Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #1,721
Safi sana ninachoona hapo ni kuwa mxo bado ana muda mrefu kuishi uraiani.Maaskari wanapata warant ya kwenda kufukua ofini kwa kina mxo kutafta mwili wa nkothinat na wanakosa... inakua aibu kwa mondli ofisini kwake kwa kusemwa na wengine
Mangcobo anamshukuru mxo kwani aliwahi ofisini kwenda kuufukua mwili na kuuzika kwingine.
Sba anampelekea umbea ayanda kua sma hana mimba
Saiv naona mxo wako karibu na sba mmh... ikawa mzozo tena kati ya ayanda na mxo kwa mara nyingine kuhusu mapenzi mxo anamwambia ayanda aachane na sba kwani alishaoa.... ayanda anasema hawezi maaana sba ni.... kabla hajamaliza kuongea anaingia zweli anamuuliza ni nn maaana ushaoa ka vipi mwache sma kuliko kucheza na hisia zake
Nimebahatika ivyo vipengele tu
Its Pancho nana_
Tena nataka amle na sba kanisa ayanda arudi kwa mkewe wakapeane mimba feki..
Akijaribu kumpa nazi sma ndio atauona moto wa zweli.
Sasa huyu sba kisa cha kupeleka umbea mwenzie aachike au?