini hivyo akaondoka na wazaz wake
Kufika kijiji maandaliz yanaandaliwa ya ndoa ila siku ya sherehe anamuomba mama yake amwambie huyo dada ni yupi ili akutane nae waongee kumbe agenda yake ni kumwambia huyo msichana aondoke yeye ataki kumuoa ila mpango wake unabuma baada ya binti kugoma kuondoka na kusema kumuoa atamuoa tu..... Nyumban gc anatafutwa aonekan yupo huko anamfukuza mke😅 Mamlambo thobi na mdogo wa master wanafika na kukutana na mshike mshike
Ni hayo tu mengine yamesha elezwa..... na mengine skuangalia
Ya jana j3 sjaicheki aliecheki aishushe... Kibunango Its Pancho
 
Back
Top Bottom