Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Haahaa... kwenye hii mimba mmmh majanga

Nilikua sijaangalia ijumaa, ila kuhusu mimba ni hivi

Sma alimuuliza nesi inakuaje nimepima na vipimo zaidi ya kimoja nina mimba alafu ww unasema sina mimba nesi akamjibu kwamba huwa inatokea vipimo muda mwingine hudanganya….akamuuliza na mbona naona nina dalili za mimba (kama maziwa kujaa na vichefchef) nesi akamjibu ni kawaida ukiwa unahamu ya kuwa na mimba hizo dalili hutokea (au ukiwa na wasiwasi sana about being pregnant) huwa unaweza miss hata period. So nadhani hatujapigwa ni kwavile sma alikua yupi curious kupata mimba ndo maana akawa anaona dalili zote hizo
 
Yes nesi alimwambia ni psychological effect ambayo mwili nao unapokea na Ku respond Kama vile una kibendi
 
Nilikua sijaangalia ijumaa, ila kuhusu mimba ni hivi

Sma alimuuliza nesi inakuaje nimepima na vipimo zaidi ya kimoja nina mimba alafu ww unasema sina mimba nesi akamjibu kwamba huwa inatokea vipimo muda mwingine hudanganya….akamuuliza na mbona naona nina dalili za mimba (kama maziwa kujaa na vichefchef) nesi akamjibu ni kawaida ukiwa unahamu ya kuwa na mimba hizo dalili hutokea (au ukiwa na wasiwasi sana about being pregnant) huwa unaweza miss hata period. So nadhani hatujapigwa ni kwavile sma alikua yupi curious kupata mimba ndo maana akawa anaona dalili zote hizo
Hapo hapana tatzo naeza kubali je, vipi na kwamamlambo alivyomuambia inamaana vision yake ilikua zengwe
 
ya jana j3

GC na ntobi wameenda kanisani kuiba ile camera ya aposto nkosi wakampelekea ayanda maana ile ina ushahidi mwingi,

zweli alimuomba yule askari (demu wake) amsaidie kumuondosha yule uncle mbabe wa gerezani ila, yule demu anakataa anamwambia alijua tu zile hela alizompa zitaleta yote hayo..zweli anaondoka hawajaelewana…badae yule demu anarudi anamwambia atamsaidi ila akamrudishia zweli hela zake.

Yule demu muda anaweka kitu chini ya mto wa uncle (nadhani ile ni sembe) uncle anatokea anambana demu nani kamtuma anasema ni mxo na mastermind.

Amos na bab dlhomo wapo wanapiga story kwa dlomo sbanle anatokea anashangaa Amos kafikaje kwao, baba yake anamtambulisha kua yule anaitwa Amos, gari lake lilipata shida ndo akamsaidia na kumkaribisha nyumbani…Amos wanasalimiana na sbanle kama hawajuani.

Badae Amos anampigia bab dlomo kumshikuru kwa ukarimu wake lakini anamuomba kumtoa binti yake out maana ametokea kumpenda na aka ahidi atamfata nyumbani…fast forward akamfata na akamwambia baba yake anataka ampeleke kwenye nice restaurant and they hope sba atafurahi…dlomo akawaaga na wenyewe wakatoka wakiburuzana.

Huku kwa aposto nkosi ibada imeanza ipo live…watu wanamshangilia aposto wao

Usiku gerezani mxo na mastermind wakiwa wamelala wanakuja kuamshwa na mangumi hawajashtuka vizuri mateke, makofi nk.

IKAISHIA HAPO[emoji4]

NB: kama kawaida mtaniwia radhi mimi sio mwandishi mzuri na sio mpangiliaji mzuri wa matukio. Nimeandika matukio ninayokumbuka[emoji6]
 
Safiii, umegonga vipengele muhimu na inaeleweka.👌
 
Leo niko hewani hapa kwa mashu kuhakikisha sitokosa hakika kama jana

Sasa moyo wangu rasmi umemdondokea afande
 
Safi sana kwa kuwahi siti
😂😂Na rasmi tumetambua kua huna moyo bali una memory card 🤣so jiandae pale utakapo corrupt 😜
 
😂😂😂😂😂😂
Dah watu mna maneno duh.
Kiukweli nimechoka kuumizwa na sma, ule mpango wetu wa kando unaendaje maana mzee dhlomo anakuchosha tu.
 
😂😂 nipo likizo we jaribu apo kwa afande maana naye hana pumziko la moyo... siumemwona 😁
 
😂😂😂😂

Mimi kiukweli ayanda nammind sana boya huyu, anapenda sana kusagia kunguni wenzake wakikosea.

Lakini akizingua anataka asamehewe
 
Back
Top Bottom