Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

dada njia rahisi na nzuri ni kuweka kitanzi tu. Nilikitumia kwa miaka 10 na siku tulipoamua mbona walichomoa tu na mabo yakajipa? Hakuna sijui kuosha mirija au nini. Upate mtaalamu mzuri na utafurahi. Vidonge vina mambo yake bana. Pia njiti zina vioja vyake.
Hayo mambo ya asili kama kumwaga nje yana mambo yake pia. Yanafaa mwanaume ndiye aamue tu, wengine vilaza.
 
Unajua kitanzi kinafanyaje kazi? Kinaua kiumbe kilicho tengenezwa, ambayo kwangu ni dhambi ya kuua kiumbe
 
Tumia kalenda. Kama Mr. anaweza atumie Withdrawal pia
 
Namshukuru nina miaka 22 kuna mchumba wangu nimezaa naye mtoto mmoja wa kike tatizo ni kwamba anataka kwenda hospital kupata ushauri kuhusu kuchoma sindano au kutumia vidonge vya uzazi wa mpango naombeni msaada kujua kama sindano au vidonge vya uzazi wa mpango vina madhara gani kwa wale wanajua asanteni sana nawatakieni j.mapili njema yenye mafanikio na baraka kutoka kwa Mungu ..
 
Nina girlfriend wangu mama yake ni nesi muhimbili alimkataza binti yake katika maisha yake asijaribu kutumia dawa za uzazi wa mpango kua zina mathara makubwa
 
Kwa wale wanaotaka kufunga kuzaa moja kwa moja au wale wanaotaka kupumzika kwa muda, dawa ipo.

Dawa hii ni ya asili ya mitishamba, haina madhara yeyote hasi , unaweza kujiamulia kufunga kwa mwaka mmoja, miwili au zaidi au moja kwa moja.

Kwa anayehitaji tu anipigie au anitext kwenye 0769142586

NB: Samahani kama haikuhusu pita tu na yako.
 
hizi dawa za asili bwana ni nzuri ila shida yake ni mashart km kuna kaushirirkina fulani hv. kuna moja naisikia sana ya kuvaa kiunoni. itakapokatika au ukivua tu basi mimba inaingia. najiulizaga sana vina uhusiano gani kuvaa tu?
 
Mi bado hata nikiacha kuzaa hafungi mtu kizazii, halaf ukifunga kizazii k inakua ya baridii wengi sana wanaofunga waume zao huwaacha
Halaf unafunga kwa mwaka 1je ikitokea ukadanja nani atawafunguliaa
 
Mi bado hata nikiacha kuzaa hafungi mtu kizazii, halaf ukifunga kizazii k inakua ya baridii wengi sana wanaofunga waume zao huwaacha
Halaf unafunga kwa mwaka 1je ikitokea ukadanja nani atawafunguliaa

Kuna wengine ni lazima wafunge kuzaa, kwahiyo kama kwako si lazima sababu ya kuogopa K itakuwa ya baridi basi zisingekuwepo hizi dawa huko hospitalini.

Wewe ndio kichwa maji unaleta swaga zako za kiganga unahojiwa unajibu pumba LOLz......Sijawahi ona mshirikina alie na akili wote hua vichwa maji tu kwa mtu alieenda shule akaelimika ataenda hospital nasio kwa waganga kupewa dawa za kuficha ardhini hahahaaa JF IS NEVER BORING AISEE.....!!!!!!!

Nashukuru kwa matusi yote ila tu mimi siyo mshirikina. hizi dawa zilikuwepo tangu enzi hizo bibi na babu zako wamezitumia kabla ya hospitali kujengwa. Huko hospitali pia dawa wanazotumia asilimia kubwa zinatokana na mizizi hii hii tunayotumia sisi. Kwahiyo kama unataka kutumia za hospitali wewe nenda tu sijakukataza.

yale yale akili za kupewa changanya na zako ndugu......changa la macho live

Sijakuelewa unamaanisha nini unaposema changa la macho live?.
 
Kwa mwenye kutaka dawa ya Asili ya kuzuia ili asiweze kupata mimba anione mimi dawa ninayo nione kwa gharama ya pesa wasiliana na mimi kwa njia ya Baruwa ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au waweza kunitembelea blog yangu bonyeza hapa.Mawasiliano ~ Mzizi Mkavu
 
Njia nzuri na salama ni IUD sababu imeleta suluhisho kwa mapungufu ya njia zingine
1. Condom: ukishindwa kuitumia vizuri haisaidii, na kuna wakati huna condom ndani.
2. Diaphragm and cervical ring: it is not hygienic, tuseme tu ukweli.
3. pills: they affect the mood, na unaweza kusahau au kushindwa kuzinya wakati fulani (umelala msibani, hujanywa, ukirudi home unakaribishwa na baba...
4. sindano: ikiwa unataka kuzaa kati kati ya process, utashindwa kui-reverse, hadi dawa idisolve yote mwilini

Kweli na IUD ina matatizo yake kama heavy bleeding (coper T) au less bleeding (hizi za plastic) ila unakua more in control. pia ikikutana na mwanamke mwenye hygiene pungufu au wanawake wenye kusafiri sana kama mimi, inaweza kusababisha au ku-worsen infections.
Ila uzuri wake unaweza kuitoa saa yoyote au kubaki nayo for 3, 5 to 10 year, huna pressure ya kukumbuka iko wapi, next check ni lini etc. Na last but not least, you are in control, your partner plays a little role (if at all) in the whole process.
i have missed u rafiki!!! loooool! hope u r ok!
 
Condom ndo kila kitu hayo mengine mke wangu atayasikia kwenye bomba
 
baada ya kunywa hizo dawa je vinafanyaje kazi? yaani vinaua sperms? au zinaua yai au inakuaje...napenda kujua tafadhali
 
Back
Top Bottom