Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Wakuu
Hivi Mxo mbona amekuwa fala? Anasikiliza kila kitu kwa zweli, zweli atamponza huyu dogo na dhlomo kashawalia timing, mxo kazingua sana MK ni uncle wake niliumia sana walivomfanyia,
sasa subiri atoke mxo sijui atakimbilia wapi?

Nasisitiza hisia zangu zilikuwa sawa, mabuza anahusika hapa kwenye huu mchongo,uzuri dhlomo yuko makini anamsoma tu yaani soon tutajua panapovuja.

Huyu nombuso mbona kigeugeu sana wajameni? Mara ayanda mara mxo anaboa.

Nilicheka sana lile tapeli pastor lilivoumbuka likachochoraaa 😀😀
Vera ginger
 
mwenye Picha ya pastor akichochora.?😀😀😀
Tatizo alijifanya kuwazingua mdletshe..
Halafu kuna huyu phindile sijui ni ndugu wa kina sma? Anaonekana ni mdangaji
 
Nawaza tu,MK akipona kasheshe lake hilo si kitoto...
 
Haya wenye mpenzi wenu Nombuso
Yan hajielewi anachotaka
Siwezi kuwa na mpenzi mpumbavu kama huyu
Mademu yote pale hayana akili halafu mama nzuza ana bonge la shape sema limejificha yaani pastor anafaidi alikuwa
 
Nawaza tu,MK akipona kasheshe lake hilo si kitoto...
nimeuliza me mwenyewe, mxo na hivi alivyo lege chamoto watakiona nasubiri sinema mk shughuli yake sio ndogo.

Mxo amezingua yule ni uncle wake Licha ya yote
 
nimeuliza me mwenyewe, mxo na hivi alivyo lege chamoto watakiona nasubiri sinema mk shughuli yake sio ndogo.

Mxo amezingua yule ni uncle wake Licha ya yote
sana angeenda taratbu kama alivyopanga mwanzo,sema pia amepotezwa na ushauri wa mastermind,jamaa anaongozwa na hisia sana...hasa kisa dada ake anatoka na MK...japo pia mxo ameonesha ni mtu anayeweza kubadilika na kuwa hatar sana,,,
 
Kwa kweli hakuna mtu ninayemchukia kwa sasa kama nombuso.
Yaani haoni aibu kuchanganya wanaume ambao hawaelewani..!
Kamkubalia ayanda wa watu na huku anajirudi kwa mxo, tena kavalishwa na pete kanisa linajua..! Dah umalaya uliopitiliza.. Shit.. Bora mxo kamchana ukweli hana msimamo huyu demu kichwa box kabisa.

Naona pastor mwengine wa muda katia team.. Asije tu kuwa kama yule nkosi. 😀😀

Nosipho nae malaya sana leo ana bahati thobile angemfanyia mbaya sana.
Bado nna hasira na nombuso..
Vera ginger, Jagiya.
 
Back
Top Bottom