Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Mtoto wa mchungaji kwa huu mkwala aliopigwa na xulu Kuna uwezekano mkubwa ataongea Kama alivyoelekezwa na Xulu tu hakuna namna.
 
Nombuso anaoneka wazi anampenda mxolisi na Ayanda hana chake pale jamaa alifanya kosa kubwa akimuacha Nkule.

Mkontho inaonesha ametokea kukapenda kasister kake na Mastermind japo hajakaaimbia pia Xulu alimwambia mkontho akamuue mtoto wa mchungaji hospitalini akakataa sasa Xulu ana-mfremu ndugu yake kwa mara ya pili ili arudi gerezani
Hiyo niliiona kidogo ni pale mk aliinama kuchukua kijiti achore namba ila sma akaona bastola kiunoni ndio akakimbia
Ila mk kwa jinsi alivyokuwa anaongea anaonesha katulia sana na kuacha mbwembwe na uhuni.. Alikuwa anataka kujishoot siku ile.

Mxo kashachukua goma lile ayanda Karma inamtafuna kumnyanyasa nkule
 
Mkhonto ameanza kuwa mwema brother wake ameanza kumchoma tena...shubamit
 
Sma pia naye ametokea kumpenda sana msela yani 😀😀😀 .

Ayanda siku hizi namuona kaamua kuwa bize na kwaya while mxolisi anazidi kujimilikisha mke.
Sma ni pisi kali nyie ana rangi fulani hivi
Yaani sasa hivi hata hamkimbii MK tena hivi kwa walioangalia ile ya ijumaa hapo ilikuwaje MK alikamatwa? Na sma walifikia wapi?

Ayanda kakubali yaishe tu pisi sio yake tena 😁
 
Sma ni pisi kali nyie ana rangi fulani hivi
😀😀😀
Yaani sasa hivi hata hamkimbii MK tena hivi kwa walioangalia ile ya ijumaa hapo ilikuwaje MK alikamatwa? Na sma walifikia wapi?
Xulu ameachiwa Mkontho bado hajakamatwa ila kesho tutajua zaidi japo Dhlomo na pastor wanajua muhusika ni Xulu na si Mkontho.

Sma alimkuta Mkontho kwenye mgahawa wa sister D wakapiga stori mbili tatu za kujuana zaidi tena alimfata mwenyewe.
Ayanda kakubali yaishe tu pisi sio yake tena
Jamaa alimuumiza nkule sema sikuhizi kapoa Sana yupo bize na kwaya na ukizingatia mdogo wake yupo hospitali.
 
😀😀😀
Xulu ameachiwa Mkontho bado hajakamatwa ila kesho tutajua zaidi japo Dhlomo na pastor wanajua muhusika ni Xulu na si Mkontho.

Sma alimkuta Mkontho kwenye mgahawa wa sister D wakapiga stori mbili tatu za kujuana zaidi tena alimfata mwenyewe.

Jamaa alimuumiza nkule sema sikuhizi kapoa Sana yupo bize na kwaya na ukizingatia mdogo wake yupo hospitali.
hapo nilishapaona xulu aliachiwa na sma alipomfata mk pale kwa diana.
Miimi nikajua ni alhamisi kumbe hii episode ilikuwa ijumaa bwana.. Dah niliicheki mkuu.
Sema muhuni wangu mk namkubali sana naomba amiliki sma
 
Hii siri ilishatambulika ila sasa xulu ilikuwa bado kujua.
Vipi ya leo xulu kajua?
 
Dah hii inaenda kutamu...Mkhonto nina hakika ndiye aliyepiga risasi kwa kaka yake
 
Hebu funguka mkuu ilikuwaje leo
Xulu kapigwa risasi na mk?
gabhashe akiwa katika maegesheo ya magari akutana na pastor akiwa kabeba risas mkononi akimwambia ghabashe leo ndio siku ya kulipa mabaya yote uliyofanya... ghafla unaskika mlio wa risasi japo pastor anaonyesha kushangaa(kwakua hakushoot) nyuma ya ghabashe kinaonekana kivuli kikiwa kimeshika risasi(ambaye bila shaka ni mk) na kuondoka,pastor kwa woga akakimbia msala
 
Daa pastor ana bahati mbaya sana
 
Back
Top Bottom