Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Ninachokiona ni kuwa zile paper zitaenda kusomwa kule msibani kwa kina sindi..

Let's wait huenda ikawa au sindi akazikwa na Siri
 
Eeeh bhna eeeh ni motoo
mama mxolisi vs mama ayanda kimenuka huko msibani..sema mama pastor ndio alianza uchokozi eti wenzie kuja hapo wameleta laana.. 😀😀
Mama mxolisi na yeye kamchana kuhusu ayanda eti "anakuaibisha kila siku mbona husemi"

Pastor akirudi ataweza kummeza xulu. Yaani mama mkubwa wa sindi kamtupia lawama zote pastor halafu kinachomuuma pastor hata hahusiki, ana hasira vibaya..

Dhlomo bwana leo alikuwa anakula kipigo maana xulu alikuwa hakopeshi pale alishachoka na mikwara ya detective huyo makini..

Team xulu na pastor hapa tunyooshe mikono juu.. 👆👆👆
 
🖐️....nimemuonea pastor huruma kubebeshwa lawama jamani
 
🖐🖐 xulu yupo kama mbongo jinsi anavyo foka
 
Nombuso kale kabinti kalikoimba msibani kamehamia mjini kwa kina Ayanda, Ayanda na xulu wote wanakamezea mate...ayanda aliongea nako kalimuignore ila xulu alipata muda akapiga nako stori ....MAZURI ZAIDI YANAKUJA
mkuu apo wanaomkubali nombuso ni kati ya ayanda na mxolisi(xulu ni baba wa mxolisi)
mama mchungaji na mumewe wamsifia binti nombuso kwa kuwa na sauti nzuri na kumwomba waende nae mjini na ajiunge na kwaya ya kanisa..... nombuso anakataa kutokana na kilichomkuta ndugu yake huko mjini
mxolisi anaonyesha kupagawa kwa nombuso...mama yake adokezwa jambo hilo na mwanae wakike,wafurahishwa na jambo hilo na kuanza kumtania mxolisi
xulu anapata wasaa wakula chakula cha jioni pamoja na familia yake,wakiwa na furaha kwa jambo hilo xulu anaahidi familia kua itakua hivyo kila siku kwani ni jambo linalowezekana
mchungaji akiwa mezani na familia wakipata chakula wakati akiwa anaongea na mkewe ghafla mlango unagongwa na kwamshangao anaingia nombuso.......ayanda aonyesha kufurahia ujio wa mgeni sanaaaa.....😁
 
Nombuso kale kabinti kalikoimba msibani kamehamia mjini kwa kina Ayanda, Ayanda na xulu wote wanakamezea mate...ayanda aliongea nako kalimuignore ila xulu alipata muda akapiga nako stori ....MAZURI ZAIDI YANAKUJA
Huyo nombuso alikuwa anaimba vizuri mnoo ndio maana ayanda akawa anammezea mate
Mkuu apo kwa xulu unamaanisha xulu kama xulu au ni mwanae mxolisi?

Vipi pastor na xulu?
 
hahaha kabisa nasubiri iyo siku maana sio kwa kashfa zile za ayanda kwenye ile kwaya😅
Ayanda akiunganisha nguvu na nombuso kwaya itakuwa fayaa
Sema jamaa ni malaya utabiri wangu umetimia nkule alitafunwa siku ile

Ayanda na mxolisi pia wataweza kuwa na bifu kisa mbususu 😀😀Who know?
Nae smangele ataanza kujaa wivu kwa nombuso maana Yule kwa wivu sio mchezo huenda yakatokea
 
mkuu nakupa asilimia zote kwa uliyosema,tusubiri tu matokeo..btw who is smangele?🤔
 
Back
Top Bottom