Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Nitajitahidi kueleza kila kipande cha mtu ninachokumbuka....
Familia ya baba mchungaji inaingia doa baada ya pastor kuleta mtoto wake wa nje ya ndoa binti mkubwa tu mama mchungaji anapagawa kwa maumivu kuhusu siri ya mumewe na kudai talaka
Mxo anaumizwa na maamuz ya wazazi kwani anawahitaji wawe pamoja na sio kutengana, anawaomba wazazi wasifike huko ila amna namna mana manzuza kakomalia talaka..... na kwa hasira anarudisha maupendo kwa yule mchepuko wake
Mxo na uyo nduguye wa mama tofaut (jina silifaham) wanaamua kufanya jambo ili kunusuru wazaz wasiachane, Wanaanda dinner kwenye meli huko ufukweni... binti kamuambia babaye naomba tukutane huko usiache mzee anakubali.. hivyo hivyo kwa mxo na ***** anampa taarifa..
Mda ulipowadia manzuza anafika sehem ya tukio na kukuta pamepambwa na mziki mzur wa taratibu anafurahi huku akipepesa macho kumtafuta mxo amuoni... Mdleche nae anafika na kushangaa kumkuta manzuza na kueleza kua ya kaambiwa aje na mwanae ghafla wanaskia wimbo kwa mbali unawatoa kwenye maswali yale na kujikuta wanakumbuka momements za ujana wao na kuanza kujikumbusha...... wanasahau maswahibu yote na kusameheana
Siku waliyorudi nyumban na kuwataarifu wanao kua maswala ya talaka wameachana nayo sasa wamerud ka zaman watot wanafurah na kusherekea kwapamoja

Nosi 😅😅anapoelekea atamaliza cast yote ya uzalo kwa kudate nao😄Aliachana na mondli tena na kudate na huyo askar mpaya ambaye n ndugu yake nkunzi.... ila the way anavyoishi na huyo bwana mpya sio kama alivyokua na mondli zile out za hapa na pale anakosa alikua akimwambia mama yake hivyo

Mastermind wanarudiana na mpenzi wake wa zaman .... ila sijui ikawaje ila now master anamfukuzia mtot wa Mdleche wa kike yule (sikuangalia so sjajua ka wameachana na thobile au la)

Gc mmmmh... Mzee wake anatua apo kwamashu na kutaka kujua kijana wake anaishije na maswala ya mke... au mchumba ka anae... gc baada ya kuona mzee kaja akawa anavaa sasa ka mwanaume adabu tele maana mzee ni soo
Bhas gc baada ya kuona wazaz wake wanamganda juu ya ndoa wakapanga uongo kua yeye na thobile n wapenzi bhas wazazi wakawa wanaanza mikakati ka unavyojua wazee wa bush awapoi kwenye ayo maswala, gc na thobi wakaendelea na drama yao ila thobi anaanza kuogopa maana anaona jambo linazidi kua serious akamwambia gc waache kudanganya waseme ukweli bhas gc kuona hivyo akatoroka na thobi akawa kashasema ukweli wanaenda kumtafuta kwa kina mastermind maana ndio alikua anakaa uko wanakuta barua wakawapelekea wazaz wake barua ikiwa imejieleza vyote na kusema ni bora ajiue tu...
Yote na yote alirudi baada ya kutafutwa sana na kuamua kwenda kuoa kijijini hivyo akaondoka na wazaz wake
Kufika kijiji maandaliz yanaandaliwa ya ndoa ila siku ya sherehe anamuomba mama yake amwambie huyo dada ni yupi ili akutane nae waongee kumbe agenda yake ni kumwambia huyo msichana aondoke yeye ataki kumuoa ila mpango wake unabuma baada ya binti kugoma kuondoka na kusema kumuoa atamuoa tu..... Nyumban gc anatafutwa aonekan yupo huko anamfukuza mke😅 Mamlambo thobi na mdogo wa master wanafika na kukutana na mshike mshike
Ni hayo tu mengine yamesha elezwa..... na mengine skuangalia
Ya jana j3 sjaicheki aliecheki aishushe... Kibunango Its Pancho
Safi sana mchuchu
Nosi ataniua huyu wajameni the
Vipi Dada ake mxo pini au
 
Baada ya arusi yake na Nkunzi kushindikana na Nkunzi kushikwa na Polisi, akili yake ikarudi.

