Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya,sikukuu njema, namtafuta kongosho.
huo ndo mpango mzima mkuu! but nafikiri wanawake hawaipendi hii coz unawanyima utamu wa ile kitu ikitoka! hii ipo applicabo kwa she unayemwamini koz utakuwa kavu kavu mkuu!
haaaa,
tubadilishane mawazo, binafi nna miaka 31....
cjaoa na thina mtoto.....
tafadhali,
katika mahusiano niko makini kutumia hii njia, nakojoa shahawa zangu nje!!!
wakati nasoma, nilishawahi kuwa na gf akawa linakuja kukaa wiki kadhaa lakin hii njia ilinisaidia, haadi naachana nae cna taabu na mimba.....
yaani ilifika hatua nikifikiria kukojoa ndani naona kero, ciwez kabisa!!
anyway, itanilazmu kufanya hvo mwaka nitapopata mke wa kuoa au nikioa....
maswali!!
1. kuna wanaume wenzangu mnaitumia hii njia? ingawa naona walio wengi wanashindwa. marafiki zangu nikiwahamasisha hawataki kabisaa.
2. vp wanadada, mnajisikiaje jamaa akichomoa na kuweka maji njee.
binafsi nilijifunzia hii mikanda ya X, enzi zile nipo boys high school!!!
naanza kutumia soon,mpenzi wangu karidhia.
Mpango mzimaaaa
kaka umenigusa sana.Binafsi nina kadem kangu tangu kapo fom1 mpaka sa hv kanaingia f6 cjawah kukamwagia ndan coz naona ni kumtaftia matatzo na kama nsingekuwa nafanya hvo sa hvi cku nying ana mtoto na angekatsha masomo.Ni ngumu kuifanya but kwa tulio wachache inatusaidia kuepuka kuzaa na watu tusiowahtaj in future.Big up mkuu endeleza libeneke
Isitoshe njia hii ikitumika muda mrefu inaweza kusababisha mtindio wa akili. Mimi nilijaribu mara kadhaa lakini baadaye niliachana nayo.
Unanidai?
mbona kila kitu kimesharudishwa?
Najua wadada lazma upinge hii k2.....
kuna utam flan mnamis!""
karibuni kwenye ukurasa huuu mpya tujadili na kuongelea kwa undani zaidi
kuhusu njia zinazoweza kutumiwa na wanawake, wasichana kuzuia ujauzito. Karibuni sana.
Nilitaka kusema njia zitumikazo kwa uzazi wa mpango. Ila kuna wengi wengineo
ambao wako single kwa uchaguzi wao wa maisha, wanasubiri kuolewa, wako masomoni etc.
Kwa hiyo nikaona "uzazi wa mpango" si sahihi kutumia sababu bado hawajafikia kupanga uzazi. ..
Anyway kama wote tujuavyo njia bora kuzuia ujauzito ni moja tu kutokufanya sex(mapenzi)
ila njia hii ni wachache sana tena sana wanaoifuata. Ndio nikaona nianzishe uzi huu tujuzane na kufundishana
njia nyingine nyingi, na zipi za kutumia na kwa muda gani na ni nini madhara ya njia hizo za kuzuia ujauzito.
1. condom.
Condom ni njia ya kwanza kabisa ninayoipendekeza kama sote tujuavyo inasaidia kuzuia
maambukizo ya virusi na pia kuzuia ujauzito. Ni vema kujifunza jinsi ya kutumia condom.
Ni rahisi sana kutumia condomo za kiume , pia ni rahisi sana kutumia condom za kike .female condoms. (tuta ongelea zaidi kuhusu hili as we go on )![]()
2.emergency contraception. Or ( morning after pill)
hivi ni vidonge ambavyo vinatakiwa kuchukuliwa massa 72 . Baada ya kufanya sex bila protection ya aina ye yote. Ila ni vema kuchukua mapema zaidi. Wengi hupendekeza kuchukua ndani ya masaa 24 baada ya sex.. Hii ni back up system kama condom ikibasti, umesahau kuchukua vidongo. Na zaidi ni kwa wale waliolzamishwa kufanya tendo la ndoa bila ihari yao, au kama unawasiwasi u mjamzito na hauko tayari . Huwa inapatika kwenye maduka ya dawa baridi. Na inategemea ni muda gani umepita tangu umefanye sex. Kama ni ndani ya masaa kumi na mbili huwa unapewa kidonge kimoja tu basi .
3. Vidonge
kuna aina nyingi ya vidonge vya uzazi wa mpango . Vidonge hivi unatakiwa kuchukua kila siku kama ulivyoa agizwa
na doctor . Vidonge huwa havifanyi kazi kama umetapika tu baadaya kuchukua au kama una diarrhea. Vidonge pia vina
side effects mfano, kuongeza uzito, kuumwa na kichwa , na wengine huvimba matiti. Vidonge vina athari tofauti kwa
kila mtu.
