Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri


Mkuu hormonal assay siyo cost effective hasa kwa nchi za ulimwengu wa tatu, sio lazima kuifanya , cha kuzingatia ni kama mama hana cardiovascular diseases na anakidhi vigezo hupewa OCP.
IUCD kidogo ni salama ukilinganisha na ipi? Na usalama upi unaoongelea wewe?
IUCD ni non hormonal na hutengenezwa kwa copper, kwa mtu mwenye allergy ya madini ya shaba haitumii hii njia.
Implanon ni njia ya muda mrefu (miaka 3) lakini IUCD ni ya muda mrefu zaidi (hadi miaka 12).
Sindano (Deport) mama hudungwa kila baada ya miezi mitatu na sio mwezi mmoja.
Watoto watatu wanakutosha wewe na sio kila mtu. Mtu mwingine hufanya BTL baada ya mtoto mmoja, mwingine watano. Cha muhimu ni endapo baba na mama wameona familia inawatosha ( complete family size). Kumbuka Bilateral tubal ligation (BTL) ni njia ya kudumu (permanent method) na siyo reversible.
 

Najibu wote mlochangia kwa sababu nilikuwa nimebanana na kuuguza mgonjwa. Nashukuru Mungu sasa hivi ana nafuu.
Nilipomuoa tulifanikiwa kupata mtoto wa kwanza, baada ya miaka 3; tulifanikiwa kupata mtoto wa pili. Tukajiwekea malengo kwamba tusipate mwingine hadi mambo fulani yatakapokamilika. Hapo ndo aliingia mchakato wa kutumia hizo njia za uzazi wa mpango, bahati mbaya sizijui kuzitaja kitaalam, ila aliwahi kutumia kitanzi, njiti na vidonge. Baada ya miaka 10 akapata ujauzito - nusu apoteze roho kwa sababu mimba ilitunga nje ya uzazi; ilibidi mimba itolewe na asafishwe kizazi. Baada ya miezi kama 4 hivi akapata ujauzito ambao mwezi huu ulikuwa na miezi minane; aliugua ghafla nikampeleka hospital ya mkoa wakamwogopa na kuniamrisha nimpeleke hospital ya rufaa ambapo nashukuru madaktari walifanikiwa kuokoa maisha ya mke wangu mpenzi. Katika mahojiano na wataalam mbalimbali - wengi wanalalamikia njia hizi za birth control kuwa ni mbaya sana hasa mtu akizitumia kwa mda mrefu.
Dr. mmoja wa kike alinihakikishia kuwa madaktari wengi wa kike hawazitumii kabisa kwani wanajua madhara yake ila kwa sababu ni kazi - hawawezi kwenda against na madaktari wenzao duniani wanaozi-recommend kwa raia.
Nimepoteza kiumbe ambacho tayari kilikuwa kimeishakamilika maumbile. Wife afya yake bado mgogolo, mara presha, mara kizunguzungu, mara kuumwa upande mmoja wa mwili na matatizo mengi mmmno.
Kwa kipindi nilichokuwa hospital nikimhudumia mama watoto wangu, case za watoto kuzaliwa wamefariki, ndebile, viumbe wa ajabu zilikuwa nyingi. Kwa kuwa watumiaji ni wanawake, wanawake haohao ndo wanazilalamikia.
 
Katika Nchi changa ongezeko la watu linaonekana kuwa ni kubwa,wakati huo huo nchi zilizoendelea ongezeko la watu linaonekana dogo. Hiyo itasababisha nchi changa kuwa na nguvu za kiuchumi na kiutamaduni. Na hii inatishia nchi zinazoendelea hususani America. Na itakuwa hivi,watu waanzisha chuki dhidi ya nchi tajiri wakielezea uhasama wao kwa kuhujumu nchi zao.

Ndio maana Amerika na nchi nyingine za magharibi zilizoendelea,wameanzisha hiyo program ya uzazi wa mpango wakishirikisha umoja wa mataifa kupitia idara zake kama WHO,IMF.WB na zinginezo.

Miongoni mwa nia hizo ni Sindano,Vidonge,Kitanzi,Kondom,Kufunga uzazi,Vidonge vya mapovu,Vijiti n.k.

Hizi zote si salama kwa afya ya mwanadamu. Labda nianze na baadhi ya madhara ya njia hizo.

Sindano:-
Kwanza mtumiaji lazima apime uzito,kisukari na pia pressure. Kama una pressure ya kupanda au ya kushuka hushauriwi kutumia sindano.

Madhara ya sindano:-
Mtumiaji wa sindano kwanza huwa anapoteza period yaani ule mzunguko wa siku zake za hedhi. Na hili ni tatizo na kama ataingi katika hedhi basi haizidi nusu saa. Tena mtu anayekosa hedhi anakuwa ni msichana tu wala si mama wa kupitiliza. Pia mwanamke anaongezeka mwili,sana katika mikono,miguu na pia shingo na kuongezeka uzito,jambo ambalo litamsababishia ugonjwa wa heart attack yaani pressure.

Kitanzi:-
Hiki kinasababisha kwanza usumbufu wa kuumwa tumbo,kisirani,kukosa uchangamfu na pia uchovu hatimae ina uwezo wa kusababisha kansa ya kizazi.

Vidonge:-
Vinasababisha ugonjwa wa BCD yaani Blood Clottin Disorders. Huu ni ugonjwa wa kuganda damu katika mishipa. Pia inaweza kusababisha kuwahi au kuchelewesha kupevusha yai, yaani mtu kuwahi kupata period au kuchelewa mtu kutokujuwa mzunguko wake. Na pia vinasababisha mwanamke kuota nyama chini ya shingo mfano kama kibyongo lakini hana kibyongo. Pia kunakuwa na mabadiriko kwenye uke, yaani anatokwa na maji mengi kuliko jawaida yake. Kwa siku anaweza kubadirisha nguo ya ndani zaidi ya mara kumi,na hata mume akimwingilia ahisi mabadiriko kutokana na maji kuzidi kiwango na hata kupelekea uume kusinyaa. Hivyo raha ya tendo na starehe yake inakosekana.

Condom:-
Condom inaweza kuzuia mimba lakini haifai katika matumizi ya mwanadamu 7bu ina madhara tena makubwa tu.

Madhara ya Condom:-
Kihistoria kwamba condom ilikuwepo tokea vita kuu ya pili ya dunia. Na hi inatengenezwa na plastic laini na pia condom ina mafuta kwa nje ambayo kitaalamu yanaitwa jojoba oil sex. Ambayo mafuta haya yanapogonga au yanapoingia au yanapogusa kuta za za uke yanabakia. Hivyo inapotumika muda mrefu inatengenezeka ngozi ngumu katika uke kutokana na mauta.

Kitendo hicho kitapelekea mwanamke kukosa stimulation yaani msisimko. 7bu hadi aanze kupata raha mpaka uipashe moto ile ngozi na mpaka ikipashika moto,mwanaume utakuwa umeshafika kileleni zaidi ya mara moja. Hivyo wakati mwenzako anaanza kulisikia wewe unakuwa umeshachoka,hivyo akuona hufai lakini imesababishwa na nini? Bila shaka ni condom.

Pia condom kwa baadhi ya wanawake inawasababishia fangus yaani ugonjwa wa kuwashwa ukeni. Na ukitaka kujua kwamba condom ina madhara,chukua condom ifunge katika kidole gumba chako cha mkono,lala nayo hadi asubuhu kisha kitazame kidole chako kitakuwa katika hali gani. Hivyo condom haifai.

Na hii hata kwa wale ambao wana IMANI kuwa condom ni kinga ya maambukizi dhidi ya VVU si kweli kabisa kwa 7bu ukitazama katika vyombo vya kimaabara yaani Darubini kama telescope au mcroscope inayokuza moja kwa kumi au kumi kwa mia inaonyesha kwamba kondom ina matundu yenye ukubwa wa 0.08 mbegu ya kiume ina ukubwa wa 0.12 mbegu ya kiume ina ukubwa zaidi kuliko tundu la kondom hivyo haitapenya kwa hiyo hapa mimba itazuiwa.

Lakini kondom siyo kinga ya ukimwi hata kwa dakika moja. 7bu virusi wanaosababisha ukimwi mmoja ana ukubwa wa0.03. Hivyo katika tundu la kondom lenye ukubwa wa 0.08 anapita.na mkewe nae mwenye ukubwa huo huo jumla wote wawili wanakuwa na ukubwa wa 0.06 hivyo inakuwa njia rahisi sana kwao ya kupita na kwenda kuzaliana.
 
Baada ya kutumia uzazi wa mpango(sindano)..tumeacha kutumia sindano takribani miezi 10 sasa, anapata period kama kawaida lakini hapati ujauzito...tunaomba ushauri wa kitaalam..
 
Je ameshawahi kuzaa? Kawaida mwanamke anapotumia sindano ya DEPO PROVERA anatakiwa arudie ku ovulate baada ya kama miezi 6. Kama ime persist kuto shika mimba basi amwone Genaecologist ampime. Na pia bora Mwanamume nae afanyiwe sperm count na typing. Never give up. There is always a solution kwa problem hiyo. Lakini inahitaji subira.
 

Asante doctorz tuna watoto 2..tutafuata ushauri wako ndugu..thankx
 
Asante doctorz tuna watoto 2..tutafuata ushauri wako ndugu..thankx

Pole sana? But do not worry!
Background:
Fertility control methods (hormonal);
As a result of economic hardships and all things of that kind a man decided to find ways to control population, hormonal contraceptives were among them.
Everything has got positives and negatives, so are hormonal pills/implants/injectables.
Facts:
The cervic is a very important part of female reproductive system that determines fertility (it has got different types of mucus, S, L, P, G and F with different functions - refer attachments) and hormonal contraceptives have a significant effect on cervix.
Under normal circumstances fertility of a woman decreases from the age of 35.
After a long term use of injectables the woman can remain infertile for up to 18 months from the last time she stopped using them, thereafter fertility can resume.

Several scientific researches done by well renowned researchers like Professor Erik Odeblad (University of Umea - Sweden) revealed that: "Complications arising from the use of the Pill are very frequent. Infertility after its use for 7-15 years is a very serious problem. S crypts are very sensitive to normal and cyclical stimulation by natural oestrogens, and the Pill causes atrophy of these crypts. Fertility is impaired since the movement of sperm cells up the canal is reduced and treatment is difficult. After 3 to 15 months of contraceptive pill use, there is a greater loss of the S crypt cells than can be replaced … A pregnancy rejuvenates the cervix by 2-3 years, but for each year the Pill is taken, the cervix ages by an extra year.”
Refer the charts below:
NOTE: S mucus is very important for fertility together with L and P (here the researcher was more interested in S)

(1).Natural baseline aging, fundamental – a more or less linear decrease in the number of all three kinds of these glands or crypts (S, L and G)




Profile of cervical crypts of a baseline woman - never pregnant & never on the Pill:
Representative profile of cervical crypts (percentage of cervix occupied by active crypts) for a woman who goes through life without pregnancy or use of the Pill.

(2).Slow-down of atrophy aging by pregnancy:




Profile of cervical crypts of a 4x pregnant woman:
Representative profile of cervical crypts (percentage of cervix occupied by active crypts) for a woman who goes through life with four pregnancies and no use of the Pill.

(3).Acceleration of atrophy aging by the Pill [and/or by other endocrine-active compounds, EACs – a logical extrapolation]



Profile of cervical crypts of a woman on the Pill:
Representative profile of cervical crypts (percentage of cervix occupied by active crypts) for a woman who goes through life without pregnancy and uses the Pill for 10 years.

REFERENCES:
(1)About atrophy, reproductive aging, and how it
(2)Billings Method

ADVICE:
Msikate tamaa kuna uwezekano mkapata mtoto, kuleni shule toka kwenye attachments hizo (nilikuwa nasomea certificate ya hii course ya natural fertility - Billings Ovulation Method (BOM), 2006 nilipokuwa niko mwaka wa nne nikiwa nasomea udaktari Muhimbili, kwa bahati mbaya nilikuwa na majukumu mengine mengi, sikuendelea kujibu mitihani LAKINI NILIVISOMA VYOTE nilivyotakiwa kuvisoma na tayari mtoto wangu wa kwanza nilimpata kwa kupractise hii method.
Nilijua:
(1)My wife is going to be pregnant
(2)Mtoto atakuwa wa kike (na ikwa hivyo) - refer attachments.
Soma hii link itakusaidia (usiwe na haraka): www.woomb.org
View attachment BOM-1 (May, 2006).docView attachment BOM-2 (May, 2006).docView attachment BOM-3 (May, 2006).doc



View attachment BOM-1 (May, 2006).doc View attachment BOM AND SUCCESS.pdfView attachment BOM-2 (May, 2006).docView attachment BOM-3 (May, 2006).doc
 

Attachments

  • Diane-3.JPG
    604.7 KB · Views: 83
hili tatizo linatokea ukiwa umetumia hizo njia kwa muda mrefu au? je itakuwa sawa kwa mtu aliyechoma hiyo sindano akaachana nayo na hakuendelea na njia nyingine ya uzazi wa mpango?
 
Msaada jamani.

Wife anadai condom zina msumbua sana.

Akienda uwani anakuta mafuta mengi ya condom ukeni.na kama ikipasuka huwa inabakiza vipande ukeni.

Msaada jamani.

Kalenda pia imetushinda.

====================================================================================
 
Hakuna njia salama ya uzazi wa mpango zaidi ya KALENDA, wewe mumu unatakiwa pia ujue kalenda ya mkeo hapo mtaenda vizuri.
Kalenda iko hivi: Siku ya kwanza anayoanza kuona damu ndo anahesabu kuwa ni siku ya kwanza baada ya kumaliza bleed maybe siku ya 4 au 5 n.k siku zinazofuata ni safe, kuanzi siku ya 10 hadi siku ya 15 ni siku za hatari mki-do ktk siku hizo mama atapata ujauzito kuanzia siku ya 16 na kuendelea hapo ni safe hadi atakapo anza period tena.
 


Mimi na waif tulifuata hiyo kalenda, waif akanasa mimba vilevile. Kibaya zaidi alikuwa ana dogo hajafika hata mwaka mmoja. Saivi tuna miaka miwili ya ndoa na watoto wawili. Mungu mkubwa watoto wote wako poa. Bado hatujajua tutatumia njia gani baada ya kufikwa na hili. Ila binafsi sitaki tena kutumia hiyo njia ya kelanda ni ya kubahatisha sana.

Tumewaona baadhi ya watu wazima wametushauri kutumia condom, ndo njia salama zaidi ukilinganisha na hizo njia zingine. Tumeambiwa madawa ya uzazi yenye kemiko mf.vidonge vinasababisha uvimbe tumboni kwa mama (fibroid), vijiti na lupu vina side effect kibao. Sasa km huyo wa kwako ana matatizo na condom tena, mmhh tatizo nafikiri ni kubwa zaidi mwende hospitali mpate ushauri.
 
Msaada jamani.wife anadai condom zina msumbua sana.akienda uwani anakuta mafuta meng ya condom uken.na kama ikipasuka huwa inabakiza vipande ukeni.msaada jamani.calenda pia imetushinda.

Mke anaweza kwenda kituo kinachotoa huduma za uzazi Wa mpango, mwaweza kwenda pamoja, mtapata kuelimishwa kola njia na maudhi take mtachagua inayowafaa, atafanyiwa vipimo kabla ya kulewa njia husika. Loop ni njia nzuri kwani haina vichocheo vya mwili, meaning hormones only you need to have a single partner kwani ukipata maambukizi ya magonjwa ya zinaa husumbua kutibu. Loop works by interfearing with implantation by making uterine environment non supportive of implantation. Fula kituoni kupata ushauri zaidi, kuna UMATI, Marie Stopes, vituo vya serikali pia.
 
Kuacha kujamiiana kabisa hadi utakapo kuwa tayari kupata mtomto.
 
Sasa Tizo ni mnfanyaje fanyaje mpaka kondomu inapasuka anakutana na vipande vipande?? Hivo vipande visije mletea madhara mkeo vikaingia ndani ya kizazi ikawa ishu nyingine. na kuhusu mafuta asilalamike yana sababu yake ambayo ni kuilainisha kondomu. sasa kwani hayo mafuta akishapaosha si ndo mwisho wake. nendeni kwenye vituo vya afya kama mlivyoshauriwa na wanaJF wengine ili mfahamu njia bora zaidi ya uzazi wa mpango.
 
JS, hivi Geoff yuko wapi siku hizi? Au kwa lugha nyingine, jamaa anaingia kwa ID gani humu? Samahani kwa kutoka kidogo nje ya uzi.
 

Kondom hazina ubora kabisaaa.mzuka ukipanda yenyewe inapasuka bila sababu...shida tupu.
 
1.Hakikisha mke wako anakunywa glass moja ya maji baridi baada ya kusex not only this stage 2. Munaposex ukieleke kuejaculate chomoa na uejaculate nje ya uke wa mkeo 3.tumia kondomu zenye ubora wa hali ya juu 4. Hakikisha unajua ratiba ya mkewako ya heat days 7day siku hizi hakikisha unakuwa bize msikutane kimwili 5. Dawa ningekushari ukihitaji niambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…