Nkunzi akamtuma kwenda kumhonga Jaji ili apate dhamana. Mmama baada ya kushika mamilioni ya Rand akamtosa Nkunzi na baadae akamfukuza Zeke' na kujilimikisha tena mjengo wake.

Hata Nkunzi alipofanikiwa kutoroka sell alimkuta mmama kavimba mjengoni, na mmama aliweza kumdhibiti Nkunzi.

Majuzi Kati Nkunzi alitembelewa na mmama na Nkunzi akaomba waoane Tena Ila kamtolea nje mbaya...
Noma mkuu Ma ngcobo amerithi umafia wa Ghabashe

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Nitajitahidi kueleza kila kipande cha mtu ninachokumbuka....
Familia ya baba mchungaji inaingia doa baada ya pastor kuleta mtoto wake wa nje ya ndoa binti mkubwa tu mama mchungaji anapagawa kwa maumivu kuhusu siri ya mumewe na kudai talaka
Mxo anaumizwa na maamuz ya wazazi kwani anawahitaji wawe pamoja na sio kutengana, anawaomba wazazi wasifike huko ila amna namna mana manzuza kakomalia talaka..... na kwa hasira anarudisha maupendo kwa yule mchepuko wake
Mxo na uyo nduguye wa mama tofaut (jina silifaham) wanaamua kufanya jambo ili kunusuru wazaz wasiachane, Wanaanda dinner kwenye meli huko ufukweni... binti kamuambia babaye naomba tukutane huko usiache mzee anakubali.. hivyo hivyo kwa mxo na ***** anampa taarifa..
Mda ulipowadia manzuza anafika sehem ya tukio na kukuta pamepambwa na mziki mzur wa taratibu anafurahi huku akipepesa macho kumtafuta mxo amuoni... Mdleche nae anafika na kushangaa kumkuta manzuza na kueleza kua ya kaambiwa aje na mwanae ghafla wanaskia wimbo kwa mbali unawatoa kwenye maswali yale na kujikuta wanakumbuka momements za ujana wao na kuanza kujikumbusha...... wanasahau maswahibu yote na kusameheana
Siku waliyorudi nyumban na kuwataarifu wanao kua maswala ya talaka wameachana nayo sasa wamerud ka zaman watot wanafurah na kusherekea kwapamoja

Nosi [emoji28][emoji28]anapoelekea atamaliza cast yote ya uzalo kwa kudate nao[emoji1]Aliachana na mondli tena na kudate na huyo askar mpaya ambaye n ndugu yake nkunzi.... ila the way anavyoishi na huyo bwana mpya sio kama alivyokua na mondli zile out za hapa na pale anakosa alikua akimwambia mama yake hivyo

Mastermind wanarudiana na mpenzi wake wa zaman .... ila sijui ikawaje ila now master anamfukuzia mtot wa Mdleche wa kike yule (sikuangalia so sjajua ka wameachana na thobile au la)

Gc mmmmh... Mzee wake anatua apo kwamashu na kutaka kujua kijana wake anaishije na maswala ya mke... au mchumba ka anae... gc baada ya kuona mzee kaja akawa anavaa sasa ka mwanaume adabu tele maana mzee ni soo
Bhas gc baada ya kuona wazaz wake wanamganda juu ya ndoa wakapanga uongo kua yeye na thobile n wapenzi bhas wazazi wakawa wanaanza mikakati ka unavyojua wazee wa bush awapoi kwenye ayo maswala, gc na thobi wakaendelea na drama yao ila thobi anaanza kuogopa maana anaona jambo linazidi kua serious akamwambia gc waache kudanganya waseme ukweli bhas gc kuona hivyo akatoroka na thobi akawa kashasema ukweli wanaenda kumtafuta kwa kina mastermind maana ndio alikua anakaa uko wanakuta barua wakawapelekea wazaz wake barua ikiwa imejieleza vyote na kusema ni bora ajiue tu...
Yote na yote alirudi baada ya kutafutwa sana na kuamua kwenda kuoa kijijini hivyo akaondoka na wazaz wake
Kufika kijiji maandaliz yanaandaliwa ya ndoa ila siku ya sherehe anamuomba mama yake amwambie huyo dada ni yupi ili akutane nae waongee kumbe agenda yake ni kumwambia huyo msichana aondoke yeye ataki kumuoa ila mpango wake unabuma baada ya binti kugoma kuondoka na kusema kumuoa atamuoa tu..... Nyumban gc anatafutwa aonekan yupo huko anamfukuza mke[emoji28] Mamlambo thobi na mdogo wa master wanafika na kukutana na mshike mshike
Ni hayo tu mengine yamesha elezwa..... na mengine skuangalia
Ya jana j3 sjaicheki aliecheki aishushe... Kibunango Its Pancho
Umetisha mkuu....nina kama 3 months sijaangalia ila ulivyoelezea ni kama nimenagalia episodes kupitia maandishi[emoji28]
 