4.depo- provera ( injection )
kama hutaki usumbufu wa vidongo , injection ni njia nyingine unaoweza kutumia. Injection inazuia ujauzito
kwa miezi mitatu . Kila baada ya miezi mitatu unatakiwa kupata dozi tena.( kwa hiyo mara nne kwa mwaka) . Injection
ina side effects pia, period huwa chache na nyepesi sana na baada ya kutumia injection kwa mwaka waeza usione tena period yako. Na kuna wengine ni kinyume kabisa nikimaanisa wanakuwa na period nzito lakini inatoka kama nukta , nukta , haiko mfululizo.haya yote hutoka na vitu kama uzito wa mwili pamoja na lishe .
5.diaphragm/ cervical cup
hii ni njia nyingine ya kuzuia ujauzito . Lazima iwe saizi yako . Maana ikiwa kubwa au ndogo haitafanya kazi. Kwa hiyo
doctor atakaye kupa hii atakueleza maelezo yote jinsi ya kutumia . Nieleze kidogo jinsi ya kutumia huwa inakuja na na gelly
inayoitwa spermicide. Hiyo unaweka kuzungungukana na pia katikati ya diaphragm au cervical cup, baada ya hapo unaikandamiza iliupate shape ya
kama pembe nne . Unaingizaa ikulu kwa kutumia kidole au videle. Unaweza kuiweka masaa kadhaa kabla ya sex. Ila unatakiwa kuiacha hapo kwa masaa sita baada ya kujamiiana. Uzuri wa hii unatoa na kuiosha na kutumia tena na tena. Tatizo kubwa ya hii ni kuweka
inapotakiwa. Ila doctor atakaye prescribe hii atakupa instraction zote na pia atakuonyosha jinsi ya kuweka.
6. Implants
hii njia huwa inatumia na wanawake wengi ambao hawataki kupata ujauzito kwa muda mrefu. Pia hutumiwa zaidi
na wanawake ambao hawataki usumbufu wa vidonge, diaphragm/cervical cup au injuctions. Inaonekana kama kama kijiti
kidogo sana cha plastiki. Huwa kinaweka chini ya nyama ya mkono "upper arm" ambapo ina release the contraceptive steroid .
Inazuia ujauzito kwa muda wa miaka mitatu mpaka mitano. Uzuri wa hii kitu unaeweza kuondolewa saa yeyote ukiamua kupata ujauzito. Side sffects, mzunguku utabadilka, kuongeza uzito etc.
implanon/ implants.![]()
7. Iud (intra-uterine device) or t shape.
hii ni kwa wale ambao hawataki kufunga kizazi au wale ambao hawana mpango wa kuwa na mwana kwa muda mrefu zaidi . Nikimaanisha kuanzia miaka mitano mpaka kumi na mbili . Hichi ni kitu ambacho kina t shape kinaweka ndani ya uterus huwa unawekewa na health-care professional kama ilivyo implants. Uzuri wa hii pia ni kama ya implants . Wanaweza kuiondoa muda wowote upendao. Ni vizuri kuangalia kila mara moja kwa mwezi kuona kama bado iko wima. Ni rahisi sana kuangalia. Kidole tu.
Huwa utahisi maumivu baada tu ya kuweka . Masaa machache baadaye hutahisi kitu , kawaida tu .
kama nilivyosema hapo mwanzoni njia bora ya kutokupata ujauzito ni kutokufanya sex. Lakini kwa dunia tunayoishi ni bora kupeana elimu kuliko ku protend kila mtu ni mtakatifu. Kuanzia njia ya pili mpaka ya saba haizuii maambukizo ya ukimwi bali mimba tu. Kwa hiyo unaweza kutumia condom pamoja na hizi contraceptives kwa pamoja..
Na nilitaka tu kuonyesha si lazima tu vidonge kuna njia nyingi nyinginezo za uzazi wa mpango pamoja na kuzuia ujauzito. Binafsi si
support abortion kabisa. Kwahiyo nasema ni bora ku zuia kuliko kutoa.
Asanteni na karibuni tena.
Afrodenzi
Na shukuru kwa ushauri wako mzuri .
Lakini kumbuka si lazima ndoa kufanya mapenzi na si wenye
ndoa tu ndo wanafamilia. Kwa kweli nimependa hapo ulipo pendekeza condom.
Ila kwa wale ambao wako kwenye relation na wamepima wako clean hawataki kutumia
condom nataka tu kuwaonyeshea kuna njia nyingine asante .. ..
condom noma sana, unakuwa kama umevaa mpira, inadunda. nakubaliana na wewe kuwa kama watu wako kwenye mahusiano, wamepima, condom ya nini kama unadunda mpira?
Ni majuzi nilikuwa hospital, niloyaona na niliyoyasikia yananipa wasiwasi mkubwa kwa hizi njia za kisasa za kuzuia mimba.
Wenye uelewa zaidi naombeni mnijuze,