ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,120
- 5,352
ukitaka usikosee mambo basi we jigijigi siku zote la kasoro siku 5 tu yaani siku ya 12 mpaka ya 16 tangu mzunguko wa hedhi ilipoanza( hizo ni siku kwa ajili ya mimba), hapohata kama mzunguko ukibadilika kidogo haitaathiri kitu..
wengi hukosea kwa kuanza kuhesabu siku hedhi ilipokata na ndio hujikuta wanakosea na kupata mimba zisizotarajiwa.
Naomba utuelezee vizuri ni siku tano au kumi mana mimi niliambiwa ni siku kumi kuanzia siku ya 11 mpka 20 tangu mzunguko wa hedhi ulipoanza ipi ndo sahihi?
mwanamke anatakiwa aujue vizuri mzunguko wake,wenye mzunguko mrefu unaobadilikabadilika ni vyema kutumia hiyo ya from day 11-18 sio lazima mpaka siku ya 20 hiyo ni kwa kujipa uhakika zaidi.
ila ukiwa kwenye kutafuta mtoto sasa ndio utakaba siku ya 12-16,.. nadhani umeona wakati wa kuzuia ni siku nyingi ila wakati wa kutafuta ni siki chache japo process ni ileile, hii ni ili kuchukua tahadhari zaidi, hivyo hata aliye sema ujizuie toka siku ya 11-20 lengo lake lilikuwa ndio hilo, akijua wazi kuwa mizunguko inatofautiana, na range hiyo ni suitable kwa wanawake wa aina zote..