Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Kamfunge mumeo madaktar wanasema kumfunga mwanaume mirija haina madhara sana kama anapofungwa mwanamke

si mpaka akubali sasa.ila kunamwanaume alifunga akaenda OR wafungue dr alisema inawezekana japo sometimes inawez ikagoma.hii kesi haikufanyika tz lakini
 
Kitanzi kuna mtumiaji mmoja alinambia kinamuumiza na pia kinasogea hivo waweza ku conceive
sindano zinafanya mtu ableed sana afu kuja kupata tena mimba ni bahati nasibu
vidonge mbali na kunenepaa au kukonda vinachefua unahisi kufwa kufwa tu, afu sio rahisi kukumbuka kila siku kumeza
kalenda ndio nzuri japo mmh mmgegedo wa kupima kwa kibaba nao yataka moyo
kitanzi hakina madhara ila waliotumia wanalalamika

duh hapo labda vidonge kujaribu vikikupenda unaendelea navyo vikizingua unaacha
 
Kama hautaogopa kupoteza hedhi yako for 18 months then choma depo bt unaweza boost mayai ya kike kama utahtaj kubeba mimba kwa kumeza dawa ziitwazo "chlomifene citrate"
embu tuongee kuhudu pills
 
tukiacha kondom ni njia gani nzuri kwa afya yako

ukisema ni mbaya njiq flani jaribu kuelezea madhara yake

usishushe madesa wala kutoa Link
please tupe uzoefu yakinifu

kuruhusu mimba ingie then utakuwa salama kwa miezi tisa itakayofuata ikiisha unarudia hivyo hivyo
 
Kubadilika kwa tarehe siyo issue sana coz tarehe zinabadilika kwa siku mbili au moja and zikibadilika mwanamke ana notice
 
Kuna hii INA Fanya kazi kwa upande wangu my baby akiwa unsafe anakunywa dawa flani hivi ni vidonge viwili kuzui ujauzito 72 hrs tunapiga gemu baada ya siku mbili anakunywa vidoge vingine ni viwili tu kisha tunaendelea na yetu maana unsafe ni maximum 6 so zinakwisha maisha yanakwenda haijawai kuleta shida everything normal mzunguko safi
 
Kuna doctor aliwahi nambia eti hata siku zikibadilika bado ovulation itabaki ilele, maana huwa hazibadiliki saaaana, ngoja nitamuuliza zaidi maana sikuwa serious that day

ukitaka usikosee mambo basi we jigijigi siku zote la kasoro siku 5 tu yaani siku ya 12 mpaka ya 16 tangu mzunguko wa hedhi ilipoanza( hizo ni siku kwa ajili ya mimba), hapohata kama mzunguko ukibadilika kidogo haitaathiri kitu..

wengi hukosea kwa kuanza kuhesabu siku hedhi ilipokata na ndio hujikuta wanakosea na kupata mimba zisizotarajiwa.
 
cheza na kalenda. unajilia kitu dry murua kAbisa
 
Njia nzuri ni Kalenda, ukishindwa tumia mitishamba. Mambo ya vidonge sijui vitanzi ni hatari kwa afya yako, na hii ya ku withdraw ni hatari sana maana unaweza kufikiri umewahi kumbe kitu tayari kisha tick.
 
Kalenda peke yake, hizi za hospital ni majanga, sikushauri
 
Njia nzuri ni Kalenda, ukishindwa tumia mitishamba.

mitishamba nayo inaweza kuwa sio nzuri sana kwasababu mara nyingi si rahisi kujua dose yake.wale ambao mzunguko wao mzuri kalenda is the best method for them.
 
Mie na mke wangu tunapanga uzazi kwa kutumi withdrawa (kumwaga kwa nje)
Hapa tuna miaka mitano kwenye ndoa na mtoto wetu ana miaka 2, tunangoja afunge mitatu ndipo tufikirie kuanza kutafuta wa pili Insha Allah.
So kwangu mie withdrwal is the best but it depends on how you two are committed and cooperate kwenye kuchomoa dushe.
 
Back
Top Bottom