Binadamu wanaendelea kupambana na asili....
Leo hii usizae kwa uchungu kunaleta maana gani sasa...ile ni nature na ule uchungu haujawahi kumuua mtu labda matokeo ya tendo lenyewe la kuzaa ndo linaweza kuua mtu na sio uchungu...
Mimi kwa upande wangu naona mambo mengine mtuache tupambane nayo tuu...
Na wanaume nao watakuja waseme hawataki kula kwa jasho yani hawataki kuhangaika mwisho wake inakua nini...