Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

ukitaka usikosee mambo basi we jigijigi siku zote la kasoro siku 5 tu yaani siku ya 12 mpaka ya 16 tangu mzunguko wa hedhi ilipoanza( hizo ni siku kwa ajili ya mimba), hapohata kama mzunguko ukibadilika kidogo haitaathiri kitu..

wengi hukosea kwa kuanza kuhesabu siku hedhi ilipokata na ndio hujikuta wanakosea na kupata mimba zisizotarajiwa.

Naomba utuelezee vizuri ni siku tano au kumi mana mimi niliambiwa ni siku kumi kuanzia siku ya 11 mpka 20 tangu mzunguko wa hedhi ulipoanza ipi ndo sahihi?

mwanamke anatakiwa aujue vizuri mzunguko wake,wenye mzunguko mrefu unaobadilikabadilika ni vyema kutumia hiyo ya from day 11-18 sio lazima mpaka siku ya 20 hiyo ni kwa kujipa uhakika zaidi.
ila ukiwa kwenye kutafuta mtoto sasa ndio utakaba siku ya 12-16,.. nadhani umeona wakati wa kuzuia ni siku nyingi ila wakati wa kutafuta ni siki chache japo process ni ileile, hii ni ili kuchukua tahadhari zaidi, hivyo hata aliye sema ujizuie toka siku ya 11-20 lengo lake lilikuwa ndio hilo, akijua wazi kuwa mizunguko inatofautiana, na range hiyo ni suitable kwa wanawake wa aina zote..
 
Hiyo ya ku withraw bhan dah si nilisikia majivu sijui haina madhara maana hiyo ngumu bhanaa mda huo ndo nataka nifike kwenye maini hafu nitoe atoto kwelihiyo?

Itabidi tu utoe baba maana hamna namna, unless unataka mtoto kila mwaka na unizeeshe mwenzio, majivu nimekuwa jiko? Jiko lenyewe huondolewa majivu ili moto uwake vzr, sasa kwanini mimi unijaze majivu?
 
Last edited by a moderator:
Itabidi tu utoe baba maana hamna namna, unless unataka mtoto kila mwaka na unizeeshe mwenzio, majivu nimekuwa jiko? Jiko lenyewe huondolewa majivu ili moto uwake vzr, sasa kwanini mimi unijaze majivu?

hahahah brother amekomaa itabidi tu ukubali matokeo lol
 
mwanamke anatakiwa aujue vizuri mzunguko wake,wenye mzunguko mrefu unaobadilikabadilika ni vyema kutumia hiyo ya from day 11-18 sio lazima mpaka siku ya 20 hiyo ni kwa kujipa uhakika zaidi.
ila ukiwa kwenye kutafuta mtoto sasa ndio utakaba siku ya 12-16,.. nadhani umeona wakati wa kuzuia ni siku nyingi ila wakati wa kutafuta ni siki chache japo process ni ileile, hii ni ili kuchukua tahadhari zaidi, hivyo hata aliye sema ujizuie toka siku ya 11-20 lengo lake lilikuwa ndio hilo, akijua wazi kuwa mizunguko inatofautiana, na range hiyo ni suitable kwa wanawake wa aina zote..

hizo siku unahesabu from the day ametoka period?
 
Tukiacha kondom ni njia gani nzuri kwa afya yako .

Ukisema ni mbaya njiq flani jaribu kuelezea madhara yake .

Usishushe madesa wala kutoa Link .

Please tupe uzoefu yakinifu

Kuna njia moja shemeji yangu anatumia inaitwa loop, ingawa sijaidadavua wanasema ni nzuri sana na hainaga impact kwa mama
 
Wadau,

Katika kuendelea kuelimishana na kusisitiza uzazi wa mpango, leo tumekuletea mambo yanayothibitisha kuwa kuzaa kwa mpangilio kuna faida, hasa kwa wanandoa.

