Uzazi Bila Maumivu: Daktari Bingwa Aeleza Epidural

Uzazi Bila Maumivu: Daktari Bingwa Aeleza Epidural

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi Tiba, Lugano Wilson, kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii kitaalamu ikifahamika epidural.🎙️

Bofya kusikiliza 👇🏽

🎙️ Spotify:
View: https://open.spotify.com/episode/0AkBP8ne8P8Ry1Lbb4kOn8?si=66e9bdec930f437a

🎙️ Apple Podcasts:
View: https://podcasts.apple.com/tz/podcast/huduma-ya-mama-kujifungua-bila-maumivu-yaanza-kutolewa/id1506559068?i=1000792711836

🎙️ Amazon Music: https://music.amazon.com/podcasts/b...ifungua-bila-maumivu-yaanza-kutolewa-tanzania

👆🏼Hizo ni baadhi tu ya channel tunazopatikana, tupo kwenye Audio Channel zote 📌
IMG-20261002-WA0034.jpg
 
Binadamu wanaendelea kupambana na asili....
Leo hii usizae kwa uchungu kunaleta maana gani sasa...ile ni nature na ule uchungu haujawahi kumuua mtu labda matokeo ya tendo lenyewe la kuzaa ndo linaweza kuua mtu na sio uchungu...
Operation inatosha kama mtu ana shida yoyote katika uzazi basi ana opt hyo CS jamani jamani mpaka mtataka watu wazae kwa AI
Mimi kwa upande wangu naona mambo mengine mtuache tupambane nayo tuu...
Na wanaume nao watakuja waseme hawataki kula kwa jasho yani hawataki kuhangaika mwisho wake inakua nini...
 
Binadamu wanaendelea kupambana na asili....
Leo hii usizae kwa uchungu kunaleta maana gani sasa...ile ni nature na ule uchungu haujawahi kumuua mtu labda matokeo ya tendo lenyewe la kuzaa ndo linaweza kuua mtu na sio uchungu...
Mimi kwa upande wangu naona mambo mengine mtuache tupambane nayo tuu...
Na wanaume nao watakuja waseme hawataki kula kwa jasho yani hawataki kuhangaika mwisho wake inakua nini...
Sitii neno
 
Back
Top Bottom