Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

Kanjiranji trans


Daah wayback huyu muhindi sijui bado yupo mpaka leo na biashara yake ya malori
Kanji Lalji yupo kama kawa msee

Mwaka juzi tulimkimbiza kimbiza kwenye tenda ya kusafirisha bia za Tbl(kiwanda cha mbeya) saivi anapumulia mashine sema yupo sana tu

Convoy(Mchina kamwaga semi za kutosha) anataka kumtoa relini muhindi
 
Pamoja mkuu japo story yenyewe inaonyesha kama ya kutunga pia inakosa uhalisia baadhi ya maeneo
Kabisa, pale kwenye ajali polisi wote wakafa halafu wao wakatoka salama tayari nikaona hapa hakuna kitu, nikakosa na interest ya kuendelea kusoma. Mwamba alipotoa link ya kitabu sikutataka hata kuendelea kusoma.
 
Bro ona aibu bas
 

Huyo jamaa aloteswa na polisi yupo makini sana, Khumbu pia story yake ipo safi.
 
Umemuona mdau hapo juu ameweka link ya hicho kitabu chenye hiyo stori?

Kabisa, pale kwenye ajali polisi wote wakafa halafu wao wakatoka salama tayari nikaona hapa hakuna kitu, nikakosa na interest ya kuendelea kusoma. Mwamba alipotoa link ya kitabu sikutataka hata kuendelea kusoma.

Kitabu kimejaa chai kibao, vitu vingi siyo uhalisia.
 
1. Kwenye Gari hamkupigwa pingu wakati mnasafirishwa?

2. Begi ulitoa wapi? Ulinunua jingine Lusaka? Kwani wakati mnaenda kumwaga mtondoo mlienda na mabegi yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…