Uzalo Update 18 July na 19 July

Twende pamoja, Ndoa ya GC imeandaliwa na chifu kaalikwa sasa imefika zamu ya bwana harusi na bibi harusi kuonyesha ishara kuwa hawajalazimishwa kuingia kwenye ndoa, ishara yenyewe unaingia unacheza. Bibi harusi kaingia kacheza, sasa ikaja zamu ya GC, akagoma kucheza, akaeleza uwazi wote kuwa hawezi kuozeshwa mtu asiyempenda wataishije? Baba yake alichukia sana alimtia aibu kijijini, baba akamwambia kusanya kila kilicho chako urudi huko kwamashu la sivyo nitakudhuru. Smangele, Mamlambo, na Thobile ndio watu pekee kutoka kwamashu waliomsindikiza GC. Wakakusanya mabegi yao wakarudi kwamashu. Huku kwamashu yule Detective Muovu Qhabanga sasa rasmi karudishwa kazini baada ya ushahidi kukosekana, Jamaa baada tu ya kurudishwa kazini anampelekea mastermind majina ya wateja wa Magari; kumbuka hawa wanashirikiana kuiba magari, wananikumbusha enzi za ofisa Mabuza askari polisi aliyekuwa anashirikiana na Ghabashe kuiba magari. Sasa imefika siku ya NKUNZI kubatizwa mangcobo kagoma kwenda ila Mxo, detecive mpya (Qabhanga) ambaye pia ni mdogo wake nkunzi, mtoto wa nkunzi Zekhetelo, walihudhuria ubatizo huo. Pastor mdletshe ndio alimbatiza. Mxo hakuamini alisema the guy anawadanganya, anataka tu apate freedom arudi mtaani, baada ya ubatizo kesho yake bwana jela anakuja anamwambia nkunzi upo huru uende nyumbani. Huku zekhetelo, mumsy (binti wa nje wa mdletshe pamoja na mastermind wanakutana chisanyama kula maisha, upande wa pili Nkunzi bonge la mtu ametoka Gerezani baada ya kubembelezwa sana na bwana jela atoke gerezani arudi mtaani maana amekuwa raia mwema. hii si ya kukosa next week panapo majaliwa!
 
Wow, ni muda sana sijaingia jukwaani…ila kuona notification za uzalo nimefurahi….kwanzia wabadilishe muda kiukweli sijawahi fatilia tena…ila mkiwa mnapost huku mtakua mnanisaidia sana
 
GC baada ya kukimbia kuoa na kuja mjini alikuwa disowned na wazazi wake na amekuwa mlevi Sana.Rafiki zake kila wanapojaribu kumrekebisha anawaropokea maovu yao akiwa amelewa.Aliingia mpaka kanisani akiwa amelewa na kuanza kutaja maovu ya kila mmoja.Mamlambo katembea na mchungaji na pia alishakuwa na mwanamme muhuni.n.k Rafiki yake ni yule msichana mwizi wa magari pamoja na Zweli.
SBU analipua ATM na kuiba mamilioni ya rand Nkuzi anaingilia kati na kumfuata SBU na bastola,kurudisha pesa zote Polisi.Sasa Nkuzi imekuwa habari ya mjini kila mtu anamsifia kwamba kabadilika jambo ambalo,linamfurahisha Pastor na mkewe,kumshangaza Mangoba na kumchukiza Mxo.Hii inampelekea mkuu wa kituo kumshurutisha sergeant Khumalo kwenda kumuomba Nkuzi msamaha na kumshukuru kwa kuzuia uhalifu.
Zweli anakwenda kanisani kuimba wimbo katika harakati Za kumdate mtoto Wa pastor.kila mtu anamsifia.Hii inampa ukaribu na huyo binti wa pastor na inavyoelekea mtoto kaanza kumuelewa Zwele.
 
uko vizuri dear
 
Back
Top Bottom