Wanandoa wanaotumia njia mbalimbali za uzazi wa mpango:

  • wana muda wa kutosha kuwa faragha kutokana na kuwa na watoto wachache, wanawalea watoto kwa nafasi.
  • mawazo yao yanakuwa katika tendo na sio kwa utitiri wa watoto au majukumu ya kila mmoja (endapo wangekua na watoto wengi)
  • wana nguvu ya kutosha na afya ya kufurahia mwanzo- mwisho bila kuchoka au kujisikia wadhoofu.

Unadhani faida zingine ni zipi? Wewe ni mwanandoa au mwana mahusiano uanyetumia njia za uzazi wa mpango? Share na sisi faida kadhaa unazozipata hasa katika kushiriki tendo la ndoa.

Karibuni wadau.
 
Binafsi natumia calender method mwaka wa tatu sasa,ni nzuri sana
 
Mwanamke aliyetumia sindano za uzazi wa mpango humchukua mda gani kupata ujauzito pindi aachapo kutumia?

Huchukua takribani miezi minne hadi nane kwa mzunguko kuanza kurudi kawaida. Sindano huwa zinakatisha hedhi kwahiyo inakua ngumu kufahamau hasa ni muda gani unaweza kushika mimba lakini miezi minne ndio muda wa kawaida. Wakati mwingine inaweza kuchukua hadi miaka miwili baada ya kuacha sindano kuweza kupata mimba
 
Kwani ina maana mwanamke anayenyonyesha HAWEZI kupata mimba? Mbona nasikiaga mwanamke kapata mimba huku ananyonyesha? Mwanamke anaanza lini kubleed baada ya kujifungua?

Hizi njia za kuzuia mimba zinachanganya sana!

njia nzuri ya uzazi wa mpango ni kunyonyesha...ukiwa unanyonyesha miaka 2 au mitatu bleed hakuna, mpango mzuri tu huo
 
WADAU MAMBO VIPI? NILIKUA NAITAJI KUJUA MAMBO FLANI KUHUSU UKIMWI... NITAFURAHI KAMA MTANISAIDIA KWA MAWAZO. MASWALI YANGU NI KAMA YAFUATAVYO:

1) JE MWANAMKE ANAE ITAJI KUFUNGA UZAZI KWA NJIA YA KUWEKEWA NJITI HUA WANAPIMWA KWANZA UKIMWI AU LA?

2)JE MTU AKIENDA KUPIMA UKIMWI HOSPITAL HUA HAWATOI MAJIBU KWENYE KADI (AMBAYO NI OFFICIAL)? MAANA ALIEPIMWA AMECHANIWA KIKARATASI CHA BOX CHA DAWA ILIOCHANWA IKIONESHA TAREHE YA KURUDI.

3)JE MWANAMKE MWENYE VIRUSI VYA UKIMWI HATAKIWI KUWEKEWA NJITI KAMA NJIA YA UZAZI WA MPANGO.

NATANGULIZA SHUKURANI ZA DHATI NDUGU ZANGU NITAFURAHI KAMA NITAPATA MAJIBU HAYO
 
Je kuna madhara yoyote kwa m/ke analiyetumia sindano ya kuzuia mimba kwa muda mrefu na kuacha?
Kuna jirani yangu ana zaidi ya mwaka baada ya kuacha kutumia sindano lakini hashiki mimba. Inaweza kuwa ni sababu ya sindano?
 
Nasubiri wataalam waje nami nipate kaelimu haka muhimu
 
Kama wewe Mme,umepata ujasiri wapi mpaka kumchunguza Jirani yako mambo ayo?
 
Vidonge vya kuzuia mimba vina madhara yapi kwa mama/mtoto wa miezi minne?
 
Vidonge vya kuzuia mimba vina madhara yapi kwa mama/mtoto wa miezi minne?
 
Vidonge vya kuzuia mimba vina madhara yapi kwa mama/mtoto wa miezi minne?
Vidonge vya uzazi wa mpango vina madhara kwa wanawake kama ni mke wako mwambie atumie uji wa Piliplli mtama kila siku hatuweza kushika mimba. Au anitafute mimi nimpe Dawa ya asili hatoweza kushika mimba.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom