Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzazi wa mpango ulinishinda sijafika hata miaka 30 na watoto wa kutosha kabisa. Dont judge me
Jaman Wapendwa Me Ni Nurse Mcdhan Njia Za Kisasa Za Uzaz Wa Mpango Ni Mbaya Namshaur Hyo Dada Aende Zahanat Yoyote Iliyokaribu Nae Atapata Ushaur Mzur Mana Kuna Njia Za Mda Mfupi,mref Na Zakudumu
nakushauli tumia y asili acha na usiwe na wazo la kutumia za hospitalin/wazungu, nilishapoteza ndugu alihangaika sana, side effect zake ni mbaya.
dada wewe ni nurse.lazima utetee taaluma yako.nani asiejua kama njia za uzazi wa mpango za kisasa ni mpango wa WHO wa kureduce population duniani?
na wanaamini kuwa kama sio kuzuia mimba bas mtumiaji atakufa na population itapungua..kama hatakufa bas atapata tatizo ambalo litamfanya awaingizie fedha makampuni wanayotengeneza madawa kwa tiba na madawa yao...
hili ni fumbo kubwa sana...nasema hivii sitakaa kamwe in my life nitumie njia yeyote ya uzazi wa mpango ya kisasa EVER! dadamkubwa sikushauri ndugu yangu..jifunze kutumia biological calender, withdraw kwa mzee uongee nae kwa upendo atakuelewa tu ili mradi asiwe amelewa.na njia nyinginezo za asili wadau watakuambia kulingana na kabila zao.
Hebu tujiulize njia za uzazi wa mpango za hao washenzi wazungu zimeingia lini hapa Tanzania? nyota ya kijani mimi nimeanza kuisikia ikiimbwa redio Tanzania pamoja na maigizi yake miaka ya 90 na je wazaz wetu walikua wanatumia njia gani kabla ya hizi? bibi yangu ana watoto 5 wamepishana miaka 4-3 iliwezekana vip na wakati hizo dawa za kisasa hazikuwepo?
kwanza Mwenyezi Mungu amesema zaeni muongezeke mkajaze nchi...nashangaa watu.wanabuni mbinu tu za kupunguza watu.
nakuambia ukisikia shuhuda za watu waliopata matatizo kutokana na hizi dawa hutikaa uthubutu kuzigusa.nina mfano hai wa wifi yangu mwaka 2000 alitumia njia ya njiti wanazochomeka kwenye mikono sijui jina lake kitaalam mpaka nigoogle tena..aliweka 3 nakuambia kufikia 2002 moja ikawa haionekani zikawa zipo 2. akachanwachanwa mishipa karibu mwili mzima ati wanaitafuta.na hawakuipata.akafanyiwa ultrasound hawakuiona hata kama ilikimbilia kwenye kizaz ama vip.mpaka leo hajapata tena mtoto mwingine ni yuleyule 1.yaan alipata ugumba abao hakuutarajia na hajawah kuona siku zake tena mpaka leo na sasa ana miaka 34.haya ni baadh ya.madhara tu ukienda huko clinic ukisikia shuhuda za mateso wanayopata watu huwez kumshaur mtu kabisa..
mimi nazipinga hata Dr Yusufu ananijua vizuri ninavolipinga hili...

Mimi binafsi naamini matumizi ya KALENDA na KONDOM basi, hizi za kisasa hizi huwa simshauri msichana yeyote yule kuzitumia, nnawezamshauri atumie kalenda zaidi maana ni rahisi na haina gharama yeyote, cha msingi mfanye kwa ushirikiano mkubwa baina yenu.
Tumia kalenda ukiwa kwenye siku zile kama huwezi jizuia tumieni kondom.
Habar wana jf mm ni mgen
humu jamvin na hii ndiyo post yang ya kwanza pande hz...,,naomba
kujuzwa njia mzur ya uzaz wa mpng n ipi..? Mim ni mama wa mtt mmoja wa
miez nane naomba msaada wenu
Nikishaoa mke sitaki tena kusikia maneno ya condom. Yaani mke wangu mwenyewe halafu nimvalie condom? Hell no!Mimi binafsi naamini matumizi ya KALENDA na KONDOM basi, hizi za kisasa hizi huwa simshauri msichana yeyote yule kuzitumia, nnawezamshauri atumie kalenda zaidi maana ni rahisi na haina gharama yeyote, cha msingi mfanye kwa ushirikiano mkubwa baina yenu.
lHuwa anamwaga maji ya uzima nje lakin naona kama anapata shida maana na ye ni binadamu pia anaeza akajisahau
Huwa anamwaga maji ya uzima nje lakin naona kama anapata shida maana na ye ni binadamu pia anaeza akajisahau
Kufunga kizazi bora kuliko njia za madawa, lakini ni kinyume na agizo la Mungu. Lakini unaweza kuhatarisha maisha, hasa hapa bongo kwa wakati huu wa sasa. Kidonda kikapatwa na wadudu ndani mwisho usaha na kifo Lisa uzembe. Mifano ipo