Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi bado hata nikiacha kuzaa hafungi mtu kizazii, halaf ukifunga kizazii k inakua ya baridii wengi sana wanaofunga waume zao huwaacha
Halaf unafunga kwa mwaka 1je ikitokea ukadanja nani atawafunguliaa
Wewe ndio kichwa maji unaleta swaga zako za kiganga unahojiwa unajibu pumba LOLz......Sijawahi ona mshirikina alie na akili wote hua vichwa maji tu kwa mtu alieenda shule akaelimika ataenda hospital nasio kwa waganga kupewa dawa za kuficha ardhini hahahaaa JF IS NEVER BORING AISEE.....!!!!!!!
yale yale akili za kupewa changanya na zako ndugu......changa la macho live
Kwa mwenye kutaka dawa ya Asili ya kuzuia ili asiweze kupata mimba anione mimi dawa ninayo nione kwa gharama ya pesa wasiliana na mimi kwa njia ya Baruwa ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au waweza kunitembelea blog yangu bonyeza hapa.Mawasiliano ~ Mzizi Mkavu
i have missed u rafiki!!! loooool! hope u r ok!Njia nzuri na salama ni IUD sababu imeleta suluhisho kwa mapungufu ya njia zingine
1. Condom: ukishindwa kuitumia vizuri haisaidii, na kuna wakati huna condom ndani.
2. Diaphragm and cervical ring: it is not hygienic, tuseme tu ukweli.
3. pills: they affect the mood, na unaweza kusahau au kushindwa kuzinya wakati fulani (umelala msibani, hujanywa, ukirudi home unakaribishwa na baba...
4. sindano: ikiwa unataka kuzaa kati kati ya process, utashindwa kui-reverse, hadi dawa idisolve yote mwilini
Kweli na IUD ina matatizo yake kama heavy bleeding (coper T) au less bleeding (hizi za plastic) ila unakua more in control. pia ikikutana na mwanamke mwenye hygiene pungufu au wanawake wenye kusafiri sana kama mimi, inaweza kusababisha au ku-worsen infections.
Ila uzuri wake unaweza kuitoa saa yoyote au kubaki nayo for 3, 5 to 10 year, huna pressure ya kukumbuka iko wapi, next check ni lini etc. Na last but not least, you are in control, your partner plays a little role (if at all) in the whole process.
Nipo dear, miss you too. But nipo nipo, nachungulia from time to time...i have missed u rafiki!!! loooool! hope u r ok!