Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

huo ndo mpango mzima mkuu! but nafikiri wanawake hawaipendi hii coz unawanyima utamu wa ile kitu ikitoka! hii ipo applicabo kwa she unayemwamini koz utakuwa kavu kavu mkuu!

Madam likes it bwana.....
 

ina maana wewe hutumii kondom kabisa? jiangalie kijana bado mdogo sana, acha kumuingiza nyoka wako kwenye mashimo hovyo hovyo
 
naanza kutumia soon,mpenzi wangu karidhia.

Wewe unadhani zoezi hilo ni rahisi eeeehhh, shauri yako. Inahitaji umakini mkubwa sana vinginevyo unaweza ukashtukia unachomoa wakati uji wote umemwagikia ndani. Isitoshe njia hii ikitumika muda mrefu inaweza kusababisha mtindio wa akili. Mimi nilijaribu mara kadhaa lakini baadaye niliachana nayo.
 

wewe doyi, haufai kabisa, umenitia uchungu mno. mimi nilikuwa mwalimu huko tanzania, watu kama wewe wenye tabia ya kupenda kutombatomba watoto wetu wa shule na wachukia sana, NG'OMBE WE
 
Najua wadada lazma upinge hii k2.....
kuna utam flan mnamis!""

Mkuu Pasco, hapo mie sijazungumzia lolote kuhusu kumiss utamu wala nini. Nime imagine ni kwa kiasi gani kama wapenzi wakiiipa hii njia kipaumbele wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizo ya magonjwa ya zinaa na ukimwi kwa ujumla.
 
Mimi naunga mkona itumike km njia mojawapo ya kupanga uzazi kwa wanandoa na hii mara nyingi inafuatana na kalenda za mzunguko wa hedhi.
 

nimekusoma mkuu, nitarudia tena na tena ili kujiimarisha. Thx in advance
 

condom noma sana, unakuwa kama umevaa mpira, inadunda. nakubaliana na wewe kuwa kama watu wako kwenye mahusiano, wamepima, condom ya nini kama unadunda mpira?
 
condom noma sana, unakuwa kama umevaa mpira, inadunda. nakubaliana na wewe kuwa kama watu wako kwenye mahusiano, wamepima, condom ya nini kama unadunda mpira?

Ntamaholo wewe noma,tafuta Strawbell ipo poa sana kama unapiga kavu vile
 
Wakuu salamuni.

Baada ya kusoma michango ya wadau mabalimbali katika uzi huu
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/207732-kwa-akinamama-tu-na-wababa-wazoefu.html, baada ya kutafuta na vyanzo vingine vya suala husika nje ya JF, ushauri msimamo na ushauri wangui ni huu hapa.

(I) Nawashukuru wote waliochangia, lakini pia niwashukuru zaidi walioshauri tusubiri mpaka atleast 2 months ndo tuanze kufahamiana na wife. Nawashukuru sana kwa ushauri huo.

(ii) Ni nyongeza ya kiimani juu ya suala husika.

Kwa mjibu wa BIBLIA, mwanamke aliyejifungua lazima akae hali ametenngwa kwa mda wa siku saba. Siku ya nane, kama amezaa mtoto mme, anatakiwa ampeleke kwa utakaso, atahiriwe nyama ya govi lake, baada ya hapo akae kwa mda wa siku 33 bila kufanya lolote wala kukutana na mwanamme.

Na kama ni mtoto wa kike, mwanamke anatakiwa akae hali ya kutengwa kwa wiki mbili, baada ya hapo ampeleke kutakaswa kisha akae bila kufanya chochote hasa kujamiana kwa mda wa siku 66. Haya yote yanapatikana WALAWI 12:1-10.

UZAZI WA MPANGO.

Kwa mjibu wa Biblia, njia za uzazi wa mpango tunazozitumia hivi leo, ni kukosoa njia aliyoianzisha MUNGU, kama unaamini. Hivyo, kwa muamini, ni mwiko kutumia uzazi wa mpango nje ya utaratibu wa MUNGU.

Iwapo mtu atakaa kwa mda wa siku zilizoamriwa kujitenga na mke/mme wake kwa mda ulioamriwa na MUNGU, mwanamke akawa ananyonyesha full time, basi homoni zinazowajibika kutengeneza mayai kwa ajili ya urutubishaji, zitaacha kazi hiyo na kujikita kutengeneza maziwa ya mtoto. Hivyo baada ya hapo, hakuna haja ya kutumia kondomu wala njia yoyote ile kwani MUNGU kesaha maliza hesabu zake tayari mpaka mtoto afikishe miaka miwili hadi mitatu.

Utata ulioopo ni kwa kizazi cha leo ambapo mama naye anawajibika kufanya kazi ili kuongeza lishe ya nyumbani, lakini kwa serikalini ndio maana hupewa likizo ya uzazi takribani siku 90 ili kuwezesha suala hilo kufanikiwa.

Mie nimeaacha kabisa, na najuta kwa nini sikufahamu suala hili mapema, hata hivyo najilaumu kwani yawezekana mazingira ya ndoa yangu ndiyo yaliyosababisha yote haya, kama ningehudhuria mafunzo ya ndoa kanisani yawezekana yasingenikuta haya.

Ebrania 13:4 "... ndoa na iheshimiwe na watu wote, na yawepo malazi safi kwa kuwa wazinzi na waasherati, atawahukumia adhabu....". Kwa mjibu wa andiko hili, ndiyo chanzo cha neno linalotumika KUBEMENDA. Kwamba iwapo mtu akifanya ngono nje ya ndoa yake, madhara ya ngono humpata mtoto aliyezaliwa, na kama hakutibiwa anaweza kufa.

Nawashukuruni sana.
 
Unataka kuacha kutumia uzazi wa mpango una uwezo wa kulea watoto 5-10? Mkeo akipata mimba wakati mtoto mliyenae hajafikisha hata mwaka mtafanyaje? Au ndo mtawahi Maria Stopes?Mkeo ana nguvu ya kuzaa kila mwaka?

Mungu alitupa akili ili tuweze kubuni mambo yanayoweza kutusaidia na sio tukae tu tukisema "kashatufanyia hesabu". Ingekua ni kweli usingekuta kuna watu wanapata mimba kabla hata vichanga vyao havijaacha kunyonya.
 
Ni majuzi nilikuwa hospital, niloyaona na niliyoyasikia yananipa wasiwasi mkubwa kwa hizi njia za kisasa za kuzuia mimba.
Wenye uelewa zaidi naombeni mnijuze,
 
  • Kuna vidonge vya majira vinamezwa kila siku na wanawake. Hapewi mpaka afanyiwe hormone assay.
  • Kuna IUCD za aina nyingi na hizi zinaingizwa ndani ya uterus. Kidogo ni salama.
  • Kuna implants ambazo anawekewa mwanamke chini ya ngozi. Hizi ni Long term.
  • Kuna shindano anadungwa mwanamke mara 1 kwa mwezi.
  • Kama amesha zaa watoto watatu mwanamke anaweza kufanyiwa tubul ligation. Anafungw felopian tubes. Relatively safe.
  • Mwanamume anaweza kufanyiwa minor operation ya kufungwa njia za mbegu ya kiume. safe lakini huwei kumtia mimba yeyote. Ni ipi uliyo sikia?
 
Ni majuzi nilikuwa hospital, niloyaona na niliyoyasikia yananipa wasiwasi mkubwa kwa hizi njia za kisasa za kuzuia mimba.
Wenye uelewa zaidi naombeni mnijuze,

Mdau kwa jinsi umeleta mada bila kufunguka vizuri inatuwia vigumu kujua ni njia ipi hasa unamaanisha au njia zote za uzazi wa mpango zimekupa wasiwasi na ni wasiwasi upi.Doctorz amezitaja njia za uzazi wa mpango vizuri.

Kwa kweli siyo njia zote za uzazi wa mpango zina madhara mwilini,na zingine zipo zenye effect mbaya ni vema mtumiaji akajua mapema aamue vizuri na si kuficha ukweli mtu akaja kushangaa yakimkuta bila kujua.Hata hivyo si lazima kila mama anayetumia lazima apate side effects hizi,kumbuka kila mtu ana hormone tofauti,na njia zile zenye effects ni zenye hormone ndani yake.

Njia za uzazi wa mpango zilizotengenezwa kwa hormone(hormonal method) hormone hizo ni progesterone au estrogen,njia hizo ni pamoja na contraceptive injection(sindano),contraceptive pills(vidonge),implants(kuwekewa njiti chini ya ngozi).hizi ndo mara nyingi hutumika japo zipo na zingine.

Madhara yake.
kuongezeka uzito kupita kiasi wengine wanakuwa wembamba kupita kiasi,kuvuja damu nyingi wakati wa hezi kuliko kawaida,kuvurugika kwa mentrual cycle/irregular menstrual cycle,kuwa at risk ya blood clot ambayo huja kusababisha matatizo ya moyo au heart attack,wengine kutoshika mimba kabisa nk.kumbuka kama nilivyosema zinatokana na hormone ambazo inaweza zisikubalike kwenye mwili wa mtumiaji na kusababisha haya.

Njia kama condom,calendar,withdrawal kumwaga mbebu nje ya uke, kama utaiweza kumwaga maji ya uzima chini, wewe mwenye sasa japo ni ngumu,tubal ligation(kukata na kufunga mirija ya kizazi cha mwanamke kuzuia mbegu na yai kukutana).vasectomy(kukata mrija unaosafirisha mbegu kutoka kwa mwanaume) hizi mbili zinahitaji upasuaji mdogo na wanafanyiwa watu ambao hawategemei kupata watoto tena.hizi madhara yake ni kidogo sana ama hakuna